Swahili Click
Swahili Click
  • 9
  • 41 997

Video

BREAKING: CLEMENT MZIZE AREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI WA YANGA SC ,AWAKATAA AZAM FC KWEUPE /SIONDOKI
zhlédnutí 4,9KPřed 28 dny
BREAKING: CLEMENT MZIZE AREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI WA YANGA SC ,AWAKATAA AZAM FC KWEUPE /SIONDOKI
BREAKING: KOCHA WA SIMBA SC AMTIMUA HENOCK INONGA KAMBINI MASAA MACHACHE KABLA YA MECHI NA YANGA SC
zhlédnutí 8KPřed měsícem
BREAKING: KOCHA WA SIMBA SC AMTIMUA HENOCK INONGA KAMBINI MASAA MACHACHE KABLA YA MECHI NA YANGA SC
BREAKING: BARBARA GONZALEZ ATOA MASHAITI MATATU (3) KWA MO DEWJI ILI KURUDI TENA NDANI YA SIMBA SC!!
zhlédnutí 24KPřed měsícem
BREAKING: BARBARA GONZALEZ ATOA MASHAITI MATATU (3) KWA MO DEWJI ILI KURUDI TENA NDANI YA SIMBA SC!!
BREAKING: MO DEWJI AKASIRISHWA NA KOCHA BENCHIKHA BAADA YA SIMBA KUPATA MATOKEO MABOVU /AMPA BARUA!!
zhlédnutí 395Před měsícem
BREAKING: MO DEWJI AKASIRISHWA NA KOCHA BENCHIKHA BAADA YA SIMBA KUPATA MATOKEO MABOVU /AMPA BARUA!!
AHMED ALLY AZUNGUMZA KWA UCHUNGU KUHUSU MOSES PHIRI KUONDOKA SIMBA SC KWENYE USAJI WA DIRISHA DOGO
zhlédnutí 28Před 7 měsíci
AHMED ALLY AZUNGUMZA KWA UCHUNGU KUHUSU MOSES PHIRI KUONDOKA SIMBA SC KWENYE USAJI WA DIRISHA DOGO
UTAPENDA JUMA MGUNDA AKABIDHIWA CHEO HIKI KIKUBWA NDANI YA SIMBA BAADA YA KURUDISHWA TENA /MO AELEZA
zhlédnutí 13Před 7 měsíci
UTAPENDA JUMA MGUNDA AKABIDHIWA CHEO HIKI KIKUBWA NDANI YA SIMBA BAADA YA KURUDISHWA TENA /MO AELEZA
JUMA MGUNDA ATEMA CHECHE KWA WACHEZAJI WA SIMBA BAADA YA KURUDISHWA KUWA KOCHA / SITAKI DHARAU..!!
zhlédnutí 1,1KPřed 7 měsíci
JUMA MGUNDA ATEMA CHECHE KWA WACHEZAJI WA SIMBA BAADA YA KURUDISHWA KUWA KOCHA / SITAKI DHARAU..!!
BREAKING : SIKILIZA ALICHOKISEMA MO DEWJI BAADA YA KUMRUDISHA JUMA MGUNDA KUWA KOCHA MKUU WA SIMBA!!
zhlédnutí 2,9KPřed 7 měsíci
BREAKING : SIKILIZA ALICHOKISEMA MO DEWJI BAADA YA KUMRUDISHA JUMA MGUNDA KUWA KOCHA MKUU WA SIMBA!!

