DOTTO MAGARI ASIMULIA ALIVYOTAKA KUCHOMWA MOTO KISA WIZI / MACHOZI YATAKUTOKA / INASIKITISHA SANA
Vložit
- čas přidán 5. 03. 2024
- SIKIA MWANZO MWISHO DOTTO MAGARI ALIVYOSIMULIA KISA CHA KUATAKA KUCHOMWA MOTO KARIAKOO BAADA YA KUIBA SIMU KARIAKOO INASIKITISHA SANA TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
#manaratv #hajimanara #diamondplatnumz #wasafimedia #millardayo - Zábava
Bland ya kaka Dotto magari haiwezi kushuka hata siku moja hivi ni vitu vya kawaida alipo kaka yetu Dotto na sisi tupo iwe furaha au huzuni Tunduma border post moja❤❤❤
Usipofunzwa na Ulimwengu Utafunzwa na Mamae....@duh! Mamae Dotto😂😂😂
Yes mm ninaekujua shemela wangu ndqni yq kino blazili nakuombea kwa mungu uishi sana huna baya wkt upo modo tolu 😅
Doto magali nakukubali sana bloo
Kufanya interview na dotto hunahaja ya kutafuta content utaipata katika maongezi yake tuu
Kweli kabisa uaminifu ni muhimu sana
Big up
Ivi kwanini madem wakiomba hela afu usimpe wanachukia?
😂😂😂😂sasa akikosa maokoto atafurahia kweli shida wao wanamini wanaume ela tunaokota vjui😊😊
😂 hata Mimi sijuwi
Ila kumhoji dotto ni kazi sana
Angalia doto hiyo bongo....watakuchua police wa bongo noma
Njoo Kenya
Bado maisha yanaendelea. Kwani ukinyamaza itakuwa jee?
Jump jump no position
😂❤🙌🔥
Tisha sana
#Hajimanara weka challenge ya waongeaji
KUTA NOGA SANA KBS
Yaan huyu aitwe tyu na joti walai watapiga pesa idea watengeneze kitu na huyu jmaa
Na hapa ipo😂 xafi xana tunakuombea kaka mkubwa
Watching from china😂😂mwijaku makes my day wallahi
Ifulensa.. Influencer duhhh
Huyu Dotto magari influencer
@@twiseghekisilu8845 anavyoitamka sasa ndio mtihani, siatamke tuu kwa kiswahili chetu
Dotto unanitoa stress Mimi jamani 😂😂
catalism ndio nini doto nenda shule na ulimbukeni wako ....ifolesa ndo nini
Pank kama mcheza X😂
Msenge huyuu
Ukihitajika utaitwa....😀😀😀😀😂😂😂😂
Mbona unasema haujasoma ,sasa mbona unasema mlipokuwa mnatoka shule mnapanga kuiba,tukuamini kipi sasa
Haaaah
Vitu vya kawaida kwenye jamii😂😂
😂😂😂 ety panki kama mcheza X
Do too magali binzali
Wew dotomsenge kumbe mgaigai
Sasa mbona hajaacha uo wizi😢
Kumbe kakuibiwa Jana au
Chumvi nyanya binzari mbona upati jeraha
Mikwara hiii
Nywele zako finally chawa
Maana maswali utayoenda nayo utayasahau tokana na maongezi yake jinsi anavokutoa kwene reli
😅😅
Mshamba mwenyewe doto wewe😂😂
Kama Nikweli Walitaka Kukuchoma Moto. Bora Wangekuchoma Moto Tukapumzika Kuliko Hivi Sasa Unavyotuchosha.
pu😢
Anakukosesha nini km usingemfoloo
@@sleyumngolo Niutani Tu