EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA Ataja WACHEZAJI Anaowapenda BONGO, AJIB Yumo..
Vložit
- čas přidán 26. 08. 2019
- EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA Ataja WACHEZAJI Anaowapenda BONGO, AJIB Yumo..
Miongoni mwa watangazaji wa mpira wenye mbwembwe zaidi nchini ni pamoja na Baraka Mpenja, ambaye akiwa anatangaza mpira basi utatamani usiishe aendelee kutangaza tu...
Global TV imemtafuta Baraka Mpenja, na kuzungumza nae alianzia wapi kufanya kazi hiyo mpaka hapa alipo sasa..
#BarakaMpenja
czcams.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho - Sport
Baraka mpenja sauti ya radi.upo juu Sana anko.lets say keep it up
Hongera sana kijana,umejaaliwa kipaji...huwa napata mzuka sana unapokuwa unatangaza.
Ww unaatari xana nakukubali xana
Mpenja kazi unaiweza
Utamsikia
Asallaam alleykum watz
Wenu barak mpenja
Baraka unajua bhana, big up Sana mzee
Baraka mpenja ni
good boy
Hongera sana mpenja!wengi hawasemi ukweli kuhusu MAISHA yao walikotoka!Congratulate!!!!
Nakukubali xana Baraka
daaaah kiukwel mm nakupenda san kaka mpenja yan
Uko vizuri baraka mpenja
Akitangaza2 unajua mpira utamu wake, upo vizur sana big up
kama umeona MPEnja kachangamka kuliko anayemuhoji
gonga like twende sawa
Namkubali sn huyu jamaa, katika utangazaji wke.
Ok
Namkubali baraka mpenja
Show mzeeeeeeeee
Baraka Mpenja sauti ya rad!!!!you are good guy keep it up!!!!!!
Mkuu we sio mchezo big up kwako.
Nakukubali sana
kaza boot mpenja nafasi hiyo inanyemelewa komaa hapa mjini bana Azam patamu. Good job
Leo naombeni lk zangu nimekuwa wa kwanza
Safii
Umejaliwa
Mi namkubali sana uyu jamaa baraka mpenja hongera bro
Bi up brother
Unaweza sana broooo mungu kakuteu kutupa rahaaaa
Safi sana mkuu hongera sana. Wewe ukiwa unatangaza basi mimi namkumbuka ezekiel mwalongo mungu marehemu hakika unakipaji mkuu
nakukubali san
yes sauti ya radi
daah , nilijua huyu jamaa ni bonge la mtu kumbe ni piriton kama Mimi!!! , dah Hongera braza
Nimekuelewa sana baraka penja kwa utangazaji wako
Ha ha et piriton
Good mate,umesahau tokea shule ulipenda kutangaza misosi
Namwelewa sana jamaa
unajuwa sana kaka
Mpenja kama Kinyambe
Safi sana Baraka mpenja
Mwanafunzi wetu wa Isuto secondary wilaya ya mbeya mkoani mbeya
Wazidi Mahenge isuto ya umalila?
Victor Junior yes umalila kiongozi
Daah nilisoma itundu hapo those days
Victor Junior hongera sanaa
nakubali brother
Safi sana mpenja uko vizuri
Daaa no nouma
Namkubali Sana huyu jamaa
good kaka
Kweli
Bhanyambalaaaa ebu tulike hapa
hujawahi kuniangusha toka nianze kukufatilia ,,,
Namba moja bongo
Hugo jamaa ndie kanifanya niwe nafuatilia mpira kwa utangazaji wake mashuhuri
pamoja mpenja nakuerewa sana kaka
Mbona hiyo mpenja tv siipati?
Uko vizuri Kaká mpenja da
Hakuna Kama mpenjja wakati huu
Nakuelewa sana kaka ile mechi ya Simba na Nkana
Morrison.. Ndevu za Caranteen..
Shikalo Yanga Wanakutaka Kenya Wanakutaka kakaa.. Lilikua Bonge LA Goal LA Aidan
Mkn baraka mpenja
Macho yako yanaona kama yangu goli gani ilo
Nataka mechi zote atangaze mpenja kiswahili chake kinakupa furaha sana uchoki kusikiliza
Upo vizur sana tu
Saaaaaan mzee kwtu isuto
aiseee unapo mpamba makobo bich najisikaa raha sana
Wanao xemaa huy jamaa yanga naomben like zen hap
Huyujamn
Kaka mpenja nakukubali unahamacxha xna maxhabiki kwenye Gome unajitambua xna bro
Upo vzr
mpenja nakukubari sana bro....uwa najaribu kwa Saut ya juu kurudia kile ulichokitamka....najua we ni msimbaz hahah....
upo vizur
Goal limelia mbu mbuu Kama ngoma ya daku
We nihatar baraka mpenja
Mapenzi
Yupo simba
Simba. uyo
Kwani kuwa simba tatizo
Umeeleweka ndugu asiekuelewa xi mzalendo
Hongera mpenja
Hahaha ivi macho yako yanaona kama mimi?
