MBWADUKE: FOX IN THE BOX! GUEDE ANA BALAA/ KWA JANJA YAKE HII ATAIFUNGIA SANA YANGA/ KI, PACOME...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 05. 2024
  • MASAHIHISHO
    Kumradhi. Katika Ligi Kuu NBC Guede amefikisha mabao manne (na siyo matatu). Hiyo ni baada ya bao lake dhidi ya Coastal Union lililoipa Yanga ushindi wa 1-0.
    By Mhariri Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
    Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Komentáře • 26

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Před měsícem +6

    Kweli kabisa mana wengine walimbeza hata alipo fanyiwa sabu watu walikuwa wana mbeza sasa kaanza kufanya yake na Mungu amjalie Afya ya Mwili na Roho🎉🎉🎉🎉

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před měsícem +6

    Unajua mpaka unakera
    Embu fungua darasa uwafundishe Jemedari aka kipara, oruma na wenzie pale E Fm Oscar wote huwa hawajui wanachochambua

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 Před měsícem +2

    Mzee wa data, kama utakumbuka vizuri huyu Joseph Guede uchezaji wake na namna anavyojiposition uwanjani ni kama alivyokuwa akicheza Zamoyoni Mogela aka Golden boy!

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před měsícem +2

    Mwamba huyu hapa Mzee Wa Data 🎉🎉🎉

  • @AlliYanga
    @AlliYanga Před měsícem

    Tambaa mtaalamu wangu kwa mm natamani niwe nakusikiliza kuliko redio yoyote tz huwa nakuelewa sana

  • @ZainabWadi-sq8xu
    @ZainabWadi-sq8xu Před měsícem +4

    Asante

  • @Trendingnews-bill
    @Trendingnews-bill Před měsícem +2

    Jamaa yuko vizuri hata miaka naona hajadanganya sana

  • @mwanangusana
    @mwanangusana Před měsícem

    Joseph Guede Gnadu ......ongeza bidii , una kitu flani utafika mbali 🤓,

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Před měsícem +1

    Walimbeza sana baadhi ya wachambuzi sasaivi wanamsifia🔰🟢🟩💪

  • @SelemaniBugalu
    @SelemaniBugalu Před měsícem

    BWADUKE UPEWE NINI MAANA SIYO KWA UCHAMBUZI HUU DUH

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Před měsícem +1

    Mzee wa data Unafaa kuajiriwa crown 👑 TV Kuuchambua mpira?

  • @shomarisangari-rt6le
    @shomarisangari-rt6le Před měsícem +1

    Nakubaliana na Ali Kwame wewe ni Bonge la Mchambuzi Africa mashariki kati na kusini

  • @AlfredKyando-de3ru
    @AlfredKyando-de3ru Před měsícem +5

    Uchambuz wa viwango tumpe maua yake mzee wa data🎉

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi Před měsícem

    Mchambuzi wangu pendwa na ninaekuamibi muda wote

  • @FESTOAKARO
    @FESTOAKARO Před měsícem

    Tunakupa Maua yako kwa kuwa Umekuwa mkweli ktk data zako upo tofauti kabisa na wachambuzi wanaochambua mchezo kwa kuelezea ushabiki wao badala ya kueleza ukweli kama unavyofanya wewe. Endelea kuwaumbua kwani hawajitambui. Hongera sana. Lkn hata hivyo ni mwalimu wa Chuo gani?

  • @TTt-vi2ks
    @TTt-vi2ks Před měsícem +2

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mudimkagila5252
    @mudimkagila5252 Před měsícem +1

    mudy muzungu mwamba wa mbarali

  • @peterwachara4404
    @peterwachara4404 Před měsícem

    Good

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 Před měsícem

    Mimi sijawahi kuwa na mashaka naye nilijua ni swala la mda tu!! Kuna comment moja nilicoment kwamba Azizi akizoea mazingira atakuwa tishio, kuna mtu alinikashifu na kusema hakuna kitu hapo ivi sasa mpaka Mamelod wanamuhitaji

  • @peterkabeke362
    @peterkabeke362 Před měsícem

    kilichofuata lolololooo😂😂❤

  • @user-bn8zq2cm7r
    @user-bn8zq2cm7r Před měsícem +9

    Mzee wa data kwenye ligi guede ana mabao 4. Singda 2,simba1,juz coastal 1 jumla bao 4 kama hunakubaliana na mm gonga like yako hapo 🎉🎉🎉🙏🎉💚💚💚

    • @user-nm2jq7xo5f
      @user-nm2jq7xo5f Před měsícem +3

      Nimchezaji nzuri ni sualalamuda tuu

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  Před měsícem +2

      Correct. Uko sahihi. Umetisha Mkuu. Hapo juu haikuhusisha game ya mwisho dhidi ya Coastal hivyo uko sahihi. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.

    • @cacanoelstambuli9067
      @cacanoelstambuli9067 Před měsícem

      Bao la tatu katika mchezo husika,jaribu kumwelewa mchabuzi