Hongera broo
Vocha
Shukrain san naimani apa hakuna biashara inakayo shindikana kufanya kama pakipatkana huyo mtaji wapessa umekao sema apa
Hahahaha Kaka anaongea huku akimezea mate chakula mnamckia lakn???
Nilikuwa nafikilia kufungua biashara ya kurusha nyimbo yani studio kubani nyimbo
Enock nayo pia ni biashara nzuri kama ukipata eneo la watu wengi wenye uhitaji.
Hy
@@ashirunaabubakari4500 Ni biashara nzuri na yenye faida kubwa hasa ukipika kwa oda kwa mwanzoni na baadae ukifanikiwa unatanua biashara yako zaidi.Karibu
Asante sana na karibu saanaa usisahau ku subscribe ili kuwa wakwanza kupata video mpya kila zinapowekwa.
It really good guys tusubutu tatafikambali