1ON1 na Barbara Gonzalez | Mipango, mikakati, malengo na ndoto kubwa za Simba SC (Exclusive)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 05. 2021
  • Ni mahojiano ya ana kwa ana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ambaye ameeleza kwa kina mipango, malengo na ndoto kubwa alizonazo kuipelekea Simba 'next level' (viwango vya juu) .
    Hapa anazungumza na Philip Cyprian na miongoni mwa mambo aliyoweka wazi ni kuhusu mchakato wa mabadiliko, usajili, mipango ya kufanya vizuri kimataifa pamoja na matarajio yake kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba vs Yanga Mei 8, 2021.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Sport

Komentáře • 65

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 Před 3 lety +5

    Nakukubali Sana sister Barbara wew ni mchapa kazi mtu wa kazi Simba nguvu moja ❤️🤍💪🏼

  • @rehemabakali494
    @rehemabakali494 Před 3 lety +4

    Dada km dada maashaallah Allah akusimamie ktk kila hatua yko ila umependeza na ulivyojistiri umebadilika

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 Před 3 lety +2

    Wanasimba tumepata kiongozi mwenye weledi wa uongozi kiujumla kisoka, kibishara kwa modern ya soka ya sasa hivi big up ceo wetu wengi tunakukubali sana

  • @isayastephan2026
    @isayastephan2026 Před 3 lety +2

    Hongera sana CEO wetu Mungu akupiganie

  • @silivanatemu3090
    @silivanatemu3090 Před 3 lety +4

    Hongera Sana madame,upo vzr sana,Mungu akujaalie na pia azidi kuijalia SSC

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Před 3 lety +2

    NAomba mungu simba ishinde kumuheshimisha huyu dada wallah wanawake wanaweza wakiwezeshwa

  • @tanzaniatouristsattraction1622

    Hawa ndo watu wa kusikikiza sio.kina lulu diva🤣🤣

  • @hayramswalehe4976
    @hayramswalehe4976 Před 3 lety +1

    Umependeza mrembo uko tofaut xana,xhungi umefunga vizury xana washa moto me nakupenda sana kwakua hauna asil ya dharau

  • @davidicjunior8969
    @davidicjunior8969 Před 3 lety +6

    Hongera sana mungu akuzidishie utashi katika Maisha yako na uongoz wako katika timu big up Madame💯💪

  • @solomonmassangya8187
    @solomonmassangya8187 Před 2 lety

    Tunakupenda CEO wetu uko vizuri unasifa zote

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 Před 3 lety +2

    Mi ni mwananchi damu damu ila huyu dada namkubali kwa kweli, kichwaaa sana.

  • @yussuframadhan7955
    @yussuframadhan7955 Před 3 lety +3

    Ilike barbra the way of talk and answer question she confident keep it up

  • @ckanjason7675
    @ckanjason7675 Před 3 lety +1

    Yes Barbara...you're a real Simba suporter,leader,fun,organizer...wooow! Im really apreciating yo views mydear sister. Yo'so smart Barbara. This is Simba the next level!

  • @azizhamed6201
    @azizhamed6201 Před 2 lety +1

    Mashallah dada wewe mzuri na umependeza kweli ulivyo vaa hijab yaani muislam kamil badil dini basi nikuowe

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 Před 3 lety +3

    Endelea kujistiri unapendeza na niheshima kwa kwako na simba sc

  • @petermaeja502
    @petermaeja502 Před 3 lety +5

    Mtangazaji umeshindwa kuuteka wigo wote wa Madam, she is so smart nahisi ungeandaa maswal mazur zaidi angetoa elimu nzuri sana🙏🏿👌

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 Před 2 lety

    Mashaallah

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 Před 3 lety +1

    This is what i call cool interview......beauty n brains .....All Africa giant magazines should meet madam C.E.O......
    ME:wakenya munasemaje?
    Kenyans:madam C.E.O ni mkenya🤦🏿‍♂️

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 Před 3 lety

    Mwashi kitoko ya Simba arobi makambo ya bien Toujour makambo Madam Gonzalez ZAMBE pesa lupemba

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Před 3 lety +1

    Nice interview,,,Bab u know how to talk

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Před 3 lety +2

    Madam CEO 🔥🔥

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 Před 3 lety +1

    Ceo wetu akili mingi big up mom

  • @JIWEtv6484
    @JIWEtv6484 Před 3 lety

    Uko vizuri

  • @liziwanishemzigwa3473
    @liziwanishemzigwa3473 Před 3 lety +2

    dada
    🙏🙏

  • @ayoublupande3987
    @ayoublupande3987 Před 3 lety +1

    Umependeza San ushungi CIO wetu tunakupenda

  • @bakarikmbwego6067
    @bakarikmbwego6067 Před 3 lety

    Safi sana Babra

  • @olelesimba3028
    @olelesimba3028 Před 3 lety +1

    Nice 👍👍

  • @mussamussa952
    @mussamussa952 Před 3 lety +2

    Wewe dada unapendeza sana ukiwa umevaa ushungi kuliko ukiwa wazi. Utanisamehe bure binafsi nakuona mpya sana na nakupenda kwa ajili ya ALLAH unapokua umejistiri kama hivo. Hongera sana na mungu akupe imani ya kuvaa hivo muda wote. Ufate modality ya mama yetu RAIS SAMIA.
    💘💘💘💘💘💘💘💘💘

