Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Huyu mwamba ni hatari sana.. Wananchi InshaAllah tujiandae kushangilia Mabao mengi kutoka kwa Joseph💚💛💚💛💚
Wa kwanza mm leo
🔥 fire 🔥
Allaah Akbar
Mungu amsaidie ili azidi kupamba moto mana upande wa pili wameanza maneno
Tunataka Yanga irudi kwenye kasi yake hatutaki mambo ya kibwabwa cc
Yupo vizuri ni suala muda tu
Tuwaombee wachezaji wetu wawe fit
Yuko vizuri sana
GUEDE MCHEZAJI SANAAAAA BALL CONTROL ALAF CONFIDENCE
Fitness hipo chini wampambanie kwenye hili.Maana hana sprinting ya hata dakika 30 yaani anaemaema kisha anashindwa kufukuza adui ndivyo inavyonekana
Guede joseph yupo poa
Yanga tunazingua sana
Yanga tumepata mtu gede yupo vizuri Asante
🤣
Hakika tumepata
YANGA noms sana
Nyie guede ni mzuli nyinyi watu watakuja walie
Hatumuoni😢
Acheni mbwembwe
Tumepoteza ubora wetu kabisa😮😮😮
Yanga Haina Kasi Tena
HAMNA KAZI APO UYO GWEDE GWEDE NI ANAFANYA UFALA TU HUMO
Angalien shida nn kwa sasa haiwezekan yanga afunge gol moja kolo na ubovu ule gol nne
Kumsifia tu mbon hatuoni kitu
Ila masteka wa wenzetu wamefunga wote
Yupi na yupi
@@AjiaMohamed-rt5pb Baleke na Phiri