MBWADUKE: SCANDAL? OHOO! YANGA WAZIDI KUISHIKA PABAYA CAF/ REFA NA WENZAKE...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 04. 2024
  • UFAFANUZI
    Kumradhi kuna mahala Mzee wa Data ameteleza. Tukio la Lomalisa kupewa kadi ya njano lilikuwa ni pale alipomchezea faulo Khuliso Mudau na siyo Peter Shalulile.
    By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
    Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Komentáře • 707

  • @SilvesterChale
    @SilvesterChale Před 2 měsíci +38

    Hi cyo haki kabisa like lilikuwa goli sahihi Tena lililojaa ufundi

  • @nyandabusiga5637
    @nyandabusiga5637 Před 2 měsíci +37

    Match irudiwe au tupewe ushindi wetu twendelee kupambana mpaka tone la mwisho.😅

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      Labda iwe sio Africa

  • @hajially4527
    @hajially4527 Před 2 měsíci +31

    Walipanga matokeo mapema wale hawa uwezo wakuifunga yanga hii nibora sana

  • @bienfaitbwakyanakazi5242
    @bienfaitbwakyanakazi5242 Před 2 měsíci +11

    Yanga wameibiwa goal lake , basi pole sana , mwaka ijayo mpiganishe zaidi . Team la yanga iko boro . Mimi nimu congo .🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-Sam-Pozzeh
    @user-Sam-Pozzeh Před 2 měsíci +7

    God father wa Tanzania MBWADUKE UISHI MIAKA MIIINGI tumeelewa🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Před 2 měsíci +23

    YANGA WANAWACHEZAJI BORA SANA. ILA WAMEONEWA

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n Před 2 měsíci +36

    Mungu asimame penye haki 🤲🤲🤲

  • @zaharanshekilango46
    @zaharanshekilango46 Před 2 měsíci +8

    Mzize nimchezaji mzuri sana atabadilika

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p Před 2 měsíci +36

    Kwa tukio la kuporwa ushindi wetu kwa kukataa goli halali, binafsi nimeamini Duniani hakuna haki , haki iko mbinguni tu.

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Před 2 měsíci +24

    Ni kweli mzize ni tatizo kubwaa sawa na kuhujumu dareslaam na pritoria

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Před 2 měsíci +56

    Yanga imekuwa kubwa inamfedhehesha mpk rais wa CUF hongera yanga hongera Tanzania

  • @user-sp7nm9xc8l
    @user-sp7nm9xc8l Před 2 měsíci +12

    Tumekupsta baba Mbwaduke ww upo sawa mungu akupe baraka zake

  • @user-gb7oe1xx2o
    @user-gb7oe1xx2o Před 2 měsíci +33

    hata kama halikuwa goli lakin kwann refa akaamua aweke ni drop ball badala ya kona REFA HAKUWA MAKINI

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 Před 2 měsíci +1

      Haikuwa drop Ball bali ilikuwa ni offside
      Wakati Aziz anapiga lile shuti Guede alikuwa offside position, lile shuti lilivyogonga Mwamba mpira ulirudi uwanjani sasa wakati beki anaokoa ndipo Guede alipoenda kumdisturb ilhali alikuwa offside position

    • @salumrwambo9733
      @salumrwambo9733 Před 2 měsíci

      mhmm kama hamjuwi kuuwelezea mpira Bora mukae kimya tu

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Před 2 měsíci

      ​@@tycoon9540Asingeruhusu kona,ingewaweka hatarini !!! Pesa!!

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 Před 2 měsíci

      ​@@tycoon9540umeulizwa kwa nini kukawa na dropball wewe unasema ni offside. Unaelewa maana ya dropball?

