Zanzibar Istiqama Charitable Organization
Zanzibar Istiqama Charitable Organization
  • 265
  • 179 156

Video

Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wazuru maeneo ya kihistoria ndani ya Madinatu Al-Munawwarah
zhlédnutí 2,5KPřed 7 hodinami
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wazuru maeneo ya kihistoria ndani ya Madinatu Al-Munawwarah
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) shuhudia mahujaji wakiingia katika Raudhwa tukufu
zhlédnutí 982Před 9 hodinami
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) shuhudia mahujaji wakiingia katika Raudhwa tukufu
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakitembelea maeneno matukufu ndani ya Madinatu Al-Munawwarah
zhlédnutí 2,3KPřed 12 hodinami
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakitembelea maeneno matukufu ndani ya Madinatu Al-Munawwarah
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wa Jumuiya ya Istiqama wakielekea Madinatu Al-Munawwarah
zhlédnutí 1,4KPřed 14 hodinami
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wa Jumuiya ya Istiqama wakielekea Madinatu Al-Munawwarah
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakielekea Muzdalifa
zhlédnutí 2,9KPřed dnem
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakielekea Muzdalifa
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Khutba ya siku ya Arafa - Sheikh Salim Al-Abry
zhlédnutí 2,5KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Khutba ya siku ya Arafa - Sheikh Salim Al-Abry
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakielekea Mina
zhlédnutí 2,8KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakielekea Mina
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakipatiwa muongozo wa Ibada ya Umra kwa vitendo
zhlédnutí 5KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakipatiwa muongozo wa Ibada ya Umra kwa vitendo
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Sehemu katika maelekezo muhimu kabla ya kuanza ibada ya Hijja
zhlédnutí 1,7KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Sehemu katika maelekezo muhimu kabla ya kuanza ibada ya Hijja
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakitoa maoni yao kuhusu safari na huduma za jumuiya
zhlédnutí 3,5KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakitoa maoni yao kuhusu safari na huduma za jumuiya
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Maisha ya Mahujaji wa Jumuiya ya Istiqama ndani ya mji mtukufu
zhlédnutí 8KPřed 14 dny
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Maisha ya Mahujaji wa Jumuiya ya Istiqama ndani ya mji mtukufu
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakifanya ziara katika maeneo ya kihistoria
zhlédnutí 36KPřed 21 dnem
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Mahujaji wakifanya ziara katika maeneo ya kihistoria
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (13) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 64Před 21 dnem
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (13) Ustadh Salim Al-Battashy
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Kuwasili kwa mahujaji hotelini na kufanya ibada ya Umra
zhlédnutí 10KPřed 21 dnem
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Kuwasili kwa mahujaji hotelini na kufanya ibada ya Umra
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Safari ya kutoka Zanzibar - Jiddah
zhlédnutí 10KPřed 21 dnem
Ibada ya Hijja (1445 - 2024) Safari ya kutoka Zanzibar - Jiddah
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (06) Matendo yafanywayo mwezi kumi mfungo tatu
zhlédnutí 376Před 21 dnem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (06) Matendo yafanywayo mwezi kumi mfungo tatu
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (12) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 87Před 21 dnem
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (12) Ustadh Salim Al-Battashy
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (11) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 56Před 28 dny
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (11) Ustadh Salim Al-Battashy
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (05) Kisimamo cha Arafa
zhlédnutí 240Před měsícem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (05) Kisimamo cha Arafa
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (10) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 68Před měsícem
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (10) Ustadh Salim Al-Battashy
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (04) Matendo yafanywayo mwezi nane mfungo tatu
zhlédnutí 342Před měsícem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (04) Matendo yafanywayo mwezi nane mfungo tatu
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (09) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 58Před měsícem
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (09) Ustadh Salim Al-Battashy
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (03) Namna ya kufanya Saayi baina ya Swafaa na Mar-waa
zhlédnutí 251Před měsícem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (03) Namna ya kufanya Saayi baina ya Swafaa na Mar-waa
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (02) Namna ya kufanya Tawafu
zhlédnutí 273Před měsícem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (02) Namna ya kufanya Tawafu
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (08) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 49Před měsícem
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (08) Ustadh Salim Al-Battashy
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (01) Yanayokatazwa kwa Muhrim
zhlédnutí 355Před měsícem
Fiqhi ya Hijja na Umra sehemu (01) Yanayokatazwa kwa Muhrim
MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN -06/04/2024. POTE (02) JUZUU 3
zhlédnutí 106Před 2 měsíci
MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN -06/04/2024. POTE (02) JUZUU 3
MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN -06/04/2024. POTE (01) JUZUU 1
zhlédnutí 318Před 2 měsíci
MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AN -06/04/2024. POTE (01) JUZUU 1
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (07) Ustadh Salim Al-Battashy
zhlédnutí 88Před 3 měsíci
Tafsiri ya Suratu Al-Naziaat sehemu (07) Ustadh Salim Al-Battashy

