ROHO MTAKATIFU NI MSHIRIKA MWENZA WA FAIDA NAMBARI MOJA KATIKA BIASHARA YANGU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 09. 2024
  • ROHO MTAKATIFU NI MSHIRIKA MWENZA WA FAIDA NAMBARI MOJA KATIKA BIASHARA YANGU
    Karibu katika muendelezo wa kipindi cha Kijiweni na Roho Mtakatifu ambapo tunazidi kuwa na mazungumzo na Mwana wa Mungu jinsi anavyoongozwa na Roho Mtakatifu katika Maono yake kwenye biashara.
    Je, unatamani kujua Roho Mtakatifu ni Mshirika mwenza wetu kwa namna gani?
    Je, unatamani kujua Roho Mtakatifu anaongozaje Maono ya Mungu Baba ndani yetu?
    Je, una shauku ya kuwa na Roho Mtakatifu kama Mshirika Mwenza katika biashara?
    Basi karibu mezani hapa Kijiweni na Roho Mtakatifu ujipatie maarifa na ufahamu huo wa kwako na kizazi chako.
    Tunazidi kuwashukuru Gospel partners na wote mnaojitoa ambao mnajitoa kwa muda, MBs, fedha, ukumbi na vifaa vya kazi. Bwana wa Majeshi na Amani amewaongeza na kuwajaza vyote katika fedha, mali, dhahabu na Amani yenu ni tele.
    Usisite kutupa mrejesho na shuhuda kwa chochote ulichoelewa na kujifunza.
    #Kijiwe ni kimoja tu; Kijiweni na Roho Mtakatifu.
    “Tulio na Mungu, Tuna Roho wa Mungu.”

Komentáře • 7

  • @farajihamisi2525
    @farajihamisi2525 Před 2 měsíci +4

    Halleluyah hongereni sana, team nzima ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa mfululizo wa vipindi bora kabisa kwa ajili ya Mwili wa Kristo!!
    Halleluyah Kristo ametukuzwa

  • @josephinemaeda4607
    @josephinemaeda4607 Před 2 měsíci +2

    Amen

  • @israelollotu439
    @israelollotu439 Před 2 měsíci +2

    Amen 💯

  • @wilbertmaridadi6105
    @wilbertmaridadi6105 Před 2 měsíci +6

    Mwana hufanya lile amuonalo Baba yake anafanya

  • @machageorge9083
    @machageorge9083 Před 2 měsíci +4

    Asante sana Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa kipindi hiki.
    Tunawapenda❤

  • @machageorge9083
    @machageorge9083 Před 2 měsíci +4

    Roho Mtakatifu ratiba ya Mwana wa Mungu✍🏾
    Swali la Roho Mtakatifu kwa Mhojwaji kwamba kazini unaenda kufanya nini, ni muhimu kwetu vijana ndani ya Kristu na katika Taifa la Tanzania kujiuliza, Je tunataka nini katika tunachofanya? Je hicho ndicho chenye thamani? ✍🏾