    • @RashidHamad-ro8sd
      @RashidHamad-ro8sd Před 2 měsíci

      Refa alichanganyikiwa pale wizi so mzur ipo siku utazirka tu mana ilikuwa kona so gol kiki na kona haikupgwa dar iisee

  • @Vokali02
    @Vokali02 Před 2 měsíci +4

    It's so bad, but one day yes,,,, young Africans or Tanzania can be respected by others side... I say again young is a champion finish

    • @isaacmwaipopo
      @isaacmwaipopo Před 2 měsíci

      Umeongea kweli. Mie ningekuwa captain ningewagomesha wotee

  • @hamzambopote1064
    @hamzambopote1064 Před 2 měsíci +10

    Kweli father unachambua ukweli

  • @NoelKweka-kw2qx
    @NoelKweka-kw2qx Před 2 měsíci +10

    Baba mbwaduke umebalikiwa kipaji adhiimu kutoka kwa MUNGU

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Před 2 měsíci +10

    KUMBE MECHI haikuchezeshwa na mwamuzi WA Kati KUMBE MECHI ilichezeshwa na VAR ROOM

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 Před 2 měsíci +13

    Mashabiki wenzangu. Tafadhali tusimvunje Moyo mchezaji Mzinze Kwa makosa anayofanya Uwanjani, zaidi kukosa utulivu anaposogea golini. Ni vema tuendelee kumpa Muda ni kijana mdogo anatakiwa aendelee kujifunza zaidi.

    • @alfredshemkai7696
      @alfredshemkai7696 Před 2 měsíci

      Mzize hafai kabisa tusiutetee ujinga kwenye jambo la serious

    • @user-ln5zv9to6e
      @user-ln5zv9to6e Před 2 měsíci

      Mashabiki yanga wamemsaport sana Mzize, tatizo Mzize habebeki kwa kila mechi anapata nafasi anaiangusha timu.

  • @User255tv
    @User255tv Před 2 měsíci +16

    Kwa heshima yake na heshima ya mpira wa Afrika, Motsepe anapaswa kutenda haki katika hili.

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      Hata atende haki haiwez kubadilishwa hiyo imeenda

    • @fletchermbwambo2748
      @fletchermbwambo2748 Před 2 měsíci

      Motesepe ajiuzulu!!

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      @@fletchermbwambo2748 hizo n ndoto sio kwa Africa Kwan yy ndyo kafanya kosa🤣🤣 alaf yanga mmeanza kupagawa

  • @darasahuruinfo4002
    @darasahuruinfo4002 Před 2 měsíci +2

    Yan we father mbwaduke huna baya , Yan hunajua xan we ni role model Wang mzee wa matakwim big up xan

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Před 2 měsíci +9

    Brother Mbwaduke hiyo Suti yako nimeielewa sanaaaaaa
    RESPECT

  • @sfana3827
    @sfana3827 Před 2 měsíci +6

    Yanga must heal and come back stronger next season. It's a hard pill to swallow because they gave it their best.

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 Před 2 měsíci +1

    Upo vizuri kaka ntaendelea kufuatilia data zako

  • @PauloKenneth-lx5pv
    @PauloKenneth-lx5pv Před 2 měsíci +1

    Brother uko vizuri mno ktk kazi yako ,zid kubarikiwa ktk hiyo.

  • @LeyanKiberenge
    @LeyanKiberenge Před 2 měsíci +2

    Wee uko vizuri sana master 💯👍👍

  • @RabiaSuleiman
    @RabiaSuleiman Před 2 měsíci +2

    Bwana mbwaduke uko sahihi kabisa

  • @user-vr5qf3yt8w
    @user-vr5qf3yt8w Před 2 měsíci +2

    Na kama halikuwa goli kwanini haikupigwa kona?? Nawakati mchezaj wa mwisho kugusa mpira alikua wa mamelodi, apo kunakitu kinaendelea

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 Před 2 měsíci +3

    Pia wachezaji wetu wasiwe wepesi kiasi hiko. Walipaswa kumsumbua referee ili akatazame VAR

  • @MohammedSanga
    @MohammedSanga Před 2 měsíci +2

    Mzize anahitaji muda bado kijana mdgo Ana mengii yakufanya jangwaniiii,lakini mbaya zaidii no figisu za refa kwa goli la azizi ki

  • @amosisabuni-el9wo
    @amosisabuni-el9wo Před 2 měsíci +2

    Pamoja na Hilo, baada ya kukataa kua sio goli , mpira ulitolewa nje na mchezaji wa mamelod... Hivyo ilitakiwa itafsiriwe kua Kona!,⛳⛳ #mbwaduke

  • @MaglassmaglassTz
    @MaglassmaglassTz Před 2 měsíci +2

    Kwann rwfa alikua anaangakia VAR wakicheza rafu ...ila goli lilipofungwa ....HAKUFATA VAR KUANGALIA?!?!?!?!?!?!