Komentáře

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Před 15 minutami

    InshaALLAH nikijaaliwa nami nitawasilana na Istighama mwakani nijue hali halisi

  • @user-hz8uw4oe2d
    @user-hz8uw4oe2d Před 2 dny

    Mashallah mashallah Mwenyez Mungu awajaalie hijja maqboul mahujaj wetu nyote nasi atujaalie tuweze kwenda kufanya hijja inshallah

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 Před 2 dny

    Mashallah mungu anisaidie Mimi pamoja na mume wangu tuende uko jmn

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh Před 2 dny

    Mashaallah tabarakallah Allah awatakabbalie hijja zenu na cc Allah atujaalie tufike pamoja na vizazi vyetu kwa rehma na utukufu wake Allah ammin ammin yaa rabby

  • @mhm_alazdi
    @mhm_alazdi Před 3 dny

    Masha Allah istiqama ❤

  • @mubarakahmed3173
    @mubarakahmed3173 Před 3 dny

    MASHAA ALLAH Allah akujalieni wote mlotia nia muweze kwenda kufanya ibada ya hijjah

  • @mubarakahmed3173
    @mubarakahmed3173 Před 4 dny

    MASHAA ALLAH Allah awakubalie hijja zao mahujaji wote Na viongozi wa jumuiya ya Istiqama znz Allah awahifadhi na awalipe kheir

  • @hafidhsaid4166
    @hafidhsaid4166 Před 4 dny

    Mashaa Allah Tumwombe Allah na sie atuwafiikishe tufike huko

  • @MwanahamisHussein-dp2if

    Maashallah Nasi tunatia nia

  • @masoudsafia207
    @masoudsafia207 Před 6 dny

    Mashallah alhamdulillah

  • @wahidatimimi3179
    @wahidatimimi3179 Před 6 dny

    Barakallahu fikum

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 Před 10 dny

    ما أجمل هذه الخطبة

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba Před 12 dny

    Jamànii mumgu anipe uhai nifike makka

  • @MizaMohd-tm4bo
    @MizaMohd-tm4bo Před 12 dny

    Allah awakubalie hijja zenu

    • @MizaMohd-tm4bo
      @MizaMohd-tm4bo Před 12 dny

      Dua zenu tunaomba mungu atuongozee watoto wetu

  • @mubarakahmed3173
    @mubarakahmed3173 Před 12 dny

    MASHAA ALLAH ALLAH AWAJALIE MAHUJAJI WOTE HIJJA MAQBOUL WA DHAMBAL MAGHFOUR WA TIJAARATAN LLAN TABOUR

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Před 13 dny

    Allah atuwezeshe kufanya Kheir Inshaallah

  • @manton4697
    @manton4697 Před 13 dny

    Mashallah mashallah ustdh

  • @muslihmazruitogether807

    Amiina yarab alamina Allah atakabal dua

  • @MakoyekKulwa
    @MakoyekKulwa Před 14 dny

    Allah atukubalie Toba zetu

  • @RahmaSenga
    @RahmaSenga Před 14 dny

    Masha Allah

  • @RajabuYahyaBurindwi
    @RajabuYahyaBurindwi Před 14 dny

    Allah akulipeni kila lakheri nahija yenu iwe maquubur

  • @aminafadhili4392
    @aminafadhili4392 Před 14 dny

    Masha Allah

  • @hamadikhamisi5069
    @hamadikhamisi5069 Před 14 dny

    mwenzi mungu awape afwa namutuombe dua sisi nduguzenu

  • @hamadikhamisi5069
    @hamadikhamisi5069 Před 14 dny

  • @atkerhamad9984
    @atkerhamad9984 Před 14 dny

    Mashaallah

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 Před 14 dny

    M.mungu awajaalie mmalize Ibada mrudi salama..nasi Mungu atujalaie Khery za Ibada hiyo

