Matimoni (send skiza 7582115 to 811)Padi Wubonn ft Kush Tracey - (Parody)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 12. 2018
  • #Matimoni
    #bflkenya
    Matimoni parody by Padi Wubonn ft Kush tracey originally done by Jahcob ft Teknixx
    Artiste: Padi wubonn
    Audio: bigdreams studios
    video:bigdreams films
    Directed by Ricky Bekko
    Edited by Mulinge Collins
    scripted by Padi Wubonn
    a big dreamsstudiosproduction 2018

Komentáře • 723

  • @McaTrickyOfficial
    @McaTrickyOfficial Před 5 lety +262

    Kali sana wadau !

  • @cynthiaayo3897
    @cynthiaayo3897 Před 5 lety +50

    KushTracey's Vocals 🔥🔥🔥🔥

  • @MonkKenyancomedian
    @MonkKenyancomedian Před 5 lety +40

    Padi you inspire me alot😊

    • @NAT50762
      @NAT50762 Před 5 lety

      Boy wetu wa chuka .😂😂😂😂nisake tutoe parody

    • @padiwubonn6408
      @padiwubonn6408  Před 5 lety

      Asanta sana bro. People like you keep us going. Thanks tena

  • @juniorjunior6206
    @juniorjunior6206 Před 5 lety +3

    mluhya ndii fan wao bna

  • @chillahchillah4374
    @chillahchillah4374 Před 5 lety +7

    One of the reasons why 🇰🇪 is a feeling, not a country... Padi 🔥

  • @nevilledwayne
    @nevilledwayne Před 5 lety +169

    Nadai tu likes.. Zifike 100

    • @issamutisya1759
      @issamutisya1759 Před 5 lety

      Zita fika

    • @nevilledwayne
      @nevilledwayne Před 5 lety

      Issa Mutisya zikam tu.maybe nitakuwa celeb

    • @laurynnakitare4025
      @laurynnakitare4025 Před 5 lety +3

      Unataka kubet nazo ama

    • @laurynnakitare4025
      @laurynnakitare4025 Před 5 lety

      @@nevilledwayne 😂😂😂 itabidi umeweka deposit ya mahari before ulete likes home.

    • @nevilledwayne
      @nevilledwayne Před 5 lety

      Lauryn Nakitare si waona hapa ndo mtu hujishindia mke,,thank you paddy..huyu nishapata.. Contact me asap Kwa whatsapp

  • @footballtv47
    @footballtv47 Před 5 lety +16

    Ati "hii si ni kichungi ya machani chai"😂😂😂😂

  • @robertkitali3361
    @robertkitali3361 Před 4 lety +1

    kila kitu nje,,uliskia ukifunika itaoza,,heheee hii n kali

  • @honestatibu7204
    @honestatibu7204 Před 5 lety +2

    Hahaha padi ile bhangi unatumia aki haiko diluted.....noma sana

  • @imransupu2377
    @imransupu2377 Před 5 lety +24

    So interesting.... Padi we're waiting Ile na VERA SIDIKA....... Kali..... Npe lyk ukiscroll down.. 😀😀

  • @denismwenda7804
    @denismwenda7804 Před 5 lety +1

    Nice work ulikuwa umetulia sana, mpaka umama umenifunza ikaisha hadi nikastyle up... 😌😌😌

  • @erickmalala6081
    @erickmalala6081 Před 4 lety

    "Kila kitu nje,ulsikia ukifunika itaoza"... Padi u killed it.my best parody maker

  • @user-jt7xs9rl9o
    @user-jt7xs9rl9o Před 5 lety +2

    🤣🤣🤣🤣 eko poa💃💃💃💃👍👍💞✌

  • @yasminamisi2213
    @yasminamisi2213 Před 5 lety +2

    Kila kitu nje ulisikia ukifunika itaoza. To the tops💖. Matimoni haaa matimoni shuuu

  • @KeemVABwish
    @KeemVABwish Před 7 dny

    2024 anyone who wants paddy to come back to music

  • @youngswoosh4526
    @youngswoosh4526 Před 5 lety +36

    Karee sana morefire huku chini utaamsha madimoni!!😂😂😂😂 like kama imeweza

  • @mswakiTv
    @mswakiTv Před 3 lety +1

    For two years nimekuwa nikiiskiza hii ngoma but Leo ndio nimepelekwa matimoni ni Niki ..padi upewe sifaaa broo

