Aliemtafuta dereva mkongwe ana upeo mkubwa sana.ila baba levo naomba kl ijumaa jion mara moja hta kwa week muwe na kipind kuita viongoz wa madereva au madereva wazoefu kuelezea changamoto za barabaran.maana madereva wana changamoto nying sana ila hawana pa kuongelea.
Baba Levo mbunge wa baadae uyo ...baba Levo ebu gombea ubunge kwenye chama Cha ccm..mwamba unajuwa Sana wewe ni mtu wawatu na unajuwa Sana ...mim kiukwer nishabiki wako since way back ..nakupenda Sana baba Levo wewe na Daimond nawapenda Sana... nakukubali sana
Namkubaligi Sana uyu dereva anajuwa Sana kuchekesha...nimecheka pale anaposema bosi mchaga mwanaume pesa Ili kuipata lazima jasho likutoke🤣🤣🤣🤣🤣mnapigana wee mpaka umpige ndo anakupa pesa yako..🤣🤣🤣da uyo kwer bosi kichefuchefu
Crown FM kujieni dereva mkongwe❤❤❤
Aliemtafuta dereva mkongwe ana upeo mkubwa sana.ila baba levo naomba kl ijumaa jion mara moja hta kwa week muwe na kipind kuita viongoz wa madereva au madereva wazoefu kuelezea changamoto za barabaran.maana madereva wana changamoto nying sana ila hawana pa kuongelea.
Noma sana🙌🏿 mali hyo♥️♥️
mkongweee mkongweee umenichekesha sanaaaa😂😂😂
Following from Kenya..
😂😂😂😂 dereva mkongwe daah! Media msiache mali hii hii nipesa
Wajukuu wa huyu mzee wataenjoy sana😂😂
Namkubali sana dere mkongwe ana fact .kubwa zaid ni swala la mungu aachikuimiza ibada.na anaongea ukwel sana wamaisha alisi ya mtaani
huyu mzee dereva mkongwe anachekesha balaa wampe kipindi chake cha hekaya za dereva mkongwe 😂.
Bonge moja la Idea aisee
Wataongeza mvuto wa kufuatiliwa na watu wengi zaidi.
We jamaa umewaza mbali mno🙌
Absolutely, content idea nzuri sana, Wasafu media waone hii chapu.
Hapo Kwa mugokaa mkongwe anaongea kweli
Baba levo mwandike kwa radio station yako please
Huyu jamaaa Nimecheka sana leo 😂
Bila shaka uyu kaletwa na baba levo kafanya vizr sana namkubali sana
Baba Levo mbunge wa baadae uyo ...baba Levo ebu gombea ubunge kwenye chama Cha ccm..mwamba unajuwa Sana wewe ni mtu wawatu na unajuwa Sana ...mim kiukwer nishabiki wako since way back ..nakupenda Sana baba Levo wewe na Daimond nawapenda Sana... nakukubali sana
😂😂😂😂 we need part 2
nime enjoy
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mkongwe noma
🎉😢😢 .
Noma sana😂
Mpeni dili cheka tu😅😅
1:30:30
kama unatokea muheza unamuelea jamaa ngeli zake nyingi, sidhani kama watu wanaelewa kila neno, maana ana ngeli za nyumbani sanaaaaa
Majizo chukua huyu mzee😂
Dada mpe mtu nafasi ya kuelezea acha kumkatisha katisha tunajua unajua
Huyo apewe kipindi pale 7 media , ceo#Officiallbabaleve😅😅
Mkongwe nipo kamembe 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Duuuu
😅😅😅 huyu dingi jau saana
Dereva mkongwe yule mzee wa asali anaitwa mkali kidonga saizi kafa
Hivi Kwa mlio hesabu mnaweza niambia Baba levo amecheka Mara ngapi?
K 9 😂😂😂, naijua hiyooo😂😂😂
baba levo naomba nisaidie pesa ni nunue bodaboda inisaidie kimaisha mm ni mha mwenzakoo
Ruby alakomeyeee
mtasheeee nyinawageee
Nitakuunganishanae
Mhu?? Nyie vijana Embu Akiri itumike kidogo ktk ufikiriaji wenu
Huyu mzee ni hatariii😅😅😅😅 anashuka na kaseja😅😅
Sante sana mgongwe sahv cyo bongo move tu hadi madereva nasi sahv tunapata thamani 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂dereva mkongwe nakukubali sana ..!!
😂😂😂😂😂😂 Mkongwe bwanaa😂😂😂😂
Kila nkimwangalia huyu mzee naona kwenye kipindi hiki kuna takiwa kuwe na kipengele cha udereva na usalaa barabarani
Dah🤣🤣🤣😋
Mbona mimi sioni nasikia mziki tu
😂😂😂😂😂😂😂😂hatali sana mkongwe ninoma
Huyu Mzee 😂😂😂😂mrungi wa farasi
Iyo songea kwenye asali hapo nimesoma songea huyo mzee asali ni uhakika
B level kapata mwenye maneno yake sas
Mkongwe ni tenke fungurume
Labda Kongo ya zaman ndo walilipwa laki 8 malage
Imebid nije nitafute ii interview
Mkongwe anayoongea ni kweli iyo songea sikia tu
Kilanje lanje daaaaaaah kitambo xn aaisee nmetoka juzi tyuu apo mgodi wa mawe
Haha haaa huyo ndo atakua kiboko ya foto magari😅😅
😂😂😂😂😂nakubali
Mkongwe unaongea ukweli Ila punguza comedy
Hata jumbe za vitabu vya mungu zilikua zikiwasilishwa kwa Mafumbo.
Namkubaligi Sana uyu dereva anajuwa Sana kuchekesha...nimecheka pale anaposema bosi mchaga mwanaume pesa Ili kuipata lazima jasho likutoke🤣🤣🤣🤣🤣mnapigana wee mpaka umpige ndo anakupa pesa yako..🤣🤣🤣da uyo kwer bosi kichefuchefu
Madj wa bongo mnaniudhi kupiga ngoma za wanaijeria wakati madj wanaijeria hawachezi ngoma zetu acheni shobo
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Mmeshindwa kutafuta madereva wanaojielewa mnaleta mchekeshaji
Udereva na uchekeshaji na uongeaji ndio uliompeleka wasafi na sio udereva
kama anaendesha from 1982 kuna la kujifunza , anaipenda kazi yake plus haboi kumsikiliza.
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
,😂😂😂😂
Hpo tenki funguru cyo poa watoto wambwa wakifurungwa wanafunga balabala
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Noma sana😂
Namkubali sana huyu, namfatilia toka kenya😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