Baada ya mauaji ya kutisha ya mwanamke maarufu wa kuvinjari Starlet Wahu, wanawake zaidi wamejitokeza kuripoti vitendo viovu walivyotendewa na mshukiwa, John Matara huku wakinusurika kifo.
Love of money especially where you haven't toiled is disaster, its high time ladies should appreciate the love of our genuine hustler brothers in their capacity as Shoe shiners Boda boda/Tuktuk riders, vegetable/cereal vendors/guards, shopkeepers, butcher men, mtumba sellers, power saw operators/taxi/matatu/trailer operators, teachers/cooks etc in order to life moderately & happily.
Hakuna dame wa Nairobi ataolewa na mwanaume anafanya hizo kazi 😂 as a matter of fact ata sidhani ka ma dame wa Nairobi ata wanataka ndoa na mwanaume yoyote 😂
I think these cases were reported, but Kenya Police kawaida yao ni kuchukulia mambo virahisi until the victim is a connected/influential person is when they react.
@@Bless-br2mc the weakness of most women is money .You don't need any dawa. Take care of what you love and desire most that where is your weakness is.
Looks like that lady has never seen real hustle in the whole family. So she was doing what the family do....310........I apppreciate my mom's, Dad, brother and sisters real hustle, it has shown me there is no other way....
Its hight time ladies,girls and women turn away from evil, immorality, lust and the wickedness of this world and Trust upon THE LORD GOD ALMIGHTY.Yes life is not easy but that doesn't mean you ruin your body in the exchange of money . And to destroy your body as we know your body is the temple of the HOLY SPIRIT.Just be born again and Trust upon GOD .HE IS VERY FAITHFUL TO MEET OUR NEEDS.
This is why I will always say that if the National Police Service treated these cases with the seriousness they deserve right from the beginning, things wouldn't get this bad. Chances are this guy has been reported to the Police long before things escalated to this level. But either the cops didn't take this seriously, or they were somehow compromised. The problem with that negligence/dereliction of duty is that it simply emboldens the perpetrator.
Sasa ww unaona hii ndio Kaz ya kufanya unaenda namtu wakati hujui Nia yake pesa ya haraka ina Madara ndio haya mauza uza kueni makin eeeh binadam wame choka
TU walaum police ju Hakuna Alie jua Kua wana chati au Wana panga vile wata kutana na iwe funzo Kwa kila mwana mke mwenye ana jiuza saii hii ili kua Siri ya watu wawili tuseme tu bina dam hujui uta kufaje kama sio mauti kumkuta tunge jua kweli ila ilikua ishapwngwa chamhim mlola amrehem amjalie mwisho mwema wake amfaniye wepesi kaburin na ahera Ameen
Weeeh not all of us are like him ,acha kuleta hii notion yako ya kiufala hapa🙄🙄,c ni nyinyi ndo mkona tamaa ya dooh ndo mnapanua panua miguu anyhowly and that's why mtashinda mmechukuliwa advantage mkiendelea ivi👈🏌️💔
Na mkome Wana wake wenye kujiuza nyanya tafuteni Kaz hii iwe funzo muna jivinjari ila.mwauliwa mana sio wote wazuri una chat na MTU online akukatie. Ju ame kusifia ww Ni mrembo. Ame kushunguza siku nyingi na mkitajiwa pesa roho ina babaika mk sema mko Kaz Hao wahuni pia wako Kaz kweli muna kibarua majeraha yote na hamuashi umalaya
Mungu akuone, Coz hujui unaongeleyaaa nini,Siku ile utapata mtoto ama watoto ndie utajua wazazi huwa wanaumia. Ata wako ataitwaaa Malaya vile tu unaita wawenginee.
