GB 64 Avurugwa Na UBINGWA WA YANGA AWAPIGIA SALUTE YANGA WANASTAHILI UBINGWA / SIMBA TUJIPANGE TENA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • #yanga #yangaleo #yangabingwa #Ubingwawayanga
  • Sport

Komentáře • 22

  • @JonasMchiwa
    @JonasMchiwa Před 22 dny +1

    Wacheji walizingua kweli baada ya kuenda kumzonga refarii captain anawazuia wenzake

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 Před 21 dnem +1

    Gb 64 unafurahisha sana

  • @KulwaShaaban
    @KulwaShaaban Před 18 dny +1

    Unacho sema kweli kk

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 Před 24 dny +1

    Poleni sana simba maneno ya mkosaji hayoo yanga bingwaaa mpk 2030

  • @Hope-ok9dy
    @Hope-ok9dy Před 20 dny +1

    Ila yanga bingwa

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Před 25 dny +5

    KWAHILO LA YANGA NA MAMELODI NAKUBALIANA NA WEWE TULIZUBAA WENYEWE WACHEZAJI WANGEGOMA HADI REFA NA CUF WAENDE KWENYE V.A.R

    • @idybwoytz8485
      @idybwoytz8485 Před 25 dny

      Daaaah sio kwl mbn Tp Mazembe mbn wamenyimwa goliii saf 😂😂😂😂

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Před 24 dny +1

      Kaka hawa wakishaamua kukukata wanakukata tuu hata wawende uko kwenye VAR waulize TP Mazembe watakuambia😂

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny +1

    Pamoja na hayo YANGA BINGWAAA

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Před 23 dny

    Hadithi tu ndo mtashiishia hapo hapo. Uzr mnakiri kuwa Yanga kiboko.

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc Před 25 dny +1

    kaombe kazi wasafi umfundishe balevo uchambuzi

  • @user-fu7zs9cd1x
    @user-fu7zs9cd1x Před 24 dny +1

    Kwaiyo mkisumbua refa ndio anatoa goli sio ndondo lile yanga bingwa

  • @user-zx1vk9pr1w
    @user-zx1vk9pr1w Před 25 dny +1

    Hahahahaha kwakwel umeongea kwawachambuz 🤣🤣 et ee waape yaoo

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q Před 25 dny +1

    Kaka leo umeongea mpira ni urafiki

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Před 24 dny +1

    Mbn Shemalon shondo😂

  • @Veni584
    @Veni584 Před 24 dny

    Ni kweli lakini

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny

    Mwaka huuu hata hio Club bingwa utaionea kwenye tv

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Před 25 dny

    Leo unaongea Mamelodi??hahahaaaaaa

  • @samwelgeho2602
    @samwelgeho2602 Před 24 dny

    Unataka kufurahisha genge huna kitu zungumzia kombe la shirikisho mwaka huu

  • @DeogratiusMwizarubi
    @DeogratiusMwizarubi Před 24 dny

    Nikweli wchezaji walizubaa

  • @FredrickEdson
    @FredrickEdson Před 24 dny

    Hiki kichwa kweli

  • @NuruAiwen
    @NuruAiwen Před 25 dny

    😂😂😂😂