MGOMO MKUBWA ARUSHA, MADUKA YAFUNGWA "HATUWEZI KULIPA FAINI MILIONI 15"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 06. 2024

Komentáře • 199

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV Před 2 dny +12

    Kuna Baba Mmoja alisema Tutamkumbuka, yaani ile ni laana kabisa. 😢

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 Před 2 dny +17

    Yaani watanzania ni wapole sana mamae!

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Před 2 dny +13

    Nyie tena mange akisema ukweli mnamchukia kiko wapi mange sihuwa anasema nakukuteteeni mnakuwa hamumuelewi au

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 Před 2 dny +31

    Kenya walianza hivihivi,Serikali haisikilizi mpaka watu waingie mtaani kudai Haki.

    • @Ibrahshayo
      @Ibrahshayo Před 2 dny +1

      Sio ndan Tu waneingia Bungeni kula mchele wa wabunge😂😂😂

    • @husnaarafat2725
      @husnaarafat2725 Před 2 dny +1

      Sisi ndo GEN Z na hatuchokii😅😢

    • @husnaarafat2725
      @husnaarafat2725 Před 2 dny

      ​@@Ibrahshayo😂😂😂😂

  • @crazyPips-ke5ei
    @crazyPips-ke5ei Před 2 dny +20

    Bado FAYA TINGISHA jamaani

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g Před 2 dny +28

    Waje kenya tuwafunze mgomo adi ikulu au bunge

  • @lucasmakas1326
    @lucasmakas1326 Před 2 dny +10

    Kenya ileeeeee inahamia

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Před 2 dny +8

    Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote.Amen

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho Před 2 dny +17

    Halaf mkuu wa mkoa wa Dar anaanz kuongea utumbo,,hajui Kama serikal niwafanya biashara

  • @user-fl3fb5gh6b
    @user-fl3fb5gh6b Před 2 dny +16

    Rip jpm

  • @wilfredywilhelm1426
    @wilfredywilhelm1426 Před 2 dny +6

    Msijali Kondakta atawasaidia, sasa tunamwangalia kwenye ishu siriazi kama hizi, tuone kama zile zilikua ni show off ama kulikua na utekelezaji

  • @GodJakobTash-mu9zf
    @GodJakobTash-mu9zf Před 2 dny +10

    nawaunga mkona asilmia 100 tukopamoja kumamake

  • @hamiswilson2455
    @hamiswilson2455 Před 2 dny +9

    Njoeni kenya tuwafundishe mgomo.

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 Před 2 dny

      Tuachieni na tz yetu pambaneni na hali zenu

    • @Mamodel-Park
      @Mamodel-Park Před dnem

      Msione sifa bendera yetu haina uzi mwekundu kama yenu

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Před 2 dny +8

    Hapa ndipo tutamkumbuka magufuli milele yote

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Před 2 dny +11

    Ishu siyo kufunga madukatu tujipange kwenye uchaguzi wa 2025 tuipige chini ccm

    • @msambalamjukuu3866
      @msambalamjukuu3866 Před 2 dny +1

      sasa unaekupiga kura anaeesabu kula kachaguliwa na rais anaetangaza matokeo kawekwa na rais anaelinda kula anapangwa na rais sasa apo unaenda kufanya nn

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d Před 2 dny

      Hapo sasa​@@msambalamjukuu3866

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 Před 2 dny

      Kama bado unaamini utapata mabadiliko kupitia kura bas utakua uko nyuma sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Před 2 dny

      @@msambalamjukuu3866 nikweli lkn bila katiba yakueleweka nikazi Bure asee

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Před 2 dny

      @@godiegodie1336 nakuelewa umesema kweli tupu

  • @mirzah117
    @mirzah117 Před 2 dny +2

    Kodi TRA
    2.kodi panispaa leseni
    3.kodi panispaa service levy
    4.kodi WHT
    5.Kkodi ya jengo manispaa
    6.kodi ya bango manispaa
    7.kodi ya usafi manispaa
    8.unalipia ulinzi
    9.unalipia rola za risit
    10.umlipe mfanyakazi
    11.umlipe mwenye frame
    😢😢😢😢😢
    Unabakia na faida utoboe maisha
    Selikali ya kishetani hii
    1

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 Před 2 dny +6

    Fanyeni kama kenya muache kuzembeya mmekaa kama mazombi tz mmelala sana .