  • @DanielMassawe-es9es
    @DanielMassawe-es9es Před 2 měsíci +1

    Kweli umechambua vizuri wasipo kusikia hao walikuana uchakachuji.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Před 2 měsíci +5

    Nyny mnaomsema Mzize hivi nyny mnajua ugumu wa kutia mpira wavuni nyny? Hata hao wachezaji wakubwa hua wanakosa magoli sembuse Mzize, hapa tujadilini goli letu tulilonyimwa

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 Před 2 měsíci +8

    Good presentation

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Před 2 měsíci +27

    YULE REFA ALITAKA KWENDA KUIONA VAR LAKINI ALIKUWA ANASHINIKIZWA KWA MAWASILIANO ASIENDE KUSHUHUDIA

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Před 2 měsíci +4

    Wee refa utataga ipo siku tutakufuata huko kwenu Malaya wee,,,utuonyeshe goli letu,,,,,mwamuzi jiandae kwa busha,,,

  • @KassimShoka-on2ww
    @KassimShoka-on2ww Před 2 měsíci +1

    👏👏👏👏👏👏👏 kwa uchambuzi wa haki mzee wa busara

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md Před 2 měsíci +1

    Mwaduke nakuelewa sana kaka

  • @joynessmagaruka2264
    @joynessmagaruka2264 Před 2 měsíci +2

    Mungu nimutetezi wa haki mungu simama na yanga nihaki yao

  • @ngwenya_dasolver
    @ngwenya_dasolver Před 2 měsíci +1

    I apreciate you brother

  • @SamwelImbele-rp1vh
    @SamwelImbele-rp1vh Před měsícem

    Asante ,Refa ashughulikiwe kisheria

  • @monicahwafula2120
    @monicahwafula2120 Před 2 měsíci +7

    Am just so happy that Yanga took that bold step!! They won but that was daylight robbery

    • @Eti_05
      @Eti_05 Před 2 měsíci

      😅😅😅😅😅yanga out😂😂😂

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 Před 2 měsíci +1

      @@Eti_05 kwa hiyo unafurahi? Hujiulizi dunia nzima inaizungumzia Yanga wakati Tanzania tumepeleka timu mbili? Au ya kwako ni kikundi cha wahuni

  • @InnocentMwasha-fr2nk
    @InnocentMwasha-fr2nk Před 2 měsíci +2

    Timu ya boss ndio maana tunaonewa

  • @josephlukeha9788
    @josephlukeha9788 Před měsícem

    Asante sana Mzee wa data wewe ni noumaaa sana

  • @JOVELINERUTTA
    @JOVELINERUTTA Před 2 měsíci +1

    Mamelodi will never raise the cup of champions league , NO PAIN , NO GAIN😢😢😢😢

  • @user-qc7yt9pf8b
    @user-qc7yt9pf8b Před 2 měsíci +1

    Me nadhani kama hawatendi haki, hakuna sababu ya kushiriki mashindano ambayo mshindi anakuwa ameandaliwa

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 Před 2 měsíci +1

    Yaani Mpaka Leo nimekuwa myonge Kwa ajili ya goli la azizi ki dhuluma walio tufanyia mungu yupo yupo na yanga ya wananchi

  • @user-up5sr3fc2u
    @user-up5sr3fc2u Před 2 měsíci +22

    Pamoja na haya yote...clement mzinze ni tatizo na chanzo cha yanga kuendelea na mashindano...anakosa magoli ya wazi kipumbavu sana

    • @RajabKhamis-si1ql
      @RajabKhamis-si1ql Před 2 měsíci +1

      Nenda kacheze wew

    • @rollandmabula1556
      @rollandmabula1556 Před 2 měsíci +1

      Wee jamaa umewahi kucheza mpira wee au unaongea tu

    • @ocaml8698
      @ocaml8698 Před 2 měsíci

      Hilo la Mzize ni kesi ingine na lipo ndani ya Yanga wenyewe, Mchambuzi haongelei hilo.

