UTUKUFU MISA YA MT. ANNA - FR G. KAYETTA |TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • Wimbo: Utukufu Misa ya Mt Anna
    Mtunzi: Fr. Gregory Kayetta
    Organist: George Bingi
    Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza
    MANENO YA WIMBO
    utukufu kwa Mungu mbinguni,
    Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema
    Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza
    Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana)
    Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni
    (Mungu Baba) Mungu Baba Mwenyezi,
    Ee Bwana Yesu (Kristu) Mwana wa pekee
    Ee Bwana Mungu Mwanakondoo wa Mungu
    Mwana wa Baba (Mungu) wa Mungu Mwana wa Baba
    Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
    Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia
    (pokea) pokea ombi letu
    (ewe) Mwenye kuketi kuume kwa Baba
    Utuhurumie (Bwana) utuhurumie
    Kwa kuwa ndiwe uliye (peke) peke yako mtakatifu
    (Peke) peke yako Bwana (peke) peke yako mkuu
    (Yesu) Yesu Kristu,
    Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba
    Katika utukufu, katika utukufu wa Mungu Baba
    Katika utukufu wa Mungu Baba
    (katika) Utukufu wa Mungu amina amina
    Katika utukufu wa Mungu (Baba) Amina amina

Komentáře • 42