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 Před 2 dny +3

    Aaah wakenya bana ndo wanaweza hii shughuli OGOPA watu wamezama mpka bungeni na kula chakula cha wabunge watanznia sisi ni waoga 😂😂😂😂

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 Před 2 dny +1

    Asante sn ccm asante sn wateuli mungu yupo anawaona

  • @Agath45
    @Agath45 Před 2 dny +4

    2025. Wanauhakika wa kuingia serikalini

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga Před 2 dny +9

    safi dada huyo msenge achomewe duka

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga Před 2 dny +5

    good sister

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Před 2 dny +4

    Kodi jamani zimezidi kodi kila kona simu utumiwa pesa kodi kuza kodi ikingia simu au bank kodi zimezidi sana sana Rais wetu kipenzi pls angalia hii inaweza kuwa usumbu alafu kodi wekeni 10 itatosha kila mtu atalipa jamani hii watu kama vicha a unapesa selikali inawinda kuzichukua kweli imezidi imezidi makodi ambayo sio muhumu ili liangaliwe makini

    • @samuelmakara1475
      @samuelmakara1475 Před 2 dny

      Kwani rais hajui hii kodi.si walikaa wakakubali ikasomwe bungeni

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 Před 2 dny +3

    Kenya walianza hivi hivi Kwa hio viongoz kuweni makini sio pesa mnayengneza masanamu ( robot)

  • @MwitaChacha-sx3po
    @MwitaChacha-sx3po Před 2 dny +3

    Watanzania wote ni machawa tu make hatujielewi ukisema ukweli unatishiwa wape upinzani nchi.

  • @SHERANasibu
    @SHERANasibu Před 2 dny +5

    Fire tingishaaaaaaaaaaa

    • @mohamedelmi7435
      @mohamedelmi7435 Před 2 dny

      Msenge keli.ww.😂😂😂😂😂😂 umeni chekesha

  • @KingBoy-tu6pu
    @KingBoy-tu6pu Před 2 dny +5

    Lochomwe moto hilo duka

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Před 2 dny

    Hongereni sana huo ni uzalendi

  • @user-kq7mp8qz9e
    @user-kq7mp8qz9e Před 20 hodinami

    Nchi zakikafiri zimejaa makodi, shida Sana kuishi kwenye dola zakikafiri

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g Před 2 dny

    mbarikiwa song, umeandaa wakili?

  • @ElishaErnest-xd9qt
    @ElishaErnest-xd9qt Před 2 dny +1

    Sema k
    Anajua kuongea sana apewe Alisa masoko tuu atetee wanyonge 🎉

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Před 2 dny +1

    Fire extinguisher Tena iyo mpya

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 Před 2 dny

      Ndio wanataka fi extinguisher inshort mambo ni mengi.mpqka kodinya pango unalipa pango mwenye nyumba then odi tena ya ❤pango hilo hilo la mwenye flem unalilipia tena tar ss kwann mwenye nyumba asilipishwe na nyie tra kama kodinya kufanya biashara ya flem nyumba mpqkq mpangaji alipie yaan hata aieleweki kodi zote anaangushiwa mfanya biashara imekuwa tabu kubwaa

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga Před 2 dny +5

    duka lichomwe moto

  • @AnuaryShedafa
    @AnuaryShedafa Před 2 dny +2

    Sasa kwann msitoe risiti mpaka msubir faini ,, ila bongo kwa kuiga mambo daa

    • @user-rh5iy3ei3g
      @user-rh5iy3ei3g Před 2 dny +1

      Ili itolewe risit halali,kodi zipunguzwe kabsa na baadh ziondoleweee

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Před 2 dny +2

    Hawa nao hebu watuache sie tupo kenya wenzenu wanapambania kodi mtaani sio nje ya geti la duka hovyo nyie

  • @thadeo10hag_
    @thadeo10hag_ Před 2 dny

    Ni Sahihi 👊

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 Před 2 dny +1

    Tanzania nimeichoka kwakweli cn pa kwenda

  • @user-sm3iw6gv8w
    @user-sm3iw6gv8w Před 2 dny

    Kwakweli kodi imekuwa changa moto sana. .itabidi tufunge maduka mnatuumizaaa sana tunakopa mikopo tunashindwa kurudisha mikopo mtaji wote unachukuliwa na serikal

  • @starjay3052
    @starjay3052 Před 2 dny +1

    kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo 🤣🤣😁😁

  • @omaryjuma7268
    @omaryjuma7268 Před 2 dny +1

    Dada kaupiga mwingi sana 😂😂😂😂

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 Před 2 dny

    Safi sana raia

  • @abdallahonga6395
    @abdallahonga6395 Před dnem

    Waziri anatafuta fedha ya usajili singida fc

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 Před 2 dny

    Umeongea sawa dada pole sana,..lakini sio kuwa mama samia awasikilize wanawake...me naona anatakiwa kuwasikia wananchi wote....msipende tu kusema mama awasikilize wanawake na rais akiwa mwanaume mtasemaje?