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 Před 2 měsíci +1

      Kwema kabisa, Mzize ndo yule yule, bora aende namungo

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 Před 2 měsíci +1

      Laiti kama Mzize angekuwa na finishing nzuri basi gemu ingeisha kwa Mkapa

  • @roi2554
    @roi2554 Před 2 měsíci +7

    Wachezaji wetu sio wazuri kwenye penalty,corner na free kick.
    Kwahiyo wafanyie sana mazoez juu ya hilo

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Před 2 měsíci

      Penalty hazina ufundi ni bahati tu

    • @josephine6413
      @josephine6413 Před 2 měsíci

      Penalty wapigaji wazuri ni viungo,mawinga na washambuliaji na sio mabeki chunguza vizuri penalty zilizopigwa na Bacca na Job tumezikosa,mabeki wamezoea kubutua mipira….Angepiga Aziz Ki(ingawa amekosa kwa kuwa spirit yake ilikuwa down baada ya kukosa goli),Guede,Okrah,Mudathir na Mkude

  • @gavethhans5242
    @gavethhans5242 Před 2 měsíci +5

    Tumechoka kuonewa bwana wana wa mashariki sio sisi tu hata watani wetu wemenyimwa penati 2 za wazi kabisa

  • @daudichandika9275
    @daudichandika9275 Před 2 měsíci +2

    Hii ni KAFSHA kubwa Sana kupata kutokea kwenye soka la Afrika, ili kuondoka DOA Hilo YANGA apewe USHINDI na wote waliohusika na njama hizi wachukuliwe hatua KALI bila kujali cheo Cha mtu.

  • @dulladelzz13
    @dulladelzz13 Před 2 měsíci +3

    Inauma sana pale unapo dhulumiwa haki yako wakati ni halali yako daah nadhani hile ni mipango tuu ili waweze kutudhulumu ila mimi nasema kuwa viyongozi wa yanga tunahitaji mulisimamie hili goli la yanga 😢😢

  • @ezekielerasto8776
    @ezekielerasto8776 Před 2 měsíci +16

    Inawezekana kweli waliona ni goli wakamwambia asiende kuangalia maana watazamaji wataona nao

  • @Sparosmilebae
    @Sparosmilebae Před měsícem

    Young african bora🎉

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 Před 2 měsíci +3

    Yanga iltakiwa igome kcheza mpira usimame refa aende mwnyw kcheki

  • @user-xy3gw4nx8u
    @user-xy3gw4nx8u Před 2 měsíci +1

    Mzee wa takwimu tunakukubali sana

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi Před 2 měsíci +4

    Ngozi yeusi haki ipo mbali Sana mwenye hela ndo mwenye haki sisi tulijuwa tushinda kugumu Sana ila mungu atalipa APo mbele hawatoboi emungu wape laana mamelody wasifike mbali😊

    • @johnnzali5832
      @johnnzali5832 Před 2 měsíci

      Naungana na ww Laana iwe juu yao wote Pamoja na MA REFA WOTE WALIO HUSIKA Na Mamelod Haitoboi mbele Labda wakale RUSHWA MAREFA Maana ni tabia zao

    • @josebalohho3401
      @josebalohho3401 Před 2 měsíci

      ​@@johnnzali58320:00 0:00

    • @josebalohho3401
      @josebalohho3401 Před 2 měsíci

      Xxxx

    • @josebalohho3401
      @josebalohho3401 Před 2 měsíci

      Xxxx 0:00 0:00 0:00

    • @anjelinamhina9382
      @anjelinamhina9382 Před 2 měsíci

      Mungu atawalaani hawatafanikiwa kamwe

  • @user-kg2vd5tq4l
    @user-kg2vd5tq4l Před 2 měsíci +7

    Kaka samahani ni kukumbushe kitu katika mechi ile baada ya refa kukataa goli mchezaji wa Mamelod ali piga kichwa mpira kutoka sasa kwanini akutoa kona 😭😭😭😭

  • @afrodailytv4335
    @afrodailytv4335 Před 2 měsíci +6

    Mechi haiwezi kurudiwa kama lilikuwa goli yanga anapewa points 3 na goli kama 2019 wydad vs esperance

  • @ochu-bb
    @ochu-bb Před 2 měsíci +2

    Mashindano hayana hadhi hatuyataki Yanga tutashiriki UEFA

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Před 2 měsíci +3

    A goal of the whole gole!
    Aziz ki

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 Před 2 měsíci +1

    Rushwa imetawala sana katika SOKA LA AFRICA.

