SMARTFARMERS FOR CHANGES
SMARTFARMERS FOR CHANGES
  • 30
  • 44 462
FULSA YA KUNUNUA MPUNGA PART 3
Ukiacha kulima mpunga wakulima wanakuwa na uhitaji wa wanunuzi haswa wakati wa kuvuna.
je una mtaji na unataka kufanya hii biashara ika hujui yanzie wapi.
nichek wakati wako ndio na msimu ndio huu
+255 764 536 790
zhlédnutí: 164

Video

MPUNGA - MAVUNO PART 2MPUNGA - MAVUNO PART 2
MPUNGA - MAVUNO PART 2
zhlédnutí 27Před měsícem
kilimo ni uti wa mgongo na ni biashara bora ukikipata kwa usahihi
MPUNGA ATUA YA MAVUNO PART 1MPUNGA ATUA YA MAVUNO PART 1
MPUNGA ATUA YA MAVUNO PART 1
zhlédnutí 85Před měsícem
Ni zao pendwa kwa chakula na biashara. msimu huu katika Habari za kilimo cha mpunga kijiji cha mbigiri mkoa wa Morogoro kilimo kimefanya vizuri. maeneo haya yanahitaji maboresho ya kisasa. ikiwemo mashine za kisasa ambazo zinaweza kukologa tope. wakati maji yakiwahi. Nina Imani kubwa video hizi zitampata muekezaji. Pia ktk kuwekeza ktk kununua mpunga na kuwa mnunuzi mkubwa wa mpunga. Fulsa iko ...
KULIMA MPUNGA - UMWAGILIAJI PATA GUNIA 40 AU ZAIDIKULIMA MPUNGA - UMWAGILIAJI PATA GUNIA 40 AU ZAIDI
KULIMA MPUNGA - UMWAGILIAJI PATA GUNIA 40 AU ZAIDI
zhlédnutí 691Před 2 měsíci
Mpunga hivi karibuni limekuwa zao sio tu kwa ajili ya chakula pekee lakini biashara. mchele umechukua nafasi ya kufanya vizuri katika soko la ndani na nje ya Tanzania.. Leo ktk video hii inakuletea elimu ya kilimo cha mpunga. Haswa katika kukupa taarifa kuhusu kulima katika mashamba yanayotegemea maji kutoka milimani na mashamba yanayotumia mfumo wa kuingiza maji na kutoa. Mkoa wa Morogoro umeb...
JINSI YA KUFANIKIWA KTK KILIMOJINSI YA KUFANIKIWA KTK KILIMO
JINSI YA KUFANIKIWA KTK KILIMO
zhlédnutí 344Před 3 lety
Morogoro ndani ya Tanzania wilaya ya Kilosa kijiji cha mbigiri kimebarikiwa ardhi inayofaa kwa kulima mazao mengi ili ni shamba la mpunga linaloendelea vema tazama usiache to subscribe ujifunze mengi
JINSI MPUNGA ULIVYOKUWAJINSI MPUNGA ULIVYOKUWA
JINSI MPUNGA ULIVYOKUWA
zhlédnutí 659Před 3 lety
JINSI YA KUTAJILIKA KWA KULIMA MPUNGAJINSI YA KUTAJILIKA KWA KULIMA MPUNGA
JINSI YA KUTAJILIKA KWA KULIMA MPUNGA
zhlédnutí 577Před 3 lety
Wakati tunalima ..ardhi ilikiwa kavu tena yenye majani ...inahitaji ujasili kuchukua hatari ya pesa na kuzihifadhi katika ardhi ...baada ya miezi minne shamba lipo katika hali ya kijani kibichi ... Kilimo ni shughuli ambayo hatupaswi kuiacha... tuna wajibu wa kufundisha vijana wetu waweze kufanya hii kazi... Serikali ifanye jitihada kufikia wakulima wote haswa kuweka soko la ndani la mchele len...
JINSI YA KUPATA GUNIA 40 ZA MPUNGA KWA EKALI MOJAJINSI YA KUPATA GUNIA 40 ZA MPUNGA KWA EKALI MOJA
JINSI YA KUPATA GUNIA 40 ZA MPUNGA KWA EKALI MOJA
zhlédnutí 2KPřed 3 lety
Uongozi wa kikundi cha smart Farmers for.change ulifika kuangalia maendeleo na kubaini changomoto
JINSI YA KUPATA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA KILIMOJINSI YA KUPATA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA KILIMO
JINSI YA KUPATA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA KILIMO
zhlédnutí 643Před 3 lety
