UTAPENDA! DIAMOND PLATINUMZ na TANASHA WALIVYOKATA KEKI kwenye BIRTHDAY ya NASEEB JUNIOR
Vložit
- čas přidán 4. 10. 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
This is what we call co-parenting and these two are really doing fine at it.
Happy birthday NJ and your Dad diamond!! Our NJ we love you from Kenya ❤
Kenya I always love 💞💢💢💢💢💢💢💢💢💢😻
This is beautiful...Top Celebrity Birthday...🌹♥️🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪
Mashallah mwenyezimungu awalinde mtoto wame na vijicho vyawatu wabaya amkuze kwenye mila na dini zaidi na awapende pia Wazazi wake mmwkiza mashallah tanasha and diamond 💙❤️🤲😊
It’s nice to see a child bringing family together. Congratulations.❤❤🙏🙏🇧🇪🇰🇪
MashaAllah happy birthday mtoto
Ila kua mtoto halisia waa baby daddy mwenye watoto wengi ni rahaa the energy is amazing 👏 💖 ❤❤❤
😂😂kweli
Happy birthday to NJ &NS❤❤❤❤❤🇰🇪
Happy birthday simba mdogo and your Dad diamond!! we love you from Kenya
happy birthday nj from kenya
Nice one natasha god bless .love it
I admire our Kenyan gal go getter coz she knows her a value..... HBD little simba
Happy belated for young Lion his Daddy🎉🎉❤❤❤ May the Almighty God always protect you both.
So cute, I love NJ❤❤❤❤
Good familya yiyo Mashalla
Yes modi this is making sense bro big up happy birthday nj 🎉🎉🎉 🎂 love ❤️wooooow awesome 👌
Happy Birthday Baby boy❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
No dramas, dancing like in night club, decent and organised party no kissing infront of kids salute guys, party ya pizza 🍕🍕 wow. Hbd 2 💎💎 s😂
Mapenzi mengi sana❤
Wow! 🙏👌👌👌👌👌
Like father like son,happy birthday 🎂 more hugs from kenya
Birthday 🎂🎉🎂
❤❤
Happy birthday to you 🎊🎉🎂 ishi miaka mingiii Sana Na yenye mafanikio Tele juu yako God bless you 🎊🎉 Simba lamasimba dangote Na Naseeb JR
💝👑
Umetisha man
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
I love this ❤❤❤
❤❤🎉🇰🇪
Happy Birthday Cutey 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 boy❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
SIMBA LA MASIMBA DANGOTE AKIWA NA FALME YAKE 👍💯🇹🇿
❤❤❤❤❤
Eee mwenyezi mujalie diamond aishi malefu 🙏🙏
Simbaa 💯🔥
I can't believe that Our Kenyan Tanasha aliomoka tew Ivo 😁...anyway she is Soo pretty.
💥💥💥💥
❤
Hbd
Ila kiukweli tofauti na Wema sepetu huyu ndo alistahili kuwa mke halali wa Diamond mwingine,ukimuondoa #Wema lkn
Nice cna
Jamaa kama Nyerere kaunganisha nchi Tatu za east Africa Uganda Tanzania Kenya Hadi Raha hichi ndo kidume ❤❤❤
😂😂😂😂😂
Jamani wifi yetu mzuri nyie warudiane2 ❤🇹🇿🇰🇪
👌
Kabs broo
Wow! it was anauzing ,how I missed this I don't know . Simba mdogo ,I hope his daddy it training him how to catch prey 😂. Happy late birthday juni. From kinya
❤❤❤❤🇹🇿🇰🇪
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mom.
