KIJANA ABUNI UMEME WAKE, UNAZALISHWA KWA UPEPO, HAUJAWAHI KUKATIKA MWAKA WA 21 SASA ...
Vložit
- čas přidán 15. 09. 2022
- KIJANA ABUNI UMEME WAKE, UNAZALISHWA KWA UPEPO, HAUJAWAHI KUKATIKA MWAKA WA 21 SASA ...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Ni bora ili tuwakomeshe Tanesco wanao katia wanachi umeme makusudi 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Kama umegundua Mzee hamalizi sentensi bila kisema neno KUMBE, Gonga like hapa
a very good project well done👍... mungu akufungulien maarifa zaid
Wow! Ubunifu wa hali ya juu. Hongera sana.
Watu wana vipaji, vinahitaji kukuzwaaaa.
Kweli wanavyo Ila inge KUWA kipindi Cha MAGUFULI hapo sawa lakini kipindi huki Cha KINA JANUARY MAKAMBA WATAHUKUMIWA kuanzisha mtambo bila kibali JANUARY MAKAMBA KINA NAPE NAUYA WEEE HAIWEZEKANI kuendelezwa MAGENERETOR YA WAZUNGU YATAPATA WAPI MASILAHI
Hi, nipo Kenya naomba uniunganishe na huyu brotha anitengenezee kwetu .
Dah! Hongera sanaaa Hii Safiiii sanaaa dah! Umetusaidia sanaaa🤲Ubarikiwe 🙌🙌🙌Mrusi Hana Chake Mwafrica Mungu mwema 🙏
Mungu akulinde coz kwa nchi yetu wanaweza kukukatisha usiutumie coz unakuwa umeingilia masirahi ya watu, mfano yule mtoto wa kigoma aliyebuni studio ya radio yake.
Ongeren idea nzr, vp kuhusu betr tatu ulizoziunga ndn je zna sustain kwa mda gn kwa huo mda unaowasha invertor , mn invertor inaconvert umeme wa dc kuwa ac 220v-240v , natmn kwl kuljua hlo , mn ht mm nmept wazo kutkea kwny hlo wazo 🤔
Global aksante kwa kuwaibua familia hii tunaomba mawasiliano yao
Safi sana njoo mnifungie na mimi tanesco hadi leo hawajatufungia umeme na tupo mjini
Namba zao jaman
hii nchi ina watu wana akili sana, watu wamekalia kuangalia wazungu tuu
Mashine zisambae nchi nzima Tanesco ifungwr au?
Tanesco chokambaya umeme mgao kila uchao.
Watajuwa wenyewe wafunge au waache, au wawekwe kwao
Sasa mbona alie utengeneza siyo yeye anatueleza jinsi unatumika ?
Tallent
Waafrica hupeana mishahara mikubwa sio kuinua vipaji ili ajira ziongezeke. Miziki ya sasa nikuharibu watoto
big up san mwamba
jsk nafatia soon
Nice
Naomba namba yako broo. Nipo Tunduma
Njoo unifungie kwangu huo umeme ili tanesco wanikome
Duuuuuh wakukome😃😃😃😃
Tafadhali nitumie namba yako
Nategemea waendelezwe zaidi na sio kuwakataza
jiandae kuja kutoa mzee na kupigwa marufuku utengeneze tena
nipeno yao nautaka uo umeme siutak umeme wa luku
na mimi nataka
Kichwa Cha habari ni uongo, umeme haujawahi kukatika miaka 21 na umegunduliwa na huyu kijana ana miaka mingapi? Sema umeme ulitengenezwa na baba yake
1. Kijana amezalisha mashine Mya 1500watt na mwingine ametengeneza 60 watt.
2. Hapo Kuna mashine mpya na ya zamani.
Kijana amefundishwa na babake kutengeneza yake kwa hivo kijana alipata kukiwa na umeme uliotengenezwa na baba