Ingawa kilimo cha mpunga kimekuwa tegemeo la watu wengi ila bado changamoto kuu ni ktk masoko.. Mkulima hana soko la moja kwa moja .... kwamba nikimaliza kulima ni wapi nipeleke na kuuza mazao. Ni mtazamo wako kuhusu serikali ? Kama Mkulima na swala la kuwa na soko la ndani linalo eleweka na mpango wa kuwa na soko la nje. Ili kilimo kiweze kumkwamua Mtanzania
FULSA MPUNGA EKALI MOJA GUNIA 20FULSA MPUNGA EKALI MOJA GUNIA 20
FULSA MPUNGA EKALI MOJA GUNIA 20
zhlédnutí 643Před 3 lety
Shughuli ya kilimo imekuwa ikitazamwa na vijana kama kazi ya mwisho ktk maisha au kazi inayofanywa na wazee, wastaafu nk. Kutana na vijana kutoka Dar es salaam hadi Morogoro ktk kijiji cha mbigiri wilaya ya Kilosa wakiongelea mabadiliko ktk shamba la mpunga. Vijana ndio haswa wanapaswa kufanya shughuli hii... kwasababu ndio Taifa la kesho. changomoto ktk sector ya kilimo ni za kuzifanyia na zit...
FULSA YA KULIMA MPUNGA KTK MASHAMBA YA ASILIFULSA YA KULIMA MPUNGA KTK MASHAMBA YA ASILI
FULSA YA KULIMA MPUNGA KTK MASHAMBA YA ASILI
zhlédnutí 211Před 3 lety
Tupo ktk hatua mpunga umeota na unaendelea vizuri .. kilimo ni uti wa mgongo karibu tulime pamoja
FULSA KULIMO CHA MPUNGA MAANDALIZI NA CHANGAMOTO ZAKEFULSA KULIMO CHA MPUNGA MAANDALIZI NA CHANGAMOTO ZAKE
FULSA KULIMO CHA MPUNGA MAANDALIZI NA CHANGAMOTO ZAKE
zhlédnutí 865Před 3 lety
Biashara ya kilimo ina tazamwa kwa mtazamo mgumu ..kutokana na mazingira yake ya kuandaa baadhi ya mazao haswa haswa mpunga. Kutana na kijana Batromeo kutoka Dar es salaam aliyeamua kuanzisha shughuli ya kulimo cha mpunga ili kuamsashisha Vijana kuona kulima sio kwa ajili ya wazee. Pamoja na hayo kumekuwa na tatizo kubwa katika masoko ya kulimo ... Wito kwa serikali ni kutazama zao la mpunga na...
JINSI YA KUANDAA SHAMBA ZA MPUNGAJINSI YA KUANDAA SHAMBA ZA MPUNGA
JINSI YA KUANDAA SHAMBA ZA MPUNGA
zhlédnutí 4KPřed 3 lety
Jifunze maandalizi ya kilimo cha mpunga ... napa ndio tumeanza Leo tuna lima nataka ujifunze... sina uchoyo wa nafsi kilimo kina kukosa katika kukosa kuna wengine wanapata .. Wanapataje unakosaje... Nafungua mjadala .. Sehemu ya kwanza msimu wa mwaka 2020 to 2021 ... Usiache to subscribe ... ili upate post zote za kilimo cha mpunga na ujue changamoto zote
JINSI YA KULIMA MPUNGA - KISHA KUPANDA NYANYAJINSI YA KULIMA MPUNGA - KISHA KUPANDA NYANYA
JINSI YA KULIMA MPUNGA - KISHA KUPANDA NYANYA
zhlédnutí 146Před 3 lety
Bila wakulima hakuna maisha na pia kulimo sio shughuli ya mwisho baada ya kushindwa maisha na wala sio kwa ajili ya wazee na WASTAAFU... Kilimo ni kazi ..kilimo ni uti wa mgongo... Mashamba haya yaliyopo ktk kijiji cha mbigiri mkoa wa Morogoro wilaya ya kilosa ... Yamebarikiwa sana ebu ..ona ukimaliza mpunga unaweza ukapanda mahindi,nyanya na mazao yanayo fanana na hayo... Usiache kunichek kwa ...
Mbinu mbalimbali zikijadiliwa na WAKULIMA wa MPUNGA zakupata mazao mengi, masoko na fursa za kilimoMbinu mbalimbali zikijadiliwa na WAKULIMA wa MPUNGA zakupata mazao mengi, masoko na fursa za kilimo
Mbinu mbalimbali zikijadiliwa na WAKULIMA wa MPUNGA zakupata mazao mengi, masoko na fursa za kilimo
zhlédnutí 247Před 3 lety
#kilimokwanza #wakulimatz Wakulima wa mpunga kijiji cha mbigiri Mkoani morogoro wakijadili mbinu mbalimbali za kukuza kilimo cha mpunga na jinsi ya kupata masoko kwa mazao yao wakiwa pamoja DM part 1

Komentáře