Mtu mmoja amefariki kwenye ajali eneo la Kisauni

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 05. 2024
  • Mtu mmoja amefariki baada ya gari la kubeba maji kugongana na bodaboda katika eneo la VOK, Kisauni, kaunti ya Mombasa. Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo, hii sio ajali ya kwanza kutokea eneo hilo. Wakazi sasa wanaitaka serikali kuu kuharakisha ujenzi na upanuzi wa barabara hiyo kando na kuwekwa matuta.

Komentáře • 18