I think starlet died just to save lots of life cz kama si yy huyu mtu hatungemjua Rip wahu because of you huyu jambazi ameshikwa 😭😭
True akih😢😢😢😢😢
Mmpunguze usherati pia nyinyi
@@mikesimiyuh1090wewe unakaa hiyo genge kuibia wanawake. Wezi nyinyi
Muuwaji na jambazi wote anavyo mana jambazi akuibia aondoka
Mataras are all over out here, in our dms and dating sites. It's just that God has protected me and you. Be careful when planning on meeting strangers
Stay with ur dad then,he got penis just like us
What are you people doing in dating sites.
@@MUKONYIDAN17we are hustling 😅😅😅
@@tiffahnycleare6428and that laughing matter is just a death away! You should be crying 😭 instead!
@@tiffahnycleare6428 na ivo ndo mtazidi kuchukuliwa advantage mkiendelea na hiyo trend ya dating site👆😂😂😂😂nyinyi kataeni kusikia tu 🏌️💔
So sad,ladies. Let's be careful there are more Mataras out here.
Ladies another bnb saga barely a week after Matara,extra caution please.
True hata Mimi nmeogopa these internet men
Yes ooh...even us men be care women not good 😢
Muwache umalaya
they wont listen because wanataka pesa.
@@patrcikgithinji7539you know men don’t shout! They know it but who will believe them, it’s a woman’s world!
Love of money especially where you haven't toiled is disaster, its high time ladies should appreciate the love of our genuine hustler brothers in their capacity as Shoe shiners Boda boda/Tuktuk riders, vegetable/cereal vendors/guards, shopkeepers, butcher men, mtumba sellers, power saw operators/taxi/matatu/trailer operators, teachers/cooks etc in order to life moderately & happily.
Yah na madame wajue they are eleven matarara only one arrested so the rest ten are watching news the same we're doing b careful
Waalimu pia ni mahustler, acha kuchoma nani!
Hakuna dame wa Nairobi ataolewa na mwanaume anafanya hizo kazi 😂 as a matter of fact ata sidhani ka ma dame wa Nairobi ata wanataka ndoa na mwanaume yoyote 😂
All those things happened but no one reported until now 🙄🙄
It was reported in several police stations but he was never arrested.
I think these cases were reported, but Kenya Police kawaida yao ni kuchukulia mambo virahisi until the victim is a connected/influential person is when they react.
Aaai sad but also women jameni iyo sura si niya kutisha buana, how do you even go on a date with mtu kama huyo, red flags all over
Pesa
Labha alikuwa anatumia madawa ya kufutia wanawake
We huskii alikuwa anoongea kiingereza ya mapua kama mzungu😅
@@Bless-br2mc the weakness of most women is money .You don't need any dawa. Take care of what you love and desire most that where is your weakness is.
@@babygiraffe-cg6gt😂😂
Kwani ni brother ya Desagu😂😂😂
Was waiting for this question
😂😂😂who's desagu nimekutana na hii Jina kila corner
Kabsa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Media is so professional 😅😅😅 ati kazi ya kujivinjari
😂😂😂 very funny
What is kazi ya kujivinjari in English
Euphemism for prostitute. It's no lie socialites is just a polite way of saying modern day prostitute
@@carolinendege3590to have fun
Looks like that lady has never seen real hustle in the whole family. So she was doing what the family do....310........I apppreciate my mom's, Dad, brother and sisters real hustle, it has shown me there is no other way....
The mother was a con treating Aids😮
Its hight time ladies,girls and women turn away from evil, immorality, lust and the wickedness of this world and Trust upon THE LORD GOD ALMIGHTY.Yes life is not easy but that doesn't mean you ruin your body in the exchange of money . And to destroy your body as we know your body is the temple of the HOLY SPIRIT.Just be born again and Trust upon GOD .HE IS VERY FAITHFUL TO MEET OUR NEEDS.
