Magoli | Namungo 1-1 Yanga | NBC Premier League 20/11/2021

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 11. 2021
  • Yanga wamepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Namungo wametangulia kupata bao kupitia kwa Obrey Chirwa kabla ya Yanga kusawazisha kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Saidi Ntibazonkiza.
  • Sport

Komentáře • 275

  • @samwelmerikiolmpila2330
    @samwelmerikiolmpila2330 Před 2 lety +4

    Penati sawa tumekubali lkn huo upigaji wa penati nao ni shida, mtu hata hajapiga wachezaji wako kwenye penati area, mwingine kampita hata mpigaji

  • @samwelimoshiro9218
    @samwelimoshiro9218 Před 2 lety +8

    Mimi ni yanga, coz ni timu yangu, lakini kilichotokea sijakipenda... Pamoja na mapenzi yangu kwa yanga, napenda sana haki, na usawa... Ushabiki wa kushangilia udhalimu ni Mambo yaliopitwa . Kwa ufupi refa kawaonea wale wapinzani wetu, ss wapenda haki hatujapendezwa ,... Tunataka yanga yetu ishinde, Tena ishinde kwa kishindo, LAKINI KWA HALALI

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 Před 2 lety

      Unahisi shida ikowapi ambayohujapenda wewe kuwa wazi

  • @emmanuelsospeter2608
    @emmanuelsospeter2608 Před 2 lety +3

    Haikuwa penalty,pia ilipaswa urudiwe sababu wakati ntibazonkiza hajacheza mpira wa mezaji walikuwa tayari wameshaingia kwenye eneo la 6.ila refa aliangalia nafasi ya kulinda M PESA YAKE TU KUTOKA KWA GEM

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 Před 2 lety +3

    Mbona wachezaji wameingia kwenye box kabla penati haijapigwa

  • @jimmypetro8022
    @jimmypetro8022 Před 2 lety +4

    Enzi zile wancheza baba zetu huo mchezo ulikuwa unaishia hapohapo

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 Před 2 lety +2

    Fair competition, Wachambuzi mpooo.

  • @abdulshamte
    @abdulshamte Před 2 lety +5

    Ukiachilia mbali utata wa Penalt pia wakati wa kupiga penalt yenyewe watu washaingia kwenye box hata kabla ya kupiga mpira, tena mchezaji wa Yanga yupo mbele kampita hadi mpiga penalt. Bado Soka la Bongo lina safari ndefu.

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 Před 2 lety +5

    NDO MAANA UTO HAWAFIKI MBALI KWA KUBEBWA 😎

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 Před 2 lety +5

    Asantee Refa kwa kutupa penati ya mchongo 😂😂
    Maana tulikuwa tunaumbuka Sisi UTOPOLO fc 🐸 🐸🐸🐸

  • @paulheavyrain9584
    @paulheavyrain9584 Před 2 lety +2

    Asante refa

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 Před 2 lety +3

    Mm yanga ila kwenye penati hii hapana maana mchezaji kacheza mpira wala tucjicfie tulikuwa tunalala na viatu Leo tuchange chochote kitu tuka mzawadie rafa

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 Před 2 lety +3

    Hii ndio ligi halisi ya Bongo. Congo ikija 🇨🇩3-0 🇹🇿

  • @shilu.boishiluali6985
    @shilu.boishiluali6985 Před 2 lety +1

    Tunamtaka lefa uyu uyu kwenye mechi na sisi.🦁 🦁

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Před 2 lety +1

    I we tumebebwa au tumebeba Mimi naipenda Yanga💚💚💚💛💛💛

    • @f.a6043
      @f.a6043 Před 2 lety

      👉🏿🐸👉🏿🐸👉🏿🐸👉🏿🐸👉🏿

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 Před 2 lety

      Hata mikia sawa🤣🤣🤣🤣 Fei wetu katuambia msimu huu tunajambo letu.

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Před 2 lety

    Azam saaafi.
    Kwa highlights ya mapema! Hongereni sana

  • @ramadhanibazu4903
    @ramadhanibazu4903 Před 2 lety +2

    Daah!!! Ad refa kaingia mkataba na GSM ,hata kama ni ndani ya 18 mchezaj kacheza mpira

  • @saidimiraji3706
    @saidimiraji3706 Před 2 lety +3

    Kiukweli hawa waamuzi wanatuharibia mpira sana sasa penati gan hiii

  • @abdulrazaqabyoung4547
    @abdulrazaqabyoung4547 Před 2 lety +3

    Hwa ma refa wangekua wanapigwa kwanza

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 Před 2 lety +4

    Aibu kubwa wamuzi wetu. yanga wameishiwa tyr .

