Utata kuhusu ufugunzi wa shule nchini

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Katika eneo la Galole, kaunti ya Tana River, hatima ya shule ipo mikononi mwa mto Tana. Shule ya msingi Makere yenye idadi ya wanafunzi 1200, ipo chini ya mita 20 kutoka mto tana ikiwa haijulikani yatakayoibuka iwapo mto huo utaendelea kuvunja kingo zake, na kulemaza ufunguzi wa shule. Hali si tofauti katika maeneo mengine ya nchi kwa maelfu ya wanafunzi wanaotarajia kurejea shuleni hapo kesho

Komentáře •