Kamwe asema mechi yao dhidi ya Augsburg imeondoa migogoro ya ndoa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 09. 2024
  • #MpumalangaPremiersInternationalCup2024: “Kuna watu walikuwa na shidashida kidogo za ndoa, matatizo yameanza kupungua” maneo ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe akizungumzia namna mechi yao ya leo dhidi ya Augsburg ilivyoleta neema kwa baadhi ya watu.
    Ametolea ufafanuzi kuhusu ushiriki wao kwenye michauno ya #MpumalangaPremiersInternationalCup2024
    Matokeo ni FC Augsburg 2-1 Yanga SC
    #MpumalangaPremiersInternationalCup2024 #Mpumalanga #YangaSC #FCAugsburg #AUGYNG

Komentáře • 173