Confessions of a reformed thug-Mami e muruaru ndathire thibitari rimwe tu na ngitiga ndaiya thimu

Sdílet
Vložit

Komentáře • 20

  • @VeronicaDunbar
    @VeronicaDunbar Před 2 měsíci +1

    Ni vizuri ikiwezekana, mtoto/wapelekwe University kujionea. Mi nilipata nafasi hiyo nilipoenda Nairobi. Huko, dadangu, akanipeleka kuona University, kule anasomea.
    I was impressed na kuvutiwa sana na maisha ya hapo University. Na nikaamua kuweka bidii zaidi, ndio hata mimi niitwe huko.
    Naamini jambo hilo lilinisaidia sana, kufaulu na kujiunga na hicho chuo kikuu, 2 years later.

  • @philopettway8438
    @philopettway8438 Před 2 měsíci +1

    Keep up Mr Kamau helping young people God will take u far and u young man Muhia wa Maingi good job for bringing good shows which help young and old alike God Bless and u and take u far Amen

  • @waridim9249
    @waridim9249 Před 2 měsíci +1

    Haaiya! Nîguo addictions citindîkaga mûndû ma!! Interview njega mûno, mûno Mûhîa! Mwanake mûgî na mwega nî Mwathani waregire nake! Go Kamau, go!👏🏾👏🏾👏🏾

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 2 měsíci

      Na watu wengine wana gene hii ya addiction. Akinywa kidogo hapa na pale, boom! full fledge addiction inamshika. But mwengine, atafanya hivyo hivyo, but, hiyo addiction haimshiki. Cz hana gene ya kumsuku
      -ma ati lazma anywe ndio ajisikie vizuri.
      Kwake alchohol, hasikii km ni oxygen that, he must inhale/drink, ndio a function.
      Kivyangu, ni vizuri kuiwacha for good for anyone. Cz, mtu anaekunywa, aweza influence wengine wamuige.
      At the same time, let's take personal responsi
      -bility.
      Na, pombe yauwa.

  • @janemugo9686
    @janemugo9686 Před 2 měsíci

    Ngai witù ehamwe Nawe baba witù✌️

  • @prettyn1039
    @prettyn1039 Před 2 měsíci +1

    Mnafanana😊

  • @markthepowerhouse
    @markthepowerhouse Před 2 měsíci +5

    Thankyou for interviewing me

    • @lynn-sj6ek
      @lynn-sj6ek Před 2 měsíci +1

      Thanks alot ,I was once there because of gambling.I accepted came to gulf as a woman and now I have recovered.People that I borrowed and thought am a bad person I wish they knew what I went through.Your story is my story only that I did not steal.God thanks for delivering people Continue to address this gambling shit which is killing young pple

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 2 měsíci

      Are you the guest in this program?
      Tena, nakutakia all the best. Amen.

    • @eunicewairimu518
      @eunicewairimu518 Před měsícem

      Wao! All the best in your endeavors,God has alot in store for you.

  • @PeterShonkangiri
    @PeterShonkangiri Před 2 měsíci

    Interesting story to learn from

  • @florencekiingati8198
    @florencekiingati8198 Před 2 měsíci

    A very inspiring story

  • @YvonneNjeri-cb7yw
    @YvonneNjeri-cb7yw Před 2 měsíci

    Former gitoi is vey handsome.

  • @carolinenyambura4648
    @carolinenyambura4648 Před 2 měsíci

    😂😂😂😂😂 He's good in story telling and very funny

  • @VeronicaDunbar
    @VeronicaDunbar Před 2 měsíci +1

    Atheist, inapronounciw
    -a letter ya mbele as; E. Ile ya kiswahili. Sio A, ile ya kiswahili.
    Google usikie pronoun
    ciation ya hilo neno vizuri/correctly.
    Kizungu si our mother tongue, but tujaribu kutamka itakikanavyo.
    Watoto utuiga, so, tutamke correctly na kuji correct pale tunajua.

  • @user-ni6nt3rw1n
    @user-ni6nt3rw1n Před 2 měsíci

    Naniguo wii Mali safi

  • @davidgitau9417
    @davidgitau9417 Před 2 měsíci

    Iyo beats haileti shangwe

  • @judywairimu8989
    @judywairimu8989 Před 2 měsíci

    my brother alikuwa kwa hiyo rehab alitoka akiwa mzuri but alirudi vile tu please advice

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 2 měsíci

      Ukitoka rehab, au uache kunywa/uraibu, kisha uka guse tena, ile "Antenna" ya kushika na kuregelea huo ulevi, inashika tena Pap!
      So, kaa mbali na huo uraibu.
      So, avoid such people, avoid such places, avoid such situations.
      Usicheze na kifo.

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 2 měsíci

      Again, once an addict, always an addict, for life.
      So, watu wengine huunda vikundi vyao, na kukutana kila siku.
      Hiki kikundi/vikundi, hufatia kitu yaitwa, 12 Step program. Na member akipita one (1) step, anapewa medal of accomplishment; upto the 12th medal. Kisha anaanza hiyo cycle tena.
      Na ukiteleza unywe pombe, let's say at step 3 or 4, unaanza tena step one.
      Reason ingine ya kuwa life member ni, ndio na wewe uwe hapo, kupokea & guide/mentor a new member.
      Just be careful anywhere. Hata kwa hizo groups. Mtu na awe careful anywhere. Kwani, hata Kanisani, hua kuna M'bwa mwitu huko, huenda nyemelea 'Kondoo'/members' wa Mungu.
      Hata barabara designated for pedestrian au Zebra Cross, gari na 'wazimu wake laeza kuja as if frm nowhere na kukugonga.
      Just be aware of your surroundings.
      Mengine ni kuomba na kumuachia Mungu.