  • @christopherdimagaaaikopouw916

    Ukiacha ushabiki hiyo haikua penarty.

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 Před 2 lety +2

    Marefa mnauwa mpira nyinyi wasenge penat gani hiyo

  • @abdulrazaqabyoung4547
    @abdulrazaqabyoung4547 Před 2 lety +3

    Hawna taaruma ya kufundisha hawa marefa wengine ni wakuokotwa

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 Před 2 lety +3

    KUNA HAJA YA CAF KUISHUSHA THAMANI LIGI YETU KUTOKA LIGI YA 6 KWA UBORA AFRIKA MPAKA KUA LIGI YA 40 KWA UBORA NI UPUUZI MTUPU

  • @paschalsalum8874
    @paschalsalum8874 Před 2 lety +1

    Sema nmecheka sana aina ya upigaji wa penati

  • @edoswagstz4333
    @edoswagstz4333 Před 2 lety +3

    Refa kachezesha mpira kimahaba kabisa 😪 wanalibu mpira wetu bongo

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 Před 2 lety +1

    Aibu sanaaa kwa soka la tanzania mnatia aibu marfa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před 2 lety +3

    Kuna mbwa kabebwa 😁😁

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 Před 2 lety +2

    Ni hivi bongo mpira bado Sana sana

    • @allyibrahim5081
      @allyibrahim5081 Před 2 lety +1

      sijawai ona aiseee .yani penati aijapigwa bado wachezaji tayari washaingia ndani ya box na refa yupo apo apo na ameikubali penat duuu atari

  • @josephgabriel5337
    @josephgabriel5337 Před 2 lety +4

    Tanzania kwa staili hii tusahau kuendelea kimpira waamuzi atuna

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 Před 2 lety +2

    Utoporo mnazidi kutupa Raha ilikuwa mama J....! Leo mna taarfa nyngn😀😀😀😅😆🤣🤣

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 Před 2 lety +2

    mdaka mishale leo kadaka mavi😂😂

  • @dicksonbunalo1293
    @dicksonbunalo1293 Před 2 lety +2

    Yanga utopolo siyo timu iyoo yamebebwa tu na refaree shoga uyo?

  • @vintz338
    @vintz338 Před 2 lety +3

    No professionalism football kweny bad pitch Kam hvo ,niupotezaji tu wa pesa ,hapo wanacheza wachezaji wa kawaida ,viwango haviwez kukua

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 Před 2 lety +2

    Mimi kama shabiki wa Yanga damu, ila hili swala la marefa kuwabeba simba na yanga wanadumaza ligi na mpira wa Tz kwa ujumla

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 Před 2 lety +2

    Daah! Waamuzi wetu bado changamoto!!

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 Před 2 lety +2

    Kwa mpira wa sasa VAR ni muhimu

  • @thomasdenis5508
    @thomasdenis5508 Před 2 lety +3

    Ligi yetu ya Tanzania malefalii wanaenda na matokeo yaopia uwanjani apo sijaona uhalali wa hio penart😳😱

  • @PK-xx8go
    @PK-xx8go Před 2 lety +1

    Refa Unatuhusu vp goli ikiwa wachezaji wa Yanga ndani ya box kabla ntibazonkiza hajapiga?

  • @kaburunnko805
    @kaburunnko805 Před 2 lety +2

    Me ni wa yanga dam ila ile cyo penakit ukweli tuseme

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Před 2 lety +1

    Wachezaji wa yanga walitangulia mbele ya Mpiga penalty kabla hajapiga

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 Před 2 lety +3

    Hivi Yanga kweli walishangilia hili goli?

  • @andrewmgoyo8008
    @andrewmgoyo8008 Před 2 lety +2

    Mimi ni shabiki wa yanga lkn huyu refa anapaswa kuwajibishwa ikiwemo kufunguwa misimu miwili kuchezesha mpisha!

  • @simaimwinyi2749
    @simaimwinyi2749 Před 2 lety

    Game nzuri ila mazingira ya ilulu na uwanja haukuwa vzr na jua Kali Sana ndio Mana mchezo haukuwa mzuri sana

  • @rwamugangofrancis9037
    @rwamugangofrancis9037 Před 2 lety +1

    There no refers in Tanzania if it's like this I'm from Rwanda thx

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 Před 2 lety

      Ndio umeandika nini na wewe ....si muwe munaandika kiswahili tu kujitia aibu

  • @ramadhanmahongole9293

    Vinyesi wanabebwa sana na marefa na kwa mpira huu wana haki ya kucheza mechi 49 bila kupoteza