Hongera simba
Kuwa na mahusiano na mwanaume mwenye baby mamy weng ni mtihan jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂nmecheka kw sauti aya yalishanikutaga mimi csemi mengi😂😂
Mm yalinikuta saa niko gulf nimetulia sitaki ujinga 😢😂😂😂😂
Njo nilisema hapo zuchu moyo unachunyuta rakini si anajua akisiliza itakula kwake hapo na viporo razima vipashwe😂😂😂😂
Yaan mtihan haswaa
Amna mbna kama wameachana hamna tabu
Inapendeza sana jamani
Happy birthday belated. Cute 😇😇😇😇🤩😛😋
Toto zuri
Wakenya hoyeee
Tanasha kazuri tena kapole❤️
What did NJ TRYNG TO SAY.....I DIDN'T GET THAT
Sijamuona zuchu kwenye hii party jaman🎉🎉
Angalia vizur yupo
@@adventureernest5599uyo ni Doris
@@adventureernest5599😂😂😂😂 wapi....hapo sio rahisi kukaribia kabisaaaa😂 ❤Nj
yupo
@@aaa64sa13mbona mambo ya kawaida kwenye maisha mimi mumewangu kazaa mwanzo anaemleta mwanae kwangu alie kuwa mkewe na anakuja kwangu na ananiheshemu ila tu
Wet & wild Kunduchi toka wamepafanyia matengenezo pamependeza sana
Dayllan yupo
Dogo wa RAYVANNY aga amechangamka sana kwenye upande wa kuyarud mangoma 😂😂
sawakaka
Mbona Zuchu hayupo..!!!!😮😮😮😮sijapenda
Uyu ndo mwanao hasa yaani damu yako ojii sio wa amisa mobeto pale ulisingiziwa
Pale alipigwa kabisaa
Omba na ww usipigwe
Kwa imani ya dini ya diamond .. hana mtoto ata mmoja...
@@sultansallah8772waambie waskie
CAN SOMEONE TELL ME..WHAT DID NJ TRYING TO TELL US
Maisha flani hivi crack sana
😂😂😂😂 baba Lola mpenda Bure apitwe achekwe😂😂😂😍😍😍
Ni ukweli😢
Zuchu mpaka aseme
@dreezy look video 2:02 is in it Zuchu we see??!!! 😳
bnb 😊
Diamond plantnumz NJ mpee mtoto wa kucheza na yeye
D
Ukisikia kupigwa matukio ndio hii sasa,😂😂😂😂😂😂
Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro
😂😂😂 Hapa sijakuelewa... Coz hawo ni Wazazi na mtoto wao ni mmoja tu....
Simba
Mond umetixha jomba
Shati la CHIBU🔥🔥🔥🔥
❤🎉😂
Hapo zuchu kapigwa na kitu kizito..utaskia tu
😂
Zuchu mbona simuoni?
Fayma Sasa na mavazi yake ayo 😮😮
Mwenye kiranga hapewi pole 😂😂😂Tanasha kakata kilimi limi Cha Honeeey🤣🤣🤣
Hahaha
Mambo nimoto 😂😂
Yani kama whozu umemuona lakini HANiiiiiiiiiiii😂 hujamuona weka like apa wewe😅😅😅
Zuchu tupishee jmn inauma lkn utazoeaa
Ila fahima kuvaa uchi anapenda sana aspoonyesha manyonyo ataonyesha vifupa 😢😢😢
Kama nmemuona mtt wa hamisa😅😅
Umemuona jeydanny wa ray hata mm nilijua nia mtt wa hamosa😂😂
Zich mbn ayupo
Huyu alimuonea zuchu nini cheki tanasha bonge la dem
Tiffa anekataa Kula keki
Ila huyu jaydan na hi dancing style yake sasa
Simba uliua
Kesho utasikia Zuchu anamimba.Sijui ataoa nani sasa
Mali zileeeeeeee... Zinaenda kenya na uganda.. wanawake wanajua kupiga mahesabu
😂😂😂
Tanasha ni manz mkal sana jaman
Tanasha kazoa chips na mikono au macho yangu jamen
❤❤❤❤❤ amna chips...
Uyu jamaa anampelekea zuchi maumivu kinyama