  • @user-sk8wk3xg1r
    @user-sk8wk3xg1r Před 2 měsíci +4

    Yanga wapewe haki yao maana mpira unachezwa uwanjani sio vyumbani

  • @gregoryntibani6640
    @gregoryntibani6640 Před 2 měsíci +2

    Hiyo ball possession ya 74% na 26% siku hiyo ilipimwa vipi? Hapa pia aliwekwa mtu wa kutudhalilisha.

  • @Lazoboyfelazo
    @Lazoboyfelazo Před 2 měsíci +2

    Hawatendi haki ni goli sari kabisa

  • @NATHANAELNJALI
    @NATHANAELNJALI Před 2 měsíci +7

    Waamuzi walifanya hujuma dhidi ya yanga ni unyama ni uporaji

  • @charlesmrutu4621
    @charlesmrutu4621 Před 2 měsíci +3

    Mzize sio mzigo bali anatakiwa aongezwe umakini kwani huwezi kumuita mzigo

  • @ignatusjoseph4216
    @ignatusjoseph4216 Před 2 měsíci +2

    Rais wa shirikisho anatakiwa kujihuzuri kwa sababu ya timu yake anaipendelea

  • @jerryjohn8030
    @jerryjohn8030 Před 2 měsíci +2

    Yanga should request var conversation in the same way Liverpool did

  • @MoN_KaDO
    @MoN_KaDO Před 2 měsíci

    Tunaomba Mechi irudiwe Yaani pambano lirudiwe tunaomba ❤❤ kwa upendo tu

  • @SenetaKilaka
    @SenetaKilaka Před 2 měsíci +2

    Sawa sawa wakome utopolo wao wenyewe wezi wamagoli na kupewa penati sio za alali

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Před 2 měsíci +1

    Mzize ajitathimini kama mchezaji wa timu kubwa

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Před 2 měsíci

    Umeiva kaka

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 Před 2 měsíci +98

    Brother mbwaduke pamoja na makosa ya refa, mzize ni tatizo kwa yanga hafai

    • @ellyfrh
      @ellyfrh Před 2 měsíci +20

      Yani mzize ilibidi afikie jera hata week 2

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 Před 2 měsíci +9

      Mzize ni mzuri ila kuweka mpira kwa kamba anakigugumizi ila sio mzize tu mastriker wote ata mayele makambo kisinda walikua wanakosa lbd wakiona team iko pabaya wanatumia nguvu adi kupat matokeo sema mzize iyo bado hana kabisa

    • @CharlesSeleli-to2un
      @CharlesSeleli-to2un Před 2 měsíci +8

      Ni mzuri ila bado ana uchanga au utoto sana kwenye mechi zenye presha kama za michuano mikubwa ingekuwa bora angecheza J. Guede

    • @FranceYohana-eg5zd
      @FranceYohana-eg5zd Před 2 měsíci +7

      ​@@CharlesSeleli-to2unAna utoto gan alipo pale ? Huyo uwezo hana

    • @RehemaIdy
      @RehemaIdy Před 2 měsíci +9

      ana faa Ila hatumii akili ana tumia ngvu anapo pg mpira haangalii ana piga wap apewe elim

  • @zainabumsimbazi2481
    @zainabumsimbazi2481 Před 2 měsíci +4

    CLEMENT YUKO VIZURI. HUWEZI JUA LABDA GOLI ALIKUWA HALIONI. YUKO VIZUTI TU. KOMSS TU MWANANGU MBELE HUKO UTAKUWA MTU BORA SANA

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 Před 2 měsíci +3

    Duuhh kweli wamewahujumu watani zetu ...Prof mbwaduke uko vizuri

  • @amosotieno4418
    @amosotieno4418 Před 2 měsíci +1

    Mlungula ulitembezwa kwa waamuzi...caf ni fisadi na haibu kwa mpira wa africa....sisi GOR MAHIA tunatambua hilo😢

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 Před 2 měsíci +1

    Motsepe ajiuzulu. Is like ni tatizo

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      Motsepe Kwan ndyo kachezesha mpira😂😂😂 mfa maji wewe acha kutapatapa