  • @fulgensiriwa5489
    @fulgensiriwa5489 Před 2 lety

    Good

  • @mugyabusopatrick5626
    @mugyabusopatrick5626 Před 2 lety

    🔥🔥🔥

  • @saidirobo1880
    @saidirobo1880 Před 2 lety +2

    Duuh hizi penalt za kibongo ni shida sasa hapo si kacheza mpira au na ndio maana hatuendelei kisoka

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 Před 2 lety +3

    Refa hana aibu kabisa

  • @joshuabryson8044
    @joshuabryson8044 Před 2 lety +1

    Yanga ubingwa ni kazi naona Leo mmeona kwamba bila mbeleko Leo ingekuwa balaa

  • @raphaelnovatus7085
    @raphaelnovatus7085 Před 2 lety +2

    Marefa wanakula lushwa

  • @allynassoro2080
    @allynassoro2080 Před 2 lety +2

    Refa uyu afungiwe

  • @josephnyangile3624
    @josephnyangile3624 Před 2 lety

    lefaa mungu anakuona

  • @bazilamusa6917
    @bazilamusa6917 Před 2 lety +1

    Ila hyo penalty ilivopigwa m

  • @f.a6043
    @f.a6043 Před 2 lety +2

    Haya manara aje kutumbia sasa vp kuhusu utaratibu

  • @johnkanyilizu864
    @johnkanyilizu864 Před 2 lety

    Mh kazi IPO mwaka huuu

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Před 2 lety +2

    Narudia tena mpira kama ujui kutoa pesa ujue ubingwa utausikia tu toa pesa kwa refa akubebe Kwahiyo yanga kutoa pesa kwa marefa si dhambi wewe usiotoa pesa subiri thawabu sio ubingwa

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 Před 2 lety

    Mwamuzi kwamba hajaona hata wachezaji wameingia ndani ya box kabla mpira haujapigwa?

  • @aminarashidi1034
    @aminarashidi1034 Před 2 lety

    Yanga rahaaaa

  • @peterjohn7613
    @peterjohn7613 Před 2 lety

    Namungo wameonewa

  • @ronaldomkongwa9256
    @ronaldomkongwa9256 Před 2 lety

    Daaaaah mbona mnatuumiza jamn

  • @nyambirotrueinformation7500

    Wewe Kazi ya kutangaza inakushinda unaleta usimba na uyanga kwenye Kazi Yako inamaana wewe huoni contact Hapo au inatangaza utopolo 2

  • @eddy4998
    @eddy4998 Před 2 lety +3

    hakuna mpira bongo sasa mtuu hajapiga penalt mwengine ameshafika mpaka kwenye Gori na muamuzi yupo tuu Kama gogo hiyo penalt ilitakiwa irudiwe

    • @parambili1382
      @parambili1382 Před 2 lety +1

      Lefa alibet mkuu ndo matatizo ya malefa kubet ayo

  • @zainabumnana9763
    @zainabumnana9763 Před 2 lety +1

    Huyu lefa anahitaji uangalizi si kwa ubovu huu

  • @martinclinton6877
    @martinclinton6877 Před 2 lety

    Daah

  • @shabanikitingi7736
    @shabanikitingi7736 Před 2 lety +2

    yan bongo mmh hawa marefa wetu ni shida tupu

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 Před 2 lety +1

    Uyu refa wamfungie maisha

  • @upgo6112
    @upgo6112 Před 2 lety

    Yanga yetu hiii si ya kushangilia kwa hii penati

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    Tuanze kukodi marefa ulaya tu kwa Hali hii

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 Před 2 lety

      Kwasababu gani?? Mbona msimu uliopita hamkusema?namadudu mengi tuliyaona,Mtu anakuwa na mechi 8 hajacheza wenzake wamebakiza mechi mbilimbili nawengine wamemaliza.

  • @siliakilojasi870
    @siliakilojasi870 Před 2 lety +4

    Mimi.nishasema bongo.malefa.hakuna...washenzi2...

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Před 2 lety +1

    Kweli Yanga mna kazi kweli yaani hivyo ndivyo mnavyoona ni sawa kweli, Mbona huyo Faytoto alistahili kadi ya Njano kwa kumhadaa refaree, halafu penalty hiyo inapigwa na Wachezaji wangapi?
    Ukiangalia mpigaji ni mmoja lkn wanaokimbia ndani ya box ni wangapi?