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 Před 2 dny

    Kuna mzungu alisema turudishe ukoloni Africa wameshindwa kujitawala Sasa ndio na muelewa. viongozi wetu ni waafrica lakini wanacho kifanya ni ukatili

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 Před dnem

    "Fire tingisha" 😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Před 2 dny

    Migomo mikoa yote maduka yanagungwa ipo siku watu watachoka kama kenya izo kodi ipo siku watu watachukua sheria mkonon

  • @JustineKavishe
    @JustineKavishe Před 12 hodinami

    Namkumbuka jpm😢😢😢😢😢

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 Před 2 dny

    Hii serikali hovyo kabisa pumbavu wanajilimbikizia mishahara huko bungeni kukandamiza masikini

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 Před 2 dny +1

    kama masiala ata kanya walianza ivi ivi aya selikali kula chuma icho

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    Wewe bibi Shuler tu imekushinda

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 Před 2 dny +1

    Faya tingisha kwel serekal mnaonea dagaa😂

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw Před dnem

    Wakati mama anakopa walisema anaupiga mwing leo madeniyawatu yamewabana wanataka sisi ndo tupandishiwekodi tulipe ulemwingi ukowap sasa. Wakauze izo v8 walipe ela zawatu waache kutusumbua

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Před 2 dny +3

    Faya tingisha... sema tu 'zima moto'

    • @ce-08
      @ce-08 Před 2 dny

      Haina haja ya kumshangaa mswahili kukosea lugha ambayo c yako ntamshangaa kama atakosa kiswahili

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Před 2 dny

      @@ce-08 tutumie kiswahili tu.. mtungi wa kuzima moto.. inaeleweka sana.

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy Před 2 dny

    Huyu dada anaongea hana hoja yoyote. Eti miezi mitatu hajauza 😊

  • @okolenyamboba884
    @okolenyamboba884 Před 2 dny +1

    Anaupiga mwingi sanaaaa😂😂

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    SERILI Y UKANDAMIZAJI YA MAMA SAMIA

  • @ElishaErnest-xd9qt
    @ElishaErnest-xd9qt Před 2 dny +2

    Faya tingisha 😂😂😂

  • @renatusrevocatus3895

    Acha tuisome namba tu..... Tulikubaliana na tukaimba kwa sauti. Lkn pia Lema alitwambia tukashupaza vichwa. Tutaelewana tu

  • @MohammedSaid-zk7yg
    @MohammedSaid-zk7yg Před 2 dny

    Inasikitisha sana

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    WEWE MAMA SAMIA ACHIA NCHI IMEKUSHINDA

  • @FredrickGodfrey
    @FredrickGodfrey Před 2 dny +4

    Mnatuona sisi wakenya 😂😂😂😂😂

  • @user-wg7lf3wt9z
    @user-wg7lf3wt9z Před dnem

    godii uyo mama fayatingisha ni nn😂😂😂😂

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    WEWE UMEFERI NA CC UNATUFELISHA

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Před 2 dny

    Mgomo usio na maafa ndio mzuri...Kwanza wangejifungia ndani wasionekane kabisaa. Hata Uganda, Bei ya sukari ipo chini, wakati sukari wananunua kwetu...aibu kweli kweliiiii

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 Před 2 dny

    Arusha huwez kumaliza kutangaza vizuri bila kukatishwa😂

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 Před 2 dny +1

    Fire tingisha😂😂😂😂

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Před 2 dny +1

    Haki ya kweli tutakoma na hizi hela jamani Serikali tuoneeni huruma hela ngumu Sana sahizi

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Před 2 dny

      Samia Suluhu aseme zile pesa alizosema za mkopo ziko wapi ? Mbona mtaani hatuzioni.?

  • @Chingagirl123
    @Chingagirl123 Před 2 dny

    Muandamane all the way.

