🔴LIVE; KOCHA BENCHIKA AREJEA SIMBA RASMI AWAPA PONGEZI BENCHI LAKE LA UFUNDI KWA USHINDI HUU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 03. 2024
  • KOCHA BENCHIKA AREJEA SIMBA RASMI AWAPA PONGEZI BENCHI LAKE LA UFUNDI KWA USHINDI HUU
    #simba
    #kochampyasimba
    #ahmedally
    #usajilimpya
    #tetesizausajili
  • Sport

Komentáře • 9

  • @dorostaferician-jb1sf
    @dorostaferician-jb1sf Před 2 měsíci

    Namuombea Benchika uzima awaongozee maarifa Simba waweze kusonga mbere daima

  • @user-pw4vj5fw5k
    @user-pw4vj5fw5k Před 3 měsíci

    Mimi nisimba kama kocha kaludi kama kuwa Kanda mungu asaidie

  • @mchelumohamed2976
    @mchelumohamed2976 Před 3 měsíci

    Simba tujiandae vizuri kwani AL-AHALY sio masihara Niko mbagala

  • @CharlesBenito-yq8rv
    @CharlesBenito-yq8rv Před 3 měsíci

    Simba tunakiamini kikosi na benchi lake la ufundi,Niko lufunsa zambia

  • @user-zo8zs4fd3i
    @user-zo8zs4fd3i Před 3 měsíci

    Elias Mathew kamfa tanga tanzania naipongeza Tim ya simba k wa ushindi wa apojana

  • @fakifaki5246
    @fakifaki5246 Před 3 měsíci

    Mimi ni mpenzi wa simba lakini ukweli kiwango cha simba kwa sasa kiko chini sana!

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t Před 3 měsíci

    Kama kiko familia yako ucheze, tatizo mashabiki wa simba mmeshakengeuka na yanga kisa inacheza vizuri, nendeni utopolo mtuachie timu yetu, maana sasa hivi ooo yanga yanga yanga yanga penda chako achana na cha jirani