hongera chama langu
Semaji letu nakukubali Sana!
Good❤
watani tutawaona watu wenu uwanjani hiyo timu ya wavulana tuko paleee
Me nawaachia viongoz wetu Sina neno😂
Sawa semaji 😂😂
Lameck lawi Yanga ndiyo wameingilia kati kwa sababu sikuhizi Coansti na yanga wako karibu sana , , kama ni urafiki na undugu ni consti na Yanga
🎉
Karaboo
Onana mbona hayupo kwa msafara
Ila Simba ni bland kubwa sijawai ona waandishi wanaenda kutafuta content kwa nyuma mwiko
Hatuja mwona kibu
Simba nguvumonja
Mbona hamtaki kuja kwny channel yangu jaman😢😮
Lawi huyu ana tabia kama za chama. Sio mzuri sana.