Hongereni kikosi cha Mshangazi. Nimejifunza mengi. Mmeandika ni final, kisha tamati mmeandika to be continued. Which is which now? Tusubiri muendelezo ama ndio series imeisha? Alafu tupatieni Kapera aishi huku kwetu Kenya. Ana kiswahili cha huku kwetu Kenya. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
Inamaan mm nina roho mbyay ya kutokusamehe au ni movie tuu wanàsamehean kirahis mbon mim.kiuhalisia siwez kil mtunafany yake ulale mitaron ulale wap mim sipo tukishaachn tumeachn
Mtu akitubu kwa dhati na akionyesha mabadiliko inapaswa umsamehe, kwan hata ukisema unaenda kwa mwengine kila mtu anamadhaifu yake, ndo maana kuna neno samahani.
@@emmariontabu254 ni sawa ila Kuna yanayozd kwakwer Yan km kumdhalilisha mtu ni kumvua mtu nguo mbere za wat nitawezaje kukusameh huku euvua utu Wang hat nikikusameh bas kil mtu aenderee na maish yake
mshangazi pole San ila tumejifuza mengi usiwai amini mchepuko hata kama anakupa kila kitu
Ahsanteni mloshiriki hii movie nzuri💗
Umeimaiza mapema shogaa aanguu😊
❤ mshangaz
Kaz nzr ila Hilo jina nimewapa wadada wenye umri ilioenda kazn nalimewashika kweli nawaita mashangaz huhu
Muwe mnatupa like wenzenu
Wa kwanza leo kutoka Mozambique Msumbiji ❤❤, maua yangu jamani 🎉🎉
Mshangazi jmn mbona mme maliza halaka jmn❤❤❤❤❤❤
Hongereni kikosi cha Mshangazi. Nimejifunza mengi. Mmeandika ni final, kisha tamati mmeandika to be continued. Which is which now? Tusubiri muendelezo ama ndio series imeisha? Alafu tupatieni Kapera aishi huku kwetu Kenya. Ana kiswahili cha huku kwetu Kenya. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
I like that mshangazi
Uko vizuri sara
Tamu sana imeisha mbio mbona
Nawafata toka DRC Congo
Tamu sana hii❤❤❤❤
Hongera sana mshangazi, pia ahsantee kwa ujumbe mzuri
Jmn mshangz😂
Kama wewe umeikubali kama nilivyoikubali mimi like hii move
Umalaya tu,kuoga aaah
Asante sana nimejifunza mengi
Kazi tamu
Bravo Sarah na wanawo kazi nzuri sana 👏❤️, keep a good work Guys loves you y'all....
Hongera sana dada ninzuri sana umefanya vizuri sana 🎉🎉🎉❤❤
Hii movie Iko na mafunzo mengi sanaaaa sijai lia Leo hii nimetonfokwa na chozi😢😢😢 congratulations 🎉🎉🎉
hey wa mwanzo
Movie Kali sanaaa hongereni eee mbarikiwe🙏🙏🙏🙏
hawez hahahah😊
Mshangaz hongera mungu akubariki kwakila hatuwa ❤❤❤
Acha tutakuja ona kama ataendelea na umalaya ama ataacha mshangazi🎉🎉
kaz kaz
kuna wadau wana view tu like hatuzioni
Unyama kweli, keep it up
😂😂😂 mshangazi
Inamaan mm nina roho mbyay ya kutokusamehe au ni movie tuu wanàsamehean kirahis mbon mim.kiuhalisia siwez kil mtunafany yake ulale mitaron ulale wap mim sipo tukishaachn tumeachn
Mtu akitubu kwa dhati na akionyesha mabadiliko inapaswa umsamehe, kwan hata ukisema unaenda kwa mwengine kila mtu anamadhaifu yake, ndo maana kuna neno samahani.
@@emmariontabu254 ni sawa ila Kuna yanayozd kwakwer Yan km kumdhalilisha mtu ni kumvua mtu nguo mbere za wat nitawezaje kukusameh huku euvua utu Wang hat nikikusameh bas kil mtu aenderee na maish yake
Kazi nzur ❤❤🎉🎉🎉
Oyaa dmx umeuwaaa sanaaa humu
Nakuona mbali bro
Next 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
aaah huyu wa mwisho kilio kazinguaaaa bhna
Kama umemkubali don Gonga like twende sawa
Ingekuwa sio mwisho wangeenderea ila kwakuwa ni mwisho hawez kurudia
Final mushangazi asante sana kwafunzo aya❤❤❤🎉🎉🎉
Muenderezo amna
Nice❤❤🎉🎉
❤❤❤ mshangazi 🔥🔥🔥🔥🔥
Jinala wimbo pleas
❤❤
🔥🔥🔥
❤❤😂😂
Kazi nzuri
🎉🎉🔥
mshangazi uko vizuli
👋
Movie Tam saàna❤❤❤
MSHANGAZI ™®
😂😂❤
Hii nyimbo ni ya nan
Nakupenda
Sala nakupendaga bule popote ulipo nina zawad yako
😂😂😂😂❤❤❤❤
Mbona imeisha hivyo
❤ mamb
❤ mshangaz
❤❤
❤ mshangaz
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