  • @yobazo4436
    @yobazo4436 Před 5 lety +1

    hahahaha umemaliza Padi hehe big up bro

  • @toxicmi8263
    @toxicmi8263 Před 5 lety +1

    padi nyasaye akhuloli sana..... kali sana napenda hio

  • @kelvinrose6714
    @kelvinrose6714 Před 5 lety +2

    🔥🔥 🔥🔥 🔥 pady kali

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 Před 5 lety +2

    Yani kila kitu ukiona padii unafikiria n chakula heheee kali sana 💯 ✅ 🔥 🔥 🔥

  • @BoeyyLee
    @BoeyyLee Před 5 lety +17

    Ati nguo ya class three😂😂, eeh padi bana👏👏🔥

  • @tonybestsenior8874
    @tonybestsenior8874 Před 5 lety +1

    Noma sana, nimecheki hii ina message

  • @vinceleeysodera3553
    @vinceleeysodera3553 Před 5 lety +1

    Hii kweli ni matimoni. .....kali sanar! !

  • @BryanMabbri
    @BryanMabbri Před 5 lety +4

    big tune... kush tracey so you can sing?? wonderful

  • @videlmigosi15
    @videlmigosi15 Před 5 lety +1

    Hii si ni kichungi ya majani chai 😂😂😂☕🙆🤣👑💯👌

  • @kuyeb1773
    @kuyeb1773 Před 5 lety +2

    Noma sana... Padi

  • @aidenindimuli2863
    @aidenindimuli2863 Před 5 lety +3

    Kiboko inakungonja jehenamu iko kwa charger😹😹😹😹😹😹,bena ameweza hapo kwa kutouch na kurombosewa,nimekubali wazito 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @africatotheworldglobal6336

    Kiboko inakungoja jehanamu iko kwa charger Walai😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @hillaryoyaro5399
    @hillaryoyaro5399 Před 5 lety

    heeeheeee kila kitu nje uliskia ukifunika zitaoza heeheee waaaaaaa you guys are ma dfor real heeheeee

  • @robinmediskah6890
    @robinmediskah6890 Před 5 lety +2

    Mit aduwa haha omera.uliskia ukifunika zitaoza hehe mko juu

  • @mawiamunyoto2194
    @mawiamunyoto2194 Před 5 lety +4

    Padi padi that's my guy, ety kwani ikifunikwa itaonza 😂😂😂😂

  • @benito3799
    @benito3799 Před 3 lety +1

    Wewe ata bila maombi umebarikiwa😅😅😅😅😅😅😅ati kila kitu nje uliskia ukifunika itaoza🤣🤣am done with Paddy 🤣🤣🤣

  • @trillavic1988
    @trillavic1988 Před 5 lety +1

    hii c ni kichungi ya majani chai ..lit!!!!!!!!!!!!&*

  • @danielgichuke3649
    @danielgichuke3649 Před 5 lety +1

    hahahahhahah ,,ati nin iko kwa charger ,,ukifunika itaoza ,,i die hahahahahha

  • @stevenayugi9591
    @stevenayugi9591 Před 4 lety

    Hahahaha HAPO KWA POOL WALAAIII PADDY AMENYONJII YA UKWELI

  • @vibrantmusicvevo1366
    @vibrantmusicvevo1366 Před 5 lety +2

    Mbona sikukuja hapa mapema ....
    Hii nayo ni mootoooo💥💥💥💥💥💥💥

  • @mcbenjete
    @mcbenjete Před 5 lety +3

    mwotoo sana
    Kama umeikubali ekelea like kakisonga isio design

  • @Tiffanylicious
    @Tiffanylicious Před 5 lety +1

    Kila kitu nje Kwani ukificha zitaoza 😂😂😂😂😂

  • @jamesbiko586
    @jamesbiko586 Před 5 lety +3

    Heheheheheh Padi chizi sana.... Ati uku chini utaamsha matimoni

  • @mwangi-stee
    @mwangi-stee Před 5 lety +1

    Hii ni kali sana sichoki kuirudia😂😂🔥🔥

  • @deneexkenya785
    @deneexkenya785 Před 5 lety +3

    Padi ameweza hii mbaya sana.. Huku chini utaamsha rudimoni

  • @ustaadhkimani858
    @ustaadhkimani858 Před 5 lety +1

    Napenda high class ujinga

  • @dennisotieno9126
    @dennisotieno9126 Před 4 lety +1

    Ati kiboko inakungoja jehanam iko kwa charge😂😂😂😂😂

  • @evernc_mkcs2038
    @evernc_mkcs2038 Před 5 lety +2

    Kushy and padi its lit

  • @williamobegi3093
    @williamobegi3093 Před 5 lety +2

    Enyewe anybody can do anything and get money.... Sasa padi si ametoboa akifanya ufala.... Do what you look and it will pay eventually... #kudos