Komentáře

  • @FardinHoza
    @FardinHoza Před 7 hodinami

    haojamaa waondoke babra njooo kazini tumekuelewa sana

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Před 7 hodinami

    Kwani Simba mmelogwa na nani mbona kizunguzungu yaani mtakosa bara na pwani kwanza huo ungonzi uondoke hivi km washabiki na wanachama hawataki huo ungonzi mnasubiria Nini au mnasubiria serikali impe mtu mwingine hiyo timu maana mmeshindwa

  • @JaphetiJohn-dh1mb
    @JaphetiJohn-dh1mb Před 3 dny

    Akiludi huyu dada naamini tunaweza kuendelea tena maana tumeshuka kweli

  • @ChandeMuinde-zs6rj
    @ChandeMuinde-zs6rj Před 3 dny

    Watolewe wote wawiri

  • @bakwelsalum9082
    @bakwelsalum9082 Před 11 dny

    Mafanikio yanahitaji utulivu wa akili pesa ni matokeo yanga ikulee uwe mkubwa kabisa wasikuchanganye

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 11 dny

    Yaan Mo fanya jambo .Huyo Mangungu :majura: Try agein waondoke ndipo Timu itakuwa bora. Na Kocha Mgunda awe Kocha Mkuu.❤❤❤ Huyo Babura safi sana kuludi tena Big Up❤❤❤

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Před 17 dny

    Ni safiiiii tu tunamwamomi Mgunda

  • @NajasonMagava
    @NajasonMagava Před 18 dny

    Karibu Sana babla kwa wekundu wa msimbazi

  • @MikidadiKambinda-tr6rl

    Asante. Clement. Mzize. Mungu. Akubariki. Sana. Umeonyesha. Ukomavu. Wa. Akili. Na. Kuwaonyesha. Watu. Kuwa. Wewe. Sio. Mtoto. Bali. Ni. Mkubwa. Mwenzao. Big. Up. Clement. Mzize. God. Bless. You. And. Your. Family

  • @Godfreylagwe
    @Godfreylagwe Před 26 dny

    Kwamajina naitwa Godfrey Michael nipo manyara ushauri wangu mm kama mshabiki wa simba naona juma mgunda apewe mkataba wa miaka 2 pia benchi la ufundi livunjwae lote

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 Před 26 dny

    Safi sana kremend mzize, umekomaa akili.

  • @DamasiMushi
    @DamasiMushi Před 27 dny

    Heshima kwako rais waheshma kabla ya yote ningependa kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kiongozi kwa heshima naomba kwani ana mashabiki wa simba nakuomba uyodada yetu babra asipangiwe watu wakifanya naye achague yeye ondoa mangungu jaribu tena na imani kajula wanakula genji wasenge tu tena wanakupa hasara ubarkiwe modewj

  • @MbazingwaMchangila-nz9cs

    Wachezaji wote wanaoringa ondoa ACHA wanaitetea Simba Kwa nguvu zao zote!! Km tulivyo ona Leo,Vijana wasiaminiwa wanafanya Vitu tofauti na wale makomredi!!! Kata kabisa watuachie Simba yetu Ili tuone Balli safi km hivi afanyavyo Guduola mnene (Mgunda na Matola)

  • @user-wu2yn1lb2e
    @user-wu2yn1lb2e Před měsícem

    Wanao haribu timu ya simba sports club ni mwenyekiti na makamu wake wanatakiwa kujiuzulu tu kwani wanachanganya siasa na mpira ni kitu tofauti sana ndio wanatuletea kuonekana kuwa timu yetu iwe mbovu

  • @user-ek7tp2fg8t
    @user-ek7tp2fg8t Před měsícem

    Acheni kua mnatudanganyabmbola makae kimy nyinyi

  • @musalimbu-pp9es
    @musalimbu-pp9es Před měsícem

    apa Simba also qay Safi 😅😅

  • @user-gh2yh4zq5e
    @user-gh2yh4zq5e Před měsícem

    Baadh ya wachezaj wamechokaka sana hawafundishik km kapombe anavujisha sana magoli

  • @user-uy6kb8pi6i
    @user-uy6kb8pi6i Před měsícem

    all the bct pendwa la mnyama

  • @user-qz2mv3bw9e
    @user-qz2mv3bw9e Před měsícem

    Someone tu

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w Před měsícem

    Muarabu kula hela aambusa kichapo mshahara bomba na cv..???,