Matara ni wengi sana huyu ni siku yake ilifika
Ladies..go and get married. Not dating year in year out . Kubadilisha wanaume kama nguo
@@clivekenny1259 Nairobi women can't get married 😂
Huyu jamaa achunge asipatane na a female judge - it will be game over
but already the case is murder so its life time
@@dorcassolomon3555 it can be a manslaughter case with a lesser sentence. hii ni kenya
I want apate mwanamke
@@mwangi_mwangithat will be better heri apate mwanamke afungwe
@@Yemayas_follower Yeah, true to protect our sisters from such criminals. Even so, I am afraid of of justice system since anything is possible
Wasichana tafuteni kazi za kufanya
Wakuje guif
This is why I will always say that if the National Police Service treated these cases with the seriousness they deserve right from the beginning, things wouldn't get this bad. Chances are this guy has been reported to the Police long before things escalated to this level. But either the cops didn't take this seriously, or they were somehow compromised. The problem with that negligence/dereliction of duty is that it simply emboldens the perpetrator.
Compromised
Every sweet life has got sad ending.
Wah Matara Ni aozee ndani
Mwanamke maarafu wakujivinjari 😃
Hakuna kuchoma😂😂, prostitution is difficult to pronounce
@@vijananarutomovement7625😂😂😂😂😂 say as it's nah😅
😅😅😅
Rest in peace wahu najua watu wanakujudge sana ila kifo chako kilikuwa na sababu kuu allah akuepushe na adhabu ya kaburi
Wuehh!! This guy!!😭
Pia jina ong'oa ni hatari inaendana na tabia zake
Ndio sababu anaitwa Mr. Ong'oa. Sio Mr. Loverman
Wee huyu nae atafanya mademu watuogope wee
Marriage zile zilikuwa sinaunganiza na wazazi bora saidi,, there wasn't death
If there is to be any hope for our societies in Kenya, its high time we go back to that. We are becoming too westernised very fast.
There's alot matara outside here 😢😢😢😢 Ladies let's be careful
Na mpunguze umalaya pia 😂😂😂
Police wakenya huwa wanachukua hatua wakati kitu imefanyika. Coz watu wengi walikua wapiga ripoti lakini hukuna hatua ilichuliwa. R.I.P Wahu 😢😢
Sasa ww unaona hii ndio Kaz ya kufanya unaenda namtu wakati hujui Nia yake pesa ya haraka ina Madara ndio haya mauza uza kueni makin eeeh binadam wame choka
Wewe pia si uhonge kama unataka polisi usaidiwe
TU walaum police ju Hakuna Alie jua Kua wana chati au Wana panga vile wata kutana na iwe funzo Kwa kila mwana mke mwenye ana jiuza saii hii ili kua Siri ya watu wawili tuseme tu bina dam hujui uta kufaje kama sio mauti kumkuta tunge jua kweli ila ilikua ishapwngwa chamhim mlola amrehem amjalie mwisho mwema wake amfaniye wepesi kaburin na ahera Ameen
Mh hatari sana huyo anyongwe mpaka kufa
Very satisfied
1 Timothy 6: 10 For the Love of money is root of all evil:.
And those who love it will harvest it.
Don't say that please,
Scarlett amelipia wanawake wengi ngarama... otherwise Kenya ingebaki bila wanawake...I.e wale hawafungi miguu
Wanaume wajitokese, zile pesa wametuibia turudishiwe, kesi za wanaume zishughulikiwe haraka mara moja👊👊
😢😢😢 and the police did nothing with all the reporting 🙄.
Kwani uyu ni brother makenzi ama
Balaa
Anafana na Desagu
😢😢😢😢😢😢
Watu waache umalaya
Na hii Sura Tu ama kuna ingine?then then anatumia kamutii
How many more Mataras are out there?
Matara yuko kama yule jamaa alikuwa wa naivasha kukunywa wanawake ndamu na kuwaua
😢😢
😂😂😂ghai
Please ladies dont be so that cheap respect your bodies
Wanasemanga eti tukienda binguni tutapewa mwili ingine.
But why do they came out now??
Why not early before😮
He saw and kept mum? Why
Date Kenyan men at your own risk .