  • @RashidiMohamedi-xl6on
    @RashidiMohamedi-xl6on Před 2 měsíci

    Pamoja mkuu

  • @user-yw6hr2rn5l
    @user-yw6hr2rn5l Před 2 měsíci +1

    Caf wemetunyima haki yetu

  • @user-jl1uu1uv9o
    @user-jl1uu1uv9o Před 2 měsíci

    Broo uko sahihi sanaa❤

  • @user-zv8dd5ql1p
    @user-zv8dd5ql1p Před 2 měsíci +1

    Acheni usengee nyinyi baada ya kuongelea vitu vya point mume kazana mzize mzize kacheze wew we unaona kazi raisi

    • @chondecannibal6108
      @chondecannibal6108 Před 2 měsíci

      Kweli kabisa yaani wabongo lawama tu tumeona magoli ya wazi kabisa alilokosa Mzize lina nafuu tena sana mtu na kipa anakosa tena wachezaji wazuri tu.

  • @hamidulipwecheh9170
    @hamidulipwecheh9170 Před měsícem

    Uchambuzi mzuri wa shuke

  • @user-wp5kv9sf5o
    @user-wp5kv9sf5o Před 2 měsíci +1

    Nipeni rakizangu

  • @kulujastin
    @kulujastin Před 2 měsíci +1

    lais wa CAF katowa lushwa kwa lefalii

  • @AshuKilomo
    @AshuKilomo Před 2 měsíci

    Kweli

  • @JumaaSaid-ye6ey
    @JumaaSaid-ye6ey Před 2 měsíci

    Mungu atawaonyesha

  • @JohnsoniNyaulingo
    @JohnsoniNyaulingo Před 2 měsíci +3

    Mzize hatufai tumuache

    • @charlespatrick8632
      @charlespatrick8632 Před 2 měsíci

      Tumwache Ili mumsajili sindio

    • @user-bw9nz7jo9n
      @user-bw9nz7jo9n Před 2 měsíci

      Kamlete mdogowako rais kashasema amdai mtu yoyote we nani na una msaada gani Kwa timu au mzize au we kolo

  • @KisholiMj
    @KisholiMj Před 2 měsíci

    Mamelod hawana kitu chochote😂😂😂🎉

  • @omarkhamis2535
    @omarkhamis2535 Před měsícem

    Yanga wapewe ushindi wao

  • @husseinmasha3712
    @husseinmasha3712 Před 2 měsíci

    Mbona haya matukio ni mengi sana tanzania, kuanzia ngazi ya michezo mpaka siasa, 1,watanzania walilipa viingilio bila kurejeshewa baada ya mechi kutochezwa na hakuna hatua zilizochukuliwa

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 Před 2 měsíci

    Ni kweli kabsaa,ebu waangalie ili waupe heshima mpira wa Africa

  • @SadikySufiani
    @SadikySufiani Před měsícem

    Koli haalalikabisa kaka

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 Před 2 měsíci +2

    Then I realise that the previous win of Orlando Motsepe was behind shame on you Motsepe and CAF in general

  • @visionvoicechoir2015
    @visionvoicechoir2015 Před 2 měsíci

    Hata baada ya mpira ule kudunda, kurudi ndani na kutolewa nje kwa kichwa, hakuamuru kona.

  • @sandykhan8401
    @sandykhan8401 Před 2 měsíci

    Kaka napenda sana kukuskilza

  • @NATHANAELNJALI
    @NATHANAELNJALI Před 2 měsíci +3

    Hongera hongereni sanaaaaaa yanga

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Před 2 měsíci +4

    Mungu atusaidie sana japo wenzetu wanatucheka eti sio bao

    • @pci_tanzania
      @pci_tanzania Před 2 měsíci

      Akina nani wanaotucheka???

    • @mutakagoza4759
      @mutakagoza4759 Před 2 měsíci +1

      Makolo

    • @pci_tanzania
      @pci_tanzania Před 2 měsíci

      @@mutakagoza4759 Kumbe sio watu ni Makolo 🤣 Kama ni hao wacheke tu

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 měsíci

      Sio goli na hakuna kitakacho badilika😂😂😂

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Před 2 měsíci

      ​@@ce-08kolo kama kolo ata zile 👋 mlisema wamefunga majini tumeshawazoe 😂

  • @SuleimaniMasawe
    @SuleimaniMasawe Před 2 měsíci

    Nzize ndookasababisha yote angefunga yote yasingetokea yanga poa Kama maji kubebwa kawaida nasisi tunabebwaga

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 Před 2 měsíci +1

    Mosepe should resign