HISTORIA FUPI YA MARIAMU WALOTABULA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 09. 2024

Komentáře • 36

  • @sergechikoma8180
    @sergechikoma8180 Před 3 lety +4

    Historia nzuri sana Mambo mengi aliyo tabirii Miriamu kwajili y’a Congo imetimililka . Tanganyika TV mumefanya kazi njema

  • @petro2085
    @petro2085 Před 3 lety +11

    Historia hii ya Mariam ni kweli 100%. Nilimfahamu Mariamu tangu utoto wangu maana nimebahatika kuhishi pale Abela kwa wakati hule Mariam akihishi Abela. Mama Mariam alikuwa nabii wa Mungu maana alifanya kazi ya Mungu bila shaka. Ni kweli tulihishi naye bila kula na kunwya. Kupitiya huduma yake, kijiji cha Abela kilipokeya wageni wengi kutoka nchi mbalimbali kwa kuja kumuona Mariam. Kwa wakati hule, Abela palikuwa nafanyika mikutano ya ingili mara kwa mara. Palikuwa na ibada za jioni mara kwa mara watu wakihimba na kumsifu Mungu. Nikweli Mariam alikuwa nasafiri kiroho kwa mda mrefu na kuoneshwa mengi ya ulimwengu wa leo.
    Ila katika Video hii, kuna unabii muhimu ambao video hii ahikutaja ambayo ni ya muhimu sana kati ya nchi ya Congo na Rwanda.
    -Wakati fununu za vita zilihanza Congo, mwaka 1995-1996, katika mkutano wa injili pale Abela, Katika mkutano huo palikuwa na wageni kutoka Rwanda. Mariam alisema na kutabiri kwamba: Naomba Glass mbili za maji ya kunwya, zilipoletwa, akasema kwamba, Glass hizi mbili nimfano wa nji mbili: Congo na Rwanda. Akaomba Mungu. Alipomaliza maombi yake; Glass moja maji yake yakageuka kuwa damu, na glass nyingine maji yake yaka shuka kiwango kuliko mwanzo. Mariam akasema: Glass hii ya ambayo maji yake imegeuka kuwa damu ni mfano wa Rwanda, katika vita hii ambayo munahandaa, mutakufa sana bila kupata ushindi. Glass ile ya pili akasema ni mfano wa Congo, katika vita watafariki ila ushindi ni wao.
    Samahi sana kwa wote, nilipenda kutowa abari ya unabii huyu maana ni muhimu sana kwa hali alisi kwa hizo taifa mbili. HOSEA 4:1, MITHALI 29:18
    Asanteni sana na Mungu awabariki!

    • @Misigaro8246
      @Misigaro8246 Před 3 měsíci +1

      Naomba kujua mavazi aliyokuwa na vaa marium ili tujue mwanamke mcha Mungu anatakiwaje kuvaliaje

  • @Sara-ne3xl
    @Sara-ne3xl Před 2 lety +1

    Eeee Baba Mungu usikiaye maombi ya watu wako,nakuomba tembea nami siku zote za maisha yangu kama ulivyotembea na mtumishi wako mariam.

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 Před 3 lety +2

    Tanganyika tv mna fanya kazi nzuri sana. Naamini idhaa hii ita songa mbele sana tena sana. Chapeni kazi vijana !

  • @mukundesikitu8314
    @mukundesikitu8314 Před 5 dny

    Mungu ni mkuu

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 Před 3 lety +2

    Abela nyumbani kwetu jamani 🥰😊😊😊😊😊🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Intwariziwacu
    @Intwariziwacu Před 2 lety

    Tanganyika TV mbarikiwe na Bwana kwa kazi hii nzuri. Endeleeni hivyo Mungu atazidi kuwainua!

  • @uviranyumbani
    @uviranyumbani Před 3 měsíci

    Tunasubiri unabii ya wanyarwanda wanao jiita wanyamulenge itimiye ju yakurudi kwao Rwanda

  • @florencekiza7436
    @florencekiza7436 Před 3 lety +1

    Stori nzuri sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @beatricegaston2777
    @beatricegaston2777 Před 3 lety +2

    I know this story for long time my dad’s use live with her and my great grandparents

    • @ushindimazino2002
      @ushindimazino2002 Před 4 měsíci

      I would love to know more about this women of God if u have the story please tell me

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni Před 3 lety +3

    Amazing history 😭❤❤

  • @adolpheaoci5706
    @adolpheaoci5706 Před měsícem

    Vibogobogo

  • @joselinekadeyi8351
    @joselinekadeyi8351 Před 3 lety +2

    Amen Amen

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 Před 20 dny

    Uwongo mtupu, mambo mengi ya uharibifu hufanyika kupitia kanisa, hapakuwa mambo ya Mungu pale Abela bali mipango ya mashetani watusi. Walikuwa Abela kwa kazi ya kuvusha silaha kwenda milimani kwa ajili ya kuandaa balkanisation ya Kongo. Acheni ujinga wa namna hiyo, siri ipo inje

  • @walumbaisidore794
    @walumbaisidore794 Před 2 lety

    Vous aime pour tout ce que vous nous informez.

