Ghetto la kwanza la Moni na Nai | Safari ya Mahusiano yao | Drama za Mapenzi | Mondi Kuhusishwa. Pt1
Vložit
- čas přidán 29. 12. 2023
- Mengi yako nyuma ya pazia kwenye safari ya Malume, kapita #Ghetto na kushare story kibao zinazohusu maisha yake. Hii hapa part 1 ya mazungumzo ya Msanuaji na Moni.
- Zábava
Show kali bro ila leo sound imemess up, I hope next time utatisha zaidi
Dope mamen
Msanuaji Podcast ni ipo another level nimependa the way ameanza na rap Star....🪐🔥 ila #ushaurii mic zichekiwe na muongeze utundu kidogo kuwe na kisong flani ivi kama temnpa kwa chini itapendeza mtu akiwa naongea kwa chin inasikika bitt
Sound check next time iweke sawa sound engineer aweke mambo sawa
Moni yuko Real, na hii iko si inspirational ✊🏿✊🏿✊🏿
Safi sana mzee hiv vitu tunapenda👏Tupo pa1
Msanuajii umetishaaa
Nakubali sana moni centrozone majengo sokoni
Nkbr family yangu 🌹🌹 kali
mNyaAmWeeZiiii John Jackson🔥🔥🔥
Favorite rapper
Jamaa anawivu sana cha msingi awe na mwanamke wa kawaida sana na asimtengenezee mazingila ya umaalufu
Nilikua nasubiri kwa hamu kipindi chako youtube.sema mic mzee wangu kama zinazingua kidogo....also sound track muhimu pia
Sound mbovu ina echo mpk inaboa😢😢
Kinyamwez na sound furain hv
Moni Maji Mengi mnoo😅🙌
Sound mbaya mmezingua
Msanuaji please kabla hujaupload check kuhusu sound mtu wangu kuna muda ni mwangwi unaskika kama dakika kadhaa
Mic 🎤 kali sound mbovu
Check your podcast production sauti ina mwangwi mwangwi inajurudia rudia
❤❤❤
MONI ASHAWAHI KULALA NA DEMU WANGU ARUSHA NIKATELEKEZWA CLUB KAMA YATIMA , NA YEYE ASILIE LIE UCHI HUYO
Sema io short mkononi jamaa anafunguka em 😂em ongeza short apo jamaa aseme yote ashaanza kuchangamka uyo
Msanuaji unajua bob
Wasanii bwn kwahiy kwahiyo zimekuw nyingi yn uongo uongo2 😂😂😂
Kaaa kimya Kama hujui kitu
Sound Mbovuuuu
Malumeee
Malumeeee