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 Před 3 lety +1

      Huyu n mkristo

    • @dibabatv5761
      @dibabatv5761 Před 3 lety

      @@edsonndomba1049 Nani kakwambia

    • @yusuphj2357
      @yusuphj2357 Před 3 lety

      Muislam hyu

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 Před 3 lety

      Stara huwa hawaitaki sijui kwann....na stara huwa haimuangushi mtu....stara ni njema na inawawawekea heshima kubwa wanawake lkn hawaitaki.... I kiwaambia wajistir wanakwambia urmbo wao hautaonekana.....stara ndio inayomtunza mwanamke

    • @leonardpeter6385
      @leonardpeter6385 Před 3 lety

      Toa uislamu wako haoa

  • @messivini7440
    @messivini7440 Před 3 lety

    Ongera mama

  • @richardsikazwe9197
    @richardsikazwe9197 Před 3 lety +1

    Bgp sister

  • @mzaha
    @mzaha Před 3 lety +1

    Eti kuna wahuni wanasema babra sio mtu wa mpira watuache kidogo

  • @rwangakugwabirakarl88
    @rwangakugwabirakarl88 Před 3 lety

    Tu es vraiment jolie# Barbara Gonzalez

  • @boazysanga6320
    @boazysanga6320 Před 3 lety

    My C.O

  • @beatricezacharia1606
    @beatricezacharia1606 Před 3 lety

    Madamu umependeza sana na ushngi

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 Před 3 lety +1

    Naam

    • @saleheomari7469
      @saleheomari7469 Před 3 lety +1

      Она очень красивая и говорите хорошая speech

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Před 3 lety

    🙏🙏🙏🙏

  • @saidimchilowa2455
    @saidimchilowa2455 Před 3 lety +1

    Mr madamu wetu PGA kelele zakeeeee

    • @maulakaroli8323
      @maulakaroli8323 Před 3 lety

      Rudi shule utopolo huku simba hatuna majina ya kidibwi kivile

  • @annasamo7063
    @annasamo7063 Před 3 lety

    Maswali yako ni ya kisomi wote nawaelewa kila LA heri simba

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Před 3 lety +1

    Azam medea:nini maana ya 10N1

  • @stanslauskyando8563
    @stanslauskyando8563 Před 3 lety

    SIMBA BABA LAIO

  • @saidimchilowa2455
    @saidimchilowa2455 Před 3 lety +1

    Wachezaji wetu wamevaa kapulata

  • @allec2905
    @allec2905 Před 3 lety

    Shule ni kitu kizuri

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Před 3 lety

    Huyu mchumba ana akili kubwa sanaaaaa.

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 Před 3 lety

      Mwanamke mwenye akili nyingi ngumu sana kuishi nae. Huwa hawana muda wa kumjali mume. They always focus about money and business.

    • @debrynairobi7447
      @debrynairobi7447 Před 3 lety

      @@abbyadams8691 Not always the case, though you are somehow correct.
      There should be a room for flexibility in everything you believe. Some women of this nature are , purely a blessing to their men and family.

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Před 3 lety

    Mwanamke ni stara, lau wangejua kuwa uzuri wa mwanamke ni kujifunika asionekane mwili wake na thamani yake ilivyo basi wanawake wangelikataa kujiachia na kuonekana na kila mtu.

    • @saidiwazirijuma9299
      @saidiwazirijuma9299 Před 3 lety

      Uᴍᴇᴘᴇɴᴅᴇᴢᴀ ᴅᴅ ᴜsᴠᴜᴇ ᴜxʜᴜɴɢɪ

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 Před 3 lety

      Kuufunika moyo nitija Sana kuliko hili kasha linaloenda kuoza kaburini kwa funza kulitafuna

    • @linuschuwa3879
      @linuschuwa3879 Před 3 lety

      Babra Gonzalez ni zaidi ya CEO yaan anajua mpk anakera dah Simba raha sna miaka mitano mbele hakika kitaumana

    • @ghalibabdullah9801
      @ghalibabdullah9801 Před 3 lety

      Yaani leo kawa mpya kabisa amependeza mpakabasi

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Před 3 lety +3

    Barbra nimependa sana majibu yako dada yameenda shule siyo wakukurupuka hasa ulivyo malizia kwawatani upo vizuli sana mama

  • @mzaha
    @mzaha Před 3 lety

    Eti kuna wahuni wanasema babra sio mtu wa mpira watuache kidogo