  • @unknownafrica5568
    @unknownafrica5568 Před 2 lety

    Mombasa kuna mtu alikua akusema yy mungu mpaka leo wana amini manyoyi

  • @beatricegaston2777
    @beatricegaston2777 Před 3 lety +1

    Donatien my great grandpa 👴 he was the one who live with them there

  • @ramadhankijana9442
    @ramadhankijana9442 Před 2 lety

    Angerudi rwanda tu kwao.

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Před 3 lety +2

    Banyamulenge nao ni wanyarwanda waloishi Zaire ya zamani

  • @EshimaniMauridi-im8gi
    @EshimaniMauridi-im8gi Před 6 měsíci

    Amina🙏🙏🙏🙏

  • @unknownafrica5568
    @unknownafrica5568 Před 2 lety

    Acheni uongo au ataka kua nabee he Bu muogopeni mmungu

  • @sakabakaaigle6129
    @sakabakaaigle6129 Před 3 lety +1

    Unasema eti Mariam alizaliwa 1930, akafanya ndowa 1946 Kakenge Minembwe . Muheshimiwa Bitakwira amesema eti amewaona wanyarwanda wakija kutoka Rwanda 1960? Please Mutuelezeye ukweli sisi wavijana munatuchanganyikisha. Namna gani watu walifika Kongo 1960? Tena munasema uwongo eti wamezaliwa 1930? Tukubali nani kati ya Bitakwira na Mtangazaji huu?

    • @Intwariziwacu
      @Intwariziwacu Před 2 lety

      Discours za Wenyesiasa mara nyingi zachochea chuki na kujitafutiya sifa. Lakini kweli ni kwamba Mariamu alizaliwa inchini Kongo mwaka wa 1930, baba mzazi wa Mariamu naye alizaliwa inchini Kongo. Wazazi wetu waliyo tumika na Mariamu mbele ya 1960 ni mashahidi wa kweli.

  • @sergemwatiministry8043

    Watu wanasema eti alitabiri kuusu mangungulu ya dama ambayo inamwagika Congo eti kutakuwa 4 zawa congomani, 7 za wahutu wa Rwanda na 8 za watusi . Na vita vinatoka Rwanda n'a ita ishiya Rwanda. Je hiyo ni kweli ???

  • @Intwariziwacu
    @Intwariziwacu Před 2 lety

    Abela ilikuwa paradize duniani! Kulikiwa upendo wa hali ya juu, watu wote bila ubaguzi wa kabila, walihudumu pamoja kwa pendo, kula pamoja, kanisa moja! Shetani ni adui wa umoja!

  • @fikiriisayaprophete4876
    @fikiriisayaprophete4876 Před 3 lety +2

    🔥 🔥

  • @rugarekashasha8196
    @rugarekashasha8196 Před rokem

    Hiyo sura sio ya kitutsi muache kudanganya watu. Munakosa la kufanya si mutangaze historia ya ndugu yenu? Ina maana wabembe hamuna hata historia moja! Mariamu aliwafunga katika ujinga mkubwa na mukakubali tu.

    • @mwaminimwangaza
      @mwaminimwangaza Před 3 měsíci +1

      Ondoweni uchungu wana wa Mungu , Mungu anajuwa yote anaona yote na Mungu atuhurumie sote na atupe mwisho mzuri

  • @patrickmugisha9036
    @patrickmugisha9036 Před 3 lety +1

    Mbona hujasema wabembe ndie wamewaua? Nawatoto mukawateka nyara mukawapeleka Tanzania namukawaoa. Hiyo unyama mumetutendea mpaka kwaleo, mutalipa hapa Duniani kabla mufike kwashetani. Nabado hatujasahau... tunafahamu hiyo maneno Kama imetendeka jana!! Muritumiwa najeshi ya Habyarimana, naleo munatumiwa na Kagame kumaliza mukongomani mwenzenu. Ndie maana hamunahakiri!

    • @UKWELIWAYESUKRISTO
      @UKWELIWAYESUKRISTO Před 3 lety +1

      Wewe ni wawapi. Ume comments upate umaharufu apa kwenye TV ya Watoto wa kivu?

    • @petro2085
      @petro2085 Před 3 lety +1

      No Sivyo! Wa Bembe walimpenda sana Mama Mariamu na kumuhudumiya sana pale Abela. 🤝

    • @patrickmugisha9036
      @patrickmugisha9036 Před 3 lety

      @@petro2085 Siyo wote wale wabembe wabaye ndio warimuua mpaka leo wanatamani kutumaliza.

    • @ramadhankijana9442
      @ramadhankijana9442 Před 2 lety

      Nawewe ni nani kwanza kwenye udongo wa fizi.
      Fahamu leo kama ulikuwa hujui wewe ni mkimbizi tu na mwisho wa mkimbizi urudi kwao ila wewe umekataa.
      Sikia bwana rudi rwanda where you belong

    • @mwaminimwangaza
      @mwaminimwangaza Před 3 měsíci

      Mumuachie Mungu yote kwasababu kama alikuwa majakazi wake hakushindwa kumlinda Mungu aliona iwe hivyo tu