😂😂😂😂yalishawahi kunikuta hayo ila nilimpekesha alienda polis mwenyew mwisho wa siku bwana kapiga sim polis kamwambia amtaki anaipenda familia yake alichanganyikiwa
😂😂😂ila mtoto msenge yule anautani wa ngumi,,,et halooo bebi 😂😂😂😂wakat mwenzie anamuona kbs hali ya kupuaji iko 0.1 point af yeye anataka ammalize kbs. Af mbio😅😅😅😅ajasubiri suruhu.
binafsi kipindi ni kizuri kwa upande wenu kinawaingizia pesa ni sawa ila mnajenga vip hayo mahusiano mnayovunja ama mnawasaidia vp ama lengo lenu ni nini? mfikirie future ya mlichokianzisha je badae kitaendelea kuwepo ama watu wakua wanaogopa,ni kama nawapata siwapati vile🤔
Mimi naona kiredio anatufanya tujue kama mtu tunaye ishi naye anatupenda au laaa kama ni mume je katulia? Na kama ni mwanamke je katulia kama ni rafiki je ni wakweli au kupotezeana muda
Hii huwa nasema kila siku usigombane na mwanamke mwenzio kisa mwanaume ?pambana na bwana ako ndo mkosaji hapo unajichosha tu ukiona hivo ujue mwanaume ni tatizo sio huyo tu wapo wengi kafolenisha ohooo
Unatetea ujinga kwani huyo bidada alikuwa hajui kuwa huyo jamaa ni bwana wa rafikangu ake hata kama alifuatwa kutongozwa alishikiwa bunduki akubali wote wana matatizo hapo usitete mwanamke labda angalau angekuwa hamjui ila anamjua kabisa na anamkubalia half unasema mwenye matatizo ni mwanaume siriasi
@@adrianomaulaga1599 amini usiamini hata Kama wanajisemea et wameumbwa kwa tamaa Ila mwanaume anayekuenda na anayekuheshimu hawezi kutembea na watu wako wa karibu ukiona hivo jikatae hakupendi unaforce tu
@@saniaidrisa3920 mimi pointi yangu ilikuwa unasema dada hana makosa hana makosa kivipi na anajua huyo jamaa ni jamaa wa rafiki ake? Ayo ya kupenda au kutopenda mimi sijui upendo wa kweli anao Yesu tu
Unatuekea vitu vyako nusunusu mzeee siyo kazi hyo kiredio
Njia ya mwongo nifupi😂😂
Hlf kiredio tabia ya kutuletea habar nusunusu ujue sipendi 😂😂 sasa hapo bado atujapata ukwel yan
hadi napata hasira😅😅
Umeona eeeeh yan kiredio anazingua sana
Sa ndo nn kiredio lkn😢
😂😂😂😂😂😂😂aaah cjategemea mwizi mzembe kama huyu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Numechekaaa. Eti mwizi mzembe😂😂
Mm sina ushoga na wadada kukugeuka nidakika sifur tuuuuu😂
Mbona haloo beib
Lete part 2
😂😂Halafu kiredio Acha kuvuruga mahusiano ya watu 😂😂😂
Mwiz kazingua
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu😂😂😂😂
Ety allo babee😂😂😂😂anaakili uyo dada kweli
Kajichanganya vibaya eti hallo bby😂😂
Hili nalo taila tena hallo baby! Jinga kabisa😅😅😅😅
😂😂😂😂yalishawahi kunikuta hayo ila nilimpekesha alienda polis mwenyew mwisho wa siku bwana kapiga sim polis kamwambia amtaki anaipenda familia yake alichanganyikiwa
Njooo zanzibar ndgu nimependa hiyo❤❤❤❤❤
😂😂😂
Kweli yani
2:14 kakosea au ndo ile kukamatwa ugon
Hahahahahaha patam hapo ugoni tena bila nguo
Mirium Mugabe my classmate 😅
Eti halo baby😂😂😂😂😂
Dada Kapanic 😂😂
Yule hakukusudia ilimtoka tu mwisho wa ubaya aibu😂😂😂
Halo bby😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂ila mtoto msenge yule anautani wa ngumi,,,et halooo bebi 😂😂😂😂wakat mwenzie anamuona kbs hali ya kupuaji iko 0.1 point af yeye anataka ammalize kbs. Af mbio😅😅😅😅ajasubiri suruhu.
😂 za mwizi arobain
Kaumbuka😅
Mnazungua habari nusu nusu
Minabinam yangu mtoto wa anko tunaitanaga beby tunakumbatiana tuna kis ilaatufanyi mapenzi
Hallo babe😂
🤣🤣🤣 ila mapenz ngj niendelee kuw biz nakutembezaa chupiii
Jaman utamu umeishia kati
Unatengeneza sasa
Mapenzi shikamoo
Tafteni hela
Yani kiredio unazuiyaga nn Acha mtu afinywe
Halooo babe😂😂😂😂😂😂😂😂
Uongo mtupuuu
Ila kiredio wew
😂😂kaumbuka mtu
😂😂😂😂😂😂mwizi mzembe sana
Sina shoga sitaki shoga na hata akiwepo mipaka hatomkuta bwana angu kivyovyote lbda wakutane hukoooo
Sio mbaya sijina tuilo
Hallo babe
Mm kwanza kama ww n shoga yangu namba ya mumewangu kwa simu Yako inafanya nn kwanza
Yashanoga hayo hawezi hata kujizuia
Hallo baby😅😅😅😅😅😅😅
Kisha nikasikia sauti ikisema halo baby😂
Ahahahahaha
Hah
Hili jinga ety hallow beby
😂😂😂😂.bby
Mtu enyewe rahim😂
Kiredio mmbea
binafsi kipindi ni kizuri kwa upande wenu kinawaingizia pesa ni sawa ila mnajenga vip hayo mahusiano mnayovunja ama mnawasaidia vp ama lengo lenu ni nini? mfikirie future ya mlichokianzisha je badae kitaendelea kuwepo ama watu wakua wanaogopa,ni kama nawapata siwapati vile🤔
Mimi naona kiredio anatufanya tujue kama mtu tunaye ishi naye anatupenda au laaa kama ni mume je katulia? Na kama ni mwanamke je katulia kama ni rafiki je ni wakweli au kupotezeana muda
Khunanako😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hii huwa nasema kila siku usigombane na mwanamke mwenzio kisa mwanaume ?pambana na bwana ako ndo mkosaji hapo unajichosha tu ukiona hivo ujue mwanaume ni tatizo sio huyo tu wapo wengi kafolenisha ohooo
Unatetea ujinga kwani huyo bidada alikuwa hajui kuwa huyo jamaa ni bwana wa rafikangu ake hata kama alifuatwa kutongozwa alishikiwa bunduki akubali wote wana matatizo hapo usitete mwanamke labda angalau angekuwa hamjui ila anamjua kabisa na anamkubalia half unasema mwenye matatizo ni mwanaume siriasi
@@adrianomaulaga1599 amini usiamini hata Kama wanajisemea et wameumbwa kwa tamaa Ila mwanaume anayekuenda na anayekuheshimu hawezi kutembea na watu wako wa karibu ukiona hivo jikatae hakupendi unaforce tu
@@saniaidrisa3920 mimi pointi yangu ilikuwa unasema dada hana makosa hana makosa kivipi na anajua huyo jamaa ni jamaa wa rafiki ake? Ayo ya kupenda au kutopenda mimi sijui upendo wa kweli anao Yesu tu
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🤲
😂😂😂😂😂😂😂
Za mwiz40😂😂
Hii ni fake (staged) 👎🏼
This is staged😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