  • @kelvinzephania5917
    @kelvinzephania5917 Před 2 lety

    It's not fair

  • @abdalahnguzo1606
    @abdalahnguzo1606 Před 2 lety +4

    Unamnyimaje namungo penat mbili halali unampa yanga penalty ya muamala? Hawa marefa wetu Hawa duuuuh ujinga mtupu

  • @nassorkhamis2237
    @nassorkhamis2237 Před 2 lety +2

    Na ndoo maana mukenda kimataifa hamumfu gu mtu mbwa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 Před 2 lety +3

    Fei toto kapigwa tobo.. mpira ukarudi ulikotoka.. kajiangusha wakati hakuguswa! Na hata baada ya kujiangusha kwa tobo alilopigwa dogo bado kamruka.. meaning.. feitoto hakuguswa na huyo dogo..! Hiyo haikuwa penalty kick..! WAMEBEBWA UTOPOLO..!

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 Před 2 lety +1

    Refs keisha pewa mrungura hapo penati gani hata ndondo hupewi penati kama hiyo

  • @babamarkom9881
    @babamarkom9881 Před 2 lety +1

    ila leo tume bebwa akuna penati

  • @mohamedrajabu6759
    @mohamedrajabu6759 Před 2 lety +1

    Leo tuseme ukweli tumshukuru refa

  • @wiseman6276
    @wiseman6276 Před 2 lety

    Refa kawabeba wananchi

  • @motamohele3015
    @motamohele3015 Před 2 lety +2

    Kama niadhabu inabidi mpate yanga basi muanze kumwambie fei toto aache hizo tabia na do maana washambuliaji wetu wa bongo wanaharibiwa na malefari wetu hawahawa baada yakupambana yeye analala na sasa chukueni ile faulo aliyochezewa jana morison na mfananishe huu utopolo wenu mliomdanganya lefa ....pumbavu zenu.

  • @alfredibrahim9251
    @alfredibrahim9251 Před 2 lety +1

    Sema wameanza kushona sare tutafahamiana tu baadae

  • @davidobonyo7558
    @davidobonyo7558 Před 2 lety +2

    Mbona hii ni penati ya wazi sasa watu wanamlaumu Mwamuzi kwa kipi hapa

  • @georgelfrank8828
    @georgelfrank8828 Před 2 lety +1

    Hata mechi za michangani zina marefa wazuri… hii aibu sana , FIFA ipelekewe replays ya hii game … huyu refa na wasaidizi wake wote wasiruhusiwe tena kuchezesha mechi za ligi! Wanahitaji mafunzo ya hali ya juu

  • @saimonijonas1471
    @saimonijonas1471 Před 2 lety +1

    Tatizo la kuahidiwa pesa kwakuifunga Yanga mtaona mnaonewa kwanamna pesa zimewachanganya.

  • @martiniloshilu152
    @martiniloshilu152 Před 2 lety +3

    Endeleeni kubebwa bana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Před 2 lety +1

    Haya tena vyura si kwa penalt hiyo

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 Před 2 lety +3

    Mi nakuambia siku refa ata kuja kuuawa

  • @saidsultan9177
    @saidsultan9177 Před 2 lety +1

    kumalamamako refa

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 Před 2 lety

    Wamebebwa hao

  • @josephmapunda3794
    @josephmapunda3794 Před 2 lety

    Ligi ngumu hii aaah yanga timu Bora yako wapi sasa?

  • @godfleymagomela7193
    @godfleymagomela7193 Před 2 lety

    Azam, ahsate kwa kuweka pesa il vijana na tim kwa ujumla wanufaike kwa kujituma, lakn mbona kama malefalii wanashusha hadh kwa kile mlicho kiweka kwenye mpila, au bado marefa hawalipwi mbaka wanafanya haya

  • @tiaschris7070
    @tiaschris7070 Před 2 lety

    Ni Aibu kubwa sana

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 Před 2 lety +3

    Mechi ya Yanga na Ruvu, Mayele alishika mpira kwa mkono, penalty ikaenda Ruvu. Hii ya leo, mchezaji wa Namungo kacheza mpira, imekuwa penalty. Ujinga mtupu!!

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 Před 2 lety +1

    Kwnz wakat penat inapigwa wachezaji walitoka karibia yote ilitakiwa irudiwe

  • @abdulfadhilsaid4327
    @abdulfadhilsaid4327 Před 2 lety +1

    Angempga kwer unapewa kad unatoka kizembe mpge kwer

  • @hajiussi5107
    @hajiussi5107 Před 2 lety +1

    Washabiki makalio wasojua boll wataongea tu

  • @mandujaro
    @mandujaro Před 2 lety

    Hadi wabebwe na rifarii

  • @beiyamkaa9409
    @beiyamkaa9409 Před 2 lety

    Duuh!!

  • @wyclifferugangila6867
    @wyclifferugangila6867 Před 2 lety

    Hawa marefa watakuja sababisha umwagaji damu uwanjani. Ile siyo penalti, na namna ilivyopigwa imepigwa kihuni

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 Před 2 lety

    Machenchele sie tunajua namungo1yanga0