  • @aishaali9583
    @aishaali9583 Před 14 dny

    Mimi niko huku lakini warabu wenyewe awaendi ni kula tu jamani

  • @user-fd6tj8yg9o
    @user-fd6tj8yg9o Před 15 dny

    MashaAllah Allah awajalie Kila lakher 🙏🙏

  • @wahidatimimi3179
    @wahidatimimi3179 Před 15 dny

    MashaAllah

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z Před 15 dny

    Maknay choyo

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Před 15 dny

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola Awakubaliye mahujaji wote hijja maqbuli inshaallah

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Před 15 dny

    Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, mola Awakubaliye mahujaji wote inshaallah

  • @tariqhafidh816
    @tariqhafidh816 Před 15 dny

    ماشاءالله تبارك الرحمن😊

  • @ashaomar7109
    @ashaomar7109 Před 15 dny

    Ewe mola wetu tujaaliye na sisi waja wako kutimiza ibada ya hijja

    • @AhmedMohamed-so7db
      @AhmedMohamed-so7db Před 15 dny

      Yaan nataman sana sana yaraby nijalie tujaaliye sote tunao tamani kukamilisha Ibadan hii

  • @ashaomar7109
    @ashaomar7109 Před 15 dny

    mashaaallah ❤❤

  • @user-jy8tr5bp1p
    @user-jy8tr5bp1p Před 15 dny

    Masha allaah aja awaongoze katik zafari yao

  • @victorterry227
    @victorterry227 Před 15 dny

    Masha-allah

  • @Aisha-qd2rg
    @Aisha-qd2rg Před 15 dny

    Mashaalah tabarak Rahman Allah awatakabalie dua zenu pia nataman sana nami siku moja nije kuhijj ila sijui garama na taratib zote za Hijja naomba muwe mnatupa taarifa tafadhli 🤲

  • @FaidhaSaid-ff1jh
    @FaidhaSaid-ff1jh Před 15 dny

    Maashaallah Allah awakubalie ibada hiyo na msisahau kutuombea nasi tupate nafasi ya kuja huko kufanya ibada hiyo inshaallah

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 Před 15 dny

    Mashallah

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 Před 15 dny

    Kabisa habibti

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 Před 15 dny

    Alhamdulilaah Alla awatimiziye haj yenu awatakabaliye amal zenu basi twa waomba duwa zenu natamani kufika hapo duwa zenu ndugi zangu mashalla

  • @butoyiamadi1266
    @butoyiamadi1266 Před 15 dny

    ManshaAllah tabarakallah hadi raha mwenyezi Mungu awajaze kheri atujaliye nasisi tulio baki kuipata neema iyo asitufishe bila kuifanya iyo ibada nafurahi sana

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d Před 15 dny

    Mashallah Mungu awatakabalie hijja yenu iwe yenye kukubaliwaa na mimi nina imani siku moja nitafika huko inshallah

  • @fawziaabdurrahman2251

    Kuenda hijja ni mualiko wa Allah. Kwa hio, Wanaotamani kuenda hijja, Wewe tia nia kua wataka ufike huko. Allah kwa ukarimu wake atakufungulia upate nguvu ya fedha, nguvu ya mwili na afya, upate huo mda na hio nafasi. Inshallah Utajipata kwenye miji mitakatifu. Walioenda Allah awatakabalie na sote Allah atutakabalie ibada zetu. Amin

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Před 15 dny

    Hija ni Arafa !wee

  • @mwanasalum-9232
    @mwanasalum-9232 Před 16 dny

    Mashallah🙏.jazaka llahu haira,takaball llahu miinaa waminka👏

  • @JabiriKarani
    @JabiriKarani Před 16 dny

    Masha allah

  • @ummsara769
    @ummsara769 Před 16 dny

    Allah awataqabalie

  • @ahmadtaresh1234
    @ahmadtaresh1234 Před 16 dny

    Allah akujalieni hija yenu