Aseee mtangazaji mahiri
Unajibu vizuri kaka
Ax
Mpenja fundi
Hahaaha hahahaah
Namimi nijaribu
Wayaaaa wayaaaa goli la mwisho ni tamu Kama mlendaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Yan mpenja saut yak unafany mpira unoge mpenj ww ni shida
Yaaan hayo mahojiano bas watyu watahusisha 👎 Usimba na Yanga
Napitia kanuni za FIFA hiv magoli kama haya yanaruhusiwa kweli chama? Yemweyemwe......! Duu...! Ile cku bas tu kwakweli
Hivi MAULID WA kitenge yupo wapi?
Korea ya Kusini na Japan. Siyo Korea ya Kaskazini
Edward Alex Mkwelele i
Good you heard that mistake and corrected
Mpenja mtanzania na mtangazaji anaongoza kwa kupendwa na watu
Mpenja pamoja
Huyu Mpenja anafanana flani ivi na Hamad Ndikumana marehemu mume wa Uwoya
Ilikua Sina time ya kuangalia mpora was bongo ila jamaa amenishawishi kwa utangazaji wake, sante mpenja
Huyu ni simba dam dam
Kweli Mpenjaweninoma maanaulimuulizachama chamaanataka kufanyann na akakupajibu
mpenja buuaana noumaa sana
Mtangazaj WA mpira mweny vionjo rukuki, Hivi macho yake yanaona km mimi
nakubary mpenja
Namwelewaaaaa kinoumaa...... Wakwanza kucoment
Bro uko vizur
jackson bulugu yupo vzr
Kwa kweli unajua
Unajua sana broo
Mpenja we noooooama saaana kama Ezekielly Malongo vile
Anawapenda? Is this guy ok? I can’t believe sometimes hawa mastaa wa bongo. Admiring and loving are 2 different things!
kaza kiongoz tunakukubali sana
Talanta hapo
Baraka mpenja Nimoja ya watangazaji Duniani ninaempenda kuliko Mtangazaji mwingine yeyote Duniahii
Sauti ya radio mwamba wa lumarila doze doze
Good interview 😂
Yaani Mpenja hua nakukubaligi sana
I know I'm kind of randomly asking but do anyone know of a good place to watch new series online?
@Jayden Davian Flixportal xD
@Tristan Justice Thanks, I went there and it seems like a nice service =) I really appreciate it !
@Jayden Davian no problem xD
Baraka Mpenja anazingua kitu kimoja tu na najiuliza Sana kwanini yeye utangazaji wake ni MKAPA STADIUM au UHURU STADIUM tu!?? Atangaze na Nje ya mkoa sio game za DSM tu.
😀m2 makn
P moenja nakubar
Nakubar mpenja
Bao la Morrison kuifunga simba ulitangaza vema sana
Kuna kitu nimejifunza na namna ya kuwachukulia watangazaji nisamehe sana mpenja
Komaa na hiyo nafac kaka utupe burudan
Swali la technique sana kuhusu wachezaji uwapendao ko unaweza kuwataja kumbe Simba wengi alafu tunajua sana we simbaaaaaa
Wewe nakufananisha na marehemu Hassan Mkumba na Dominic Chilambo hao ndio size yako dogo sauti safi, vionjo makini kabisa. Hongera sana ongeza bidii. Ukiweza tafuta CD za Hassan mkumba utanielewa.
ww simba mechi nyingi unatangaza za simba
Yani ukiwa unatagaza ww ata kama tim yang imefugwa unafariji sana
We ni yanga damu haina ubishi maana kila ukiongea lazima utaje timu ya wananchi mpenja wapo wapo watangazaji mpira wanaonyesha mapenzi ya wazi kama enock bwigane, hadi anapoozesha mpira ,
ww n mashine mwanangu PGA kaz
Fei totooooooo kiungo fundi
Sawa dogo lakini wewe ni mashabiki wa simba
Mpenja wewe ndo namba moja kabisa
Mwewemwe
Baraka ni moto wa kuotea mbali bigap sana Mpenjaaa.
Hahahahahaha
Nasry The Done
Nakulola wakuhaya ulihinza uimishilwaje mwene