Zein l'Abdin - Mombasa Taarab Master

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 09. 2024
  • The late Ustadh Zein l'Abdin was the undisputed king among Mombasa taarab musicians. A formidable 'ud-player, singer and composer his career spanned from the early 1960s into the early 2000s with recordings and live performances up and down the Swahili coast. In the 1990s and 2000s Zein also found wider acclaim with international CD releases and touring in Europe. His Zein Musical Party also helped start the careers of some of the best-loved taarab singers of Mombasa’s golden age - Zuhura, Malika and Maulidi. Zein died in late June 2016, aged 77. Mungu amlaze pema peponi.

Komentáře • 20

  • @brettbidd
    @brettbidd Před 2 lety +5

    I was in his house many times at my time in Mombasa ...my friends told me he is already dead since 5 years now....he give me by my last visit a CD ...
    We sitting forhpurs in his house...very friendly nice man ...R.I.P.

  • @hamzarijal9093
    @hamzarijal9093 Před 6 měsíci

    Zein labidin ya jana

  • @jencapraru
    @jencapraru Před 5 měsíci

    mzuri sana

  • @halimaathman6127
    @halimaathman6127 Před rokem +1

    Naomba wanawake wa kiamu

    • @budihamza5175
      @budihamza5175 Před rokem

      Urathi wa vyombo vya Taarab watumizi hakuna Tena.Cultute yatoweka.

  • @juanestadian8471
    @juanestadian8471 Před 3 lety

    Man this is beautiful. Love the East African oud players.....actually a little more than the arab ones

  • @kakakamanga7178
    @kakakamanga7178 Před 6 lety +2

    Old is gold...safi sana

  • @moradchebout4632
    @moradchebout4632 Před 3 lety +1

    super

  • @user-tb7ee8nc9f
    @user-tb7ee8nc9f Před 5 lety +2

    very nice ♡

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Před 4 lety +3

    Mimi ni Mtanzania, ameimba kiswahili cha Pwani, ila ujumbe " sindano yaweza kuwa uzi na kushona isishone, sindano yaweza iwe na incha na huenda isishone" maana waeza kuwa mwanaume una jogoo lakini aweza asiwike ( mwanaume anaweza awe na uume lakini usifanye kazi na ushindwe kumjaza mwanamke mimba) je una swali????? hahahhaa

  • @kheirdulla9046
    @kheirdulla9046 Před 5 lety

    napenda sana Mombasa song

  • @cpd7172
    @cpd7172 Před 4 lety +1

    Can anybody write the lyrics for me? It’s a bit hard for me to make out what he’s singing.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Před 4 lety

      Mimi ni Mtanzania, ameimba kiswahili kwahiyo huwezi elewa, ila ujumbe " sindano yaweza kuwa uzi na kushona isishone, sindano yaweza iwe na incha na huenda isishone" maana waeza kuwa mwanaume una jogoo lakini aweza asiwike ( mwanaume anaweza awe na uume lakini usifanye kazi na ushindwe kumjaza mwanamke mimba) je una swali?????

    • @cpd7172
      @cpd7172 Před 4 lety

      RAYMOND OYIEKO tafadhali uandike maneno kutoka mwanzo.

    • @Omarsi2000
      @Omarsi2000 Před 3 lety +1

      Sindano
      Texts, music and sing: Zein l'Abdin Ahmed ALAMOODY
      Hayo yajana najuzi .. Usambe usinon'gone
      Hila nawe pigo mpizi .. Maungo yako tuone
      Sindano huwa na uzi .. Nakushona isishone
      Navuta nikikukota .. Na mpee naini nisonge
      Sheli tawapereketa .. Nyoyo zao zawatange
      Sindano huwa nannta .. Na kutunga isitunge

    • @cpd7172
      @cpd7172 Před 3 lety

      @@Omarsi2000 Shukrani ya dhati.

    • @jay29jay78
      @jay29jay78 Před 7 měsíci

      ​@@cpd7172@cpd7172 here it is" haya ya jana na juzi musambe Musi no ng'one, hebu nawe piga mbizi maungo yako tuone, sindano huwa na uzi na kushona isishone----navuta na kukokota na mbee nisonge, Sheti tawapereketa nyoyo zao zi watange, sindano huwa na nta na kutunga isi tunge, sindano huwa na uzi na kushona isishone". The kiswahili used in this song is ki Amu, from lamu Island and the sorounding islands.

  • @KisimaTv99
    @KisimaTv99 Před 5 lety

    Mashallah, napataje nyimbo za Zein??

    • @T.Q.
      @T.Q. Před 5 lety +1

      Mashairi Ya Rangimoto utampata Old Town, Mombasa

    • @KisimaTv99
      @KisimaTv99 Před 5 lety +1

      @@T.Q. ahsante sana ndugu yangu