  • @SaidySaidysalum
    @SaidySaidysalum Před 2 dny +2

    😢😢😢

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    RAIS KAFERI MAMA SAMIA ETI WANAMWITA DOCTOR DARASA LA SABA MPAKA SECOUNDARY

  • @Adje244
    @Adje244 Před 2 dny

    Pesa za kodi anaenda kula bata uyo mama hatulipi

  • @KatabaroCleophace
    @KatabaroCleophace Před 2 dny

    Samia meza naona imepinduka huku Tanzania isiwe kama kenya bhn Toa tamko

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Před 2 dny

    Dawa ya huyo aliyewasaliti akafungua ni kuingia ndani mnajibebea kila kitu hadi dustibin msimwachie hamjui mgomo nyie bado

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    WATANZANIA WEWE BIBI JIUZURU WACHA UBISHI WEWE KILOBA CHA SUKALI

  • @raymondkihaka1827
    @raymondkihaka1827 Před 2 dny

    Kwakweli hiii selikali ya hiii tutafika tumechoka ukiongeza 5 mtakufa ndugu zangu

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před 2 dny

    C WALIFANYA MZAHA.. HAYA SASA KILA CHOCHO😊

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Před 2 dny +1

    Jamani nani wakwanza kumfunga paka kengele? Tulianzishe kama wakenya tusafishe mpaka ikulu chamwino mpaka bungeni

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga Před 2 dny +2

    duka lichomwe moto haraka ili iwe mfano

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    JIUZURU WEWE BIBI URAIAS SIO MCHEZO KASHINDWA KIKWETE UTAKUWA WEWE SHETANI MKUBWA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    WEWE BIBI SHULE TU IMEKUSHINDA MITIANI YOTE OOOOOOO😮😅😅😅ZERO

  • @athumanmkilindi6215
    @athumanmkilindi6215 Před 2 dny

    Situgomee na sisi

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Před 2 dny

    Tatizo kesho tuu utaona wanakuja wanadanganywa na ccm na maisho Mambo yanakuwa kawaida

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Před 2 dny +1

    Motooooooo

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    SERIKALI YA MAJAMBAZI WASIOKUWA NA URUMA YA BINADAMU

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Před 2 dny

    nendeni barabarani kama Kenya sio kufunga maduka tu ...Kenya miamba imeenda mpaka kula chakula cha wabunge...Mna nguvu sana hamjui kuitumia...hawa TRA ninyi ndio mnawaajiri kwa nini wawasumbue ? JUENI NGUVU YENU...PEOPLEEESS POWE

  • @user-ty2kc5jy7s
    @user-ty2kc5jy7s Před 2 dny

    Fire tingisha😂

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    ANATUKANDAMIZA BIBI SAMIA

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 Před 2 dny

    Kodi niaumiza wafanyabiashara wa kati na wadogo

  • @user-it2tr7ny8d
    @user-it2tr7ny8d Před 2 dny

    Kumaaake tumechoka hao TRA 😭😭😭

  • @NeemaMichael-pc9jj
    @NeemaMichael-pc9jj Před 2 dny

    Kwan Moshi hamgomiii? Nawakumbusha wanangu

  • @BensonMinja-bn8qo
    @BensonMinja-bn8qo Před 2 dny

    migomo mbona unazidi nchi nzima maduka hayatafungliwa sasa

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t Před 2 dny

    Akumbukwe magufuli jamani

  • @faithstephen3690
    @faithstephen3690 Před 2 dny

    Waje Kenya tuwafunze kugoma hadi bungeni😂

  • @florencezawadi3784
    @florencezawadi3784 Před 2 dny

    Kwan uko tz kodi zapandishwa na serikali😮basi kenya tuna afueni upande huo

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 Před 2 dny

    Faya tingishaaaaaa hoyeeees

  • @paulheavyrain9584
    @paulheavyrain9584 Před 2 dny

    FAYA TINGISHA SHILINGI NGAPI.?

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Před 2 dny

    CCM inajifanya Hiyo (VAT) Hawataki kushusha sasa kiama inakuja wafanya biashara wameamua kufunga maduka mwezi mmoja serekali isiposhusha (VAT) CCM PAMOJA NA UBABE WAO NA WAO WAMEFUNGA MADUKA KUBAKUBAKEE

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui Před 2 dny

    UDOCTOR WAKUPEWA WAKUPAMBWA ATA MIMI ANIZIDI KWA ELIMU

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 Před 2 dny

    Hamna wanaume hapo waoga tu hao

  • @boscojackson5557
    @boscojackson5557 Před 2 dny

    uyo mamaenu sasa