KUSHONEA WEAVING NA KUWEKA MSTARI UWE KAMA NYWELE YAKO / DIY NATURAL PARTING SEW IN WEAVE /Vivianatz

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 04. 2022
  • Hello dear , Leo nimewafundisha jinsi ya kushonea weaving na kutengeneza mstari au way iliyo natural bila kutumia closure, gundi wala kuachia nywele.
    Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
    Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
    NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
    MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
    PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
    TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
    KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
    PONYTAIL
    • KUTENGENEZA KIBANIO CH...
    KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
    • Kubana nywele fupi NZI...
    KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
    • KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
    KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
    • MITINDO TOFAUTI YA LOC...
    KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
    • KUSUKA DISTRESS LOCS K...
    KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
    • Kubana nywele Fupi "Ha...
    KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
    • Kusuka Crochet kwa kut...
    MAKEUP FOR BEGINNERS
    • Beginner Makeup series
    MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
    • MITINDO YA MAVAZI /TRY...
    MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
    MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
    Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
    Email ; Business@vivianatz.com
    Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
    INSTAGRAM ; vivianatz.offic...
    Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.
  • Jak na to + styl

Komentáře • 97