MAHOJIANO MAZURI SANAA VIWANJA VYA ARAFA MAHUJAJI WALIVYOJIONA MIILI YAO MIEPESI KAMA WATUA MIZITO.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 06. 2024

Komentáře • 15

  • @faidhachuo9086
    @faidhachuo9086 Před 4 dny

    Masha Allah, ya Allah awajaalie hija njema, Nasie ambao hatujajaalia Allah atufanyie wepesi in Sha Allah

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 Před 11 dny +2

    Kweli hajj ya mwaka huu ni nzuri shekh jafari unachangamsha masha allah,allah akulipe her😂😂😂😂

  • @HamidaMohammed-fc7oj
    @HamidaMohammed-fc7oj Před 5 dny

    Mashallah allah awarudishe salama

  • @user-ey9vf2xo6l
    @user-ey9vf2xo6l Před 10 dny +1

    Daah nimefurah kwa mliojaaliwa kwenda haji had wivu jafar umenifurahisha sana kwa kuwachangamsha wa kina mama na iman nami In shaa Allah

  • @MikkyKikula
    @MikkyKikula Před 3 hodinami

    Daaah subhaanallaah itakuaj SS jaman ndug zetu mnaofika huko tuombeen Nass Tuwez kufika kweny nyumba tukufu ya allaah allaah tujaalie waja wake Kila lakher

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf Před 12 dny +1

    Presha inatuangusha sana😢'

  • @user-gp9np3nf2p
    @user-gp9np3nf2p Před 12 dny +2

    Kwakweli nifuraha sana masha.Allah Allahu amkubalie dua zenu na zetu insha Allah nasi ipo siku Allah atatuita

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973

    Natoa macozi kwakutamani hijaa

  • @TwaliathAndrea-dm3dy
    @TwaliathAndrea-dm3dy Před 10 dny +1

    Namuana shangazi yetu hapo Nasra

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 Před 7 dny

    Sheikh Jafari nakupenda Kwa akili ya Allah😂😂😂 umechangamsha hijja

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf Před 12 dny +1

    Wewe Nani Mbona Unachekesha hivyo😂😂Sheikh Jafari UNANIUA MBAVU...😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Před 8 dny

    Toka nianzee kufuatilia hajji
    sijawahi waoma
    Bakhressa Muhammed Dewji( Mo)!
    Au commentor wenzangu mnasemajee!!!

    • @SabihaRajab
      @SabihaRajab Před 10 hodinami

      Hee baharesa keshakwenda sanaa na anapeleka na wafanyakazi wake kila mwaka