  • @CharlesMuriuki
    @CharlesMuriuki Před 5 lety +12

    Who else likes Paddy's video before viewing

  • @jcudi_ke6396
    @jcudi_ke6396 Před 5 lety +3

    I won't lie.. I got this on replay

  • @kigoishishira5328
    @kigoishishira5328 Před 5 lety +1

    Huku chin utaamsha li #demon😃

  • @esemez
    @esemez Před 5 lety +1

    ati kila kitu inje , uliambiwa ukificha itaoza😂😂

  • @Bluelittwin
    @Bluelittwin Před 5 lety +6

    😂😂😂😂😂ati ulisikia ukifunika itaoza😂😂😂😂😂padi wah

  • @floydmichael6534
    @floydmichael6534 Před 5 lety +1

    Unafikiria ukifunika zitaoza 😀😀....si hi ni kichungi ya chai 😀😀😀Padi

  • @davidomuyoma8487
    @davidomuyoma8487 Před 5 lety +2

    Wooow nyc colabo padi fiiiiiireeeee

  • @Ryk254
    @Ryk254 Před 5 lety

    Tutaandika P3 juu hizi matimoni zinaamsha maG3 !!! DEEEEAAAAAD !!! 10/10

  • @dennismajale
    @dennismajale Před 5 lety +2

    paddy you never disappoint. hii imenimaliza. Nipe maji na nyasi nifukuze matimoni. 😂😂😂🙏

  • @susankay4180
    @susankay4180 Před 5 lety +2

    Ati gurudumu na shock absorber 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sylviann5486
    @sylviann5486 Před 5 lety +2

    tracey anafaa kuimba more that voice😍😍

  • @oscarmadora722
    @oscarmadora722 Před 5 lety +2

    hahaha kichungi ya majani chai

  • @macdonaldorwaru3089
    @macdonaldorwaru3089 Před 5 lety +1

    hahaha... huku chini utaamsha lidimoni

  • @nyamjoe
    @nyamjoe Před 5 lety +1

    kampuni kani ya nairropi natengeesa nguo kama hii tuikemeeee!!!LOL!!!

  • @ZjGENERALTvVEVO
    @ZjGENERALTvVEVO Před 5 lety +2

    🔥🔥🔥🔥 hii ni kali sana
    "omwana efwe akiwacha uku chini utaamsha li-demoni" 😂😂😂😂😂😂

  • @mrben3970
    @mrben3970 Před 5 lety +2

    akina Sakaria...walimufuata Maaaria wakamchungulia,wakamfuatilia,wakamumwakilia,wakamuekelea..
    story kutufikia tulisherekea bila kufiiikiria

  • @meshchirchir719
    @meshchirchir719 Před 5 lety +4

    Padi wee ni ngory wish for a colabo ur my inspiration man u rock man

    • @jcudi_ke6396
      @jcudi_ke6396 Před 5 lety

      czcams.com/video/t8UuuzuKOqo/video.html

  • @MwendeComedian
    @MwendeComedian Před 5 lety +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂kweli ni litimoni,fukusa matimoni... always entraining at padii ,Kush Tracy on point

  • @jayragna4313
    @jayragna4313 Před 5 lety +2

    😂😂😂..ngori juu ya ngori 🔥 🔥🔥🔥

  • @mugalavaibryton
    @mugalavaibryton Před 5 lety +30

    Waluyha wenzangu mko wapi... 😂😂 iyo introduction was epic

  • @DjLiyayiCashvevo
    @DjLiyayiCashvevo Před 5 lety +1

    wahlahi Kush Tracey and Padi Wubonn you have appliead alot of creativity...

  • @chrispusbarasa739
    @chrispusbarasa739 Před 5 lety +1

    Padi hehehe hyo kiboko ya kwa chaja 🚶

  • @SWEETBOITV.
    @SWEETBOITV. Před 5 lety

    Noma sana ,loving this padman😘😍😋😂😂😁😀

  • @shikushee8952
    @shikushee8952 Před 5 lety +3

    Aki yaooo imeweza hahahaha padi you gonna kill me one day na vicheko

  • @corax_sico--gamer7007
    @corax_sico--gamer7007 Před 4 lety +1

    Hii nayo ni Kali padi

  • @owjaymontesenos813
    @owjaymontesenos813 Před 5 lety

    Hii si ni kichungi ya chai 😂😂🔥🔥day made brother 💯💯

  • @richiemajor3738
    @richiemajor3738 Před 5 lety +2

    Padi that's very creative... that's real men....woooolan

  • @vdeejaywanson
    @vdeejaywanson Před 5 lety +2

    #PADI Eti huku chini utaamsha LIDIMONI... kubwa.. kiboko yako iko kwa charger

  • @liegepixietv151
    @liegepixietv151 Před 5 lety +3

    Gwaaaan 👏 pandisha matimoni

  • @benardo.k8641
    @benardo.k8641 Před 5 lety

    funny man living. "KIBOKO INAKUNGOJA JEHANAMU IKO KWA CHARGER!" Padi hii ndo gani😂😂

  • @KeemVABwish
    @KeemVABwish Před 7 dny

    Padi 😂😂niite lotto moto one day na nitaimba hii wimbo

  • @Abdi555
    @Abdi555 Před 5 lety

    Eti kira kitu nje kwani ulisikia itaoza hahaha wooooiii

  • @eddy_njenga
    @eddy_njenga Před 5 lety +1

    🤣🤣🤣🤣litimoni limeamka huko chini

  • @DashMagnitohTV
    @DashMagnitohTV Před 5 lety +5

    Ubarikiwe Padi 🤗🔥

  • @mosesowino4210
    @mosesowino4210 Před 5 lety +1

    kush tracy vocals on top....salute

  • @kiturealrecords9107
    @kiturealrecords9107 Před 5 lety +1

    😂😂😂😂 pitisha kitu munaseti

  • @KelvinOmondi3
    @KelvinOmondi3 Před 5 lety +3

    Noma sana😂😂😂😂👊

  • @francisnjogu9263
    @francisnjogu9263 Před 5 lety +1

    Hii si ni kichungi ya majani chai😂😂😂😂

  • @camaracamara6110
    @camaracamara6110 Před 5 lety +2

    Kiboko inakungoja jehenamu iko kwa charger aki a Mungu

  • @hillaryoyaro5399
    @hillaryoyaro5399 Před 5 lety

    heeeheeee kiboko inakungoja jehanamu iko kwa charger heeheee waaaa hii ni serious waaa heheheheheh

  • @Richardthecreator002
    @Richardthecreator002 Před 5 lety +1

    Kiboko inakungoja jihanamu iko kwa charger.😂😂😂😂

  • @estherwaititu1347
    @estherwaititu1347 Před 5 lety +3

    God bless you padi good work

  • @1.__laurent
    @1.__laurent Před 5 lety +2

    😂😂😂😂kazi Safi fanya collabo na pozee

  • @deejay_aquatic_yuyu
    @deejay_aquatic_yuyu Před 5 lety +11

    padii ulirukaa kichwa ama hii niya laakutoka kwa wazee juu ata mimi hiii madimon ninataka kufukuza

  • @teniehthedj5228
    @teniehthedj5228 Před 5 lety +2

    padi you always make my day..
    aty stokin ni kichungi ya chai

  • @lyricsnation001
    @lyricsnation001 Před 5 lety +4

    Ngoriiiii
    Manie Q i was here

  • @Clitswa
    @Clitswa Před 5 lety +2

    Its so nice...i love this guy, very hilarious and creative...

  • @AbrazaNewsKE
    @AbrazaNewsKE Před 5 lety +3

    Chehofa Wa nyo nyi!!😂😂😂😂

  • @phobenumber3925
    @phobenumber3925 Před 5 lety +1

    Hizi ni ma timoni,,,,,fire pady fire....
    Big up kwa sanaaa

  • @samikamau3372
    @samikamau3372 Před 5 lety +1

    Kali sanaa 💯💯🔥🔥

  • @faithmercy8540
    @faithmercy8540 Před 5 lety +5

    Hii kweli ni matimoni😂😂😂😂😂😂😂

  • @MrChairmundu
    @MrChairmundu Před 4 lety +1

    "kila kitu nje ukifunika kwani zitaoza...... unatuvalia mshipi ati ni skirt" ... ehh I kif Up

  • @verritahkendi1016
    @verritahkendi1016 Před 5 lety +2

    Pwaaaaadi,. Hiii ni 🔥🔥🔥

  • @fadhilisimiyu7362
    @fadhilisimiyu7362 Před 5 lety +5

    First one to acknowledge this fine work.... Big up pardy😊😊😊