Hama Kenya go to Nigeria
Weeeh not all of us are like him ,acha kuleta hii notion yako ya kiufala hapa🙄🙄,c ni nyinyi ndo mkona tamaa ya dooh ndo mnapanua panua miguu anyhowly and that's why mtashinda mmechukuliwa advantage mkiendelea ivi👈🏌️💔
'mwanamke maarufu wa kujivinjari'......weeeh😂😂😂😂
Kwani watu bado hamuogopi wakisii?
Huyu matara anafaa kwanza akatwe makende itupiwe mbwa,then aingizwe mwiko sehemu ya kupupulia akufe pole pole
The famous KM??? 🧐
Daimino riswaa
Na mkome Wana wake wenye kujiuza nyanya tafuteni Kaz hii iwe funzo muna jivinjari ila.mwauliwa mana sio wote wazuri una chat na MTU online akukatie. Ju ame kusifia ww Ni mrembo. Ame kushunguza siku nyingi na mkitajiwa pesa roho ina babaika mk sema mko Kaz Hao wahuni pia wako Kaz kweli muna kibarua majeraha yote na hamuashi umalaya
Nilijua tu most affected ni Hawa wa KU,,,that campus eeeei.Girls out here are so cheap hata kama ni pesa let's value ourselves
Kwanini Hua hamusemi mnagoja mtu aue watu kaza ndio mseme mungu asaidie watoto wetu kabisa Dunia imeisha
One had reported but kesi ilienda hvo2
They reported na mapolisi of course unawajua walivyo
@@carolinenjoroge9092 yeah
So it means kuna wengi wameangamia mikononi mwake,may you never know peace
Weee bana wasichana si mnatakanga badboys 😂😂😂 mtakufa tu.Put your life in the hands of Jesus christ
Pia hawa wanawake ni Malaya na ni wajinga majority from campus and instagram umalaya c kazi.
Mpaka siku ile wako atahusika."If you do not meet the devil on your way,you are going same direction with him"......African proverb.
Wazazi tunyamaze juu Hata saa hii hujui wako anachat na nani online. Tupunguze maneno tuongeze maarifa kwa watoto wetu na maombi kwa mungu awahifadhi!
A person can do anything to survive njaa YA Nairobi Ni noama
Mungu akuone, Coz hujui unaongeleyaaa nini,Siku ile utapata mtoto ama watoto ndie utajua wazazi huwa wanaumia. Ata wako ataitwaaa Malaya vile tu unaita wawenginee.
Ogopa wepukulu....
Another onyancha
Onyancha ni wengi kwa ichi yetu Kenya
What ever ..afungwe
Haha...hear the voice.
Kanyari na mama wakamzika na madharau
Huyu no pepo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂e😂e😂eti alikua rapped kwa sodomi😂😂😂
Dah wakenya mna lugha yenu funny sana
Anyway R.i.p Wahu
She was sodomized yaani ngono kwa njia ya haja kubwa si sodomi
Nyamazaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 lazima usikie hapo
you didn't get it...amesema the girl wasn't raped alikuwa sodomized
😂😂😂😂😂 teaches tu
Ladies...go and get married and settle down..not dating men after men each month.
Starlet died soo many could run!
Upuzi tu,mbona hawakuripoti kwa polisi
Uyo ni gaidi kabisa
Wanawake na umalaya
Sio wote....Mamako na sistakoni malaya? Ungesema some?
Nonsense make sure you never experience such
Basi wanawake wengi wa unvbut hawawezi
So sad kitambo jamaa alikuwa Pathfinder aki shetani 😢
Really?!!
@@MukumbuChiefKatiwa yes
The guy is good looking than most of your men, nyinyi wenye mnasema you cant go on a date wity this guy
Huyu Matara ni kabila gani???
Mukisii
ukahaba huo
Huyu Matara ni kabila gani???
Kiisi
Anakaa murasta wa Korogocho. Kwa hivyo yeye rugha yake ni Mohatari
Mwanamke Wa Kujivinjari/Malaya/Hook-UP Escorts..Acheni Umalaya.