🚨YANGA V/S IHEFU FC YATAWALA RUSHWA KIONGOZI YANGA AKUTWA KAMBI PINZANI YA TEAM PINZANI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 03. 2024
  • YANGA V/S IHEFU FC YATAWALA RUSHWA KIONGOZI YANGA AKUTWA KAMBI PINZANI YA TEAM PINZANI
    #ihefu
    #yanga
    #ligikuutanzania
    #simba
    #ahmedally
    #usajilimpya
    #alikamwe
    #hajimanara
  • Sport

Komentáře • 15

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 Před 2 měsíci

    Tena huyo mdhamini wa Yanga alitembelea kambi ya simba fc, simba wakala tano,

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 Před 2 měsíci

    Ndiyo tatizo wasiojuwa soka wanaingia kwenye soka tumekwisha siasa ndani ya soka la tanzania

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et Před 2 měsíci

    Hao wamezoea rushwa yanga kiongozi huyo kafuata nini kwenye kambi ya ihefu

  • @user-ui2ro5ny1o
    @user-ui2ro5ny1o Před 2 měsíci

    T F F walichunguze hili na kulipeleka takukuru kwa hat

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v Před 2 měsíci

    Yanga anashinda hiyo nitimu b

  • @fadhilsihaba5716
    @fadhilsihaba5716 Před 2 měsíci

    hana mda atapumzika katika madaraka kwa jinsi anakoelekea

  • @user-kh5zn5vo5z
    @user-kh5zn5vo5z Před 2 měsíci

    Nyie mlimuonaj kam ham kua nae kaz zitawashinda kaz ndg zangun

  • @user-hy4mw5pg4j
    @user-hy4mw5pg4j Před 2 měsíci

    Yawezekana hatakatimukako unakokashabiki kameshakula 3g 4g aukono la NYANI leohiiunataka ihefu akusaidie Ngoja nayeye alezakutosha hakuna chakisingizio chakiongozi wa Yanga

  • @user-dh8xp3vk3l
    @user-dh8xp3vk3l Před 2 měsíci

    Sikweli

  • @user-fb4en3ej2z
    @user-fb4en3ej2z Před 2 měsíci

    Ligi inaanza kupoteza mvuto tff mpo

  • @user-kh5zn5vo5z
    @user-kh5zn5vo5z Před 2 měsíci

    Nyie mli muonaje kama hamkuwa nae

  • @user-bj7th7wi5o
    @user-bj7th7wi5o Před 2 měsíci

    Wakwanza naombeni like zangu❤❤❤❤❤❤

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 Před 2 měsíci

    YIYI D JSPORTSHD MTASEMA KWA KUTUMIA UJIGAWENU MPAKA MTACHOKA YANGA INA OGOZA MBONA HAMSEMI KULIZA BABA MZAZI NI WAHALALI

  • @NeemiaLotti-wl7hu
    @NeemiaLotti-wl7hu Před 2 měsíci

    Hivi ninyi watu huwa mnakosa maneno yenye mashiko ya kuongea ili kuendeleza soka LA nchi yetu.kwa mini mnaongea habari ya rushwa kwa mini mnaongea hayo .simba alifungwa na yanga bao tano.he aliuza mechi.ni aibu MTU mkubwa kuandika mambo ya kijinga katika media.tukubali huu ni wakati wa yanga wengine tuongeze bidii. Tumiendekeza maneno lko cku yanga atamfunga MTU goli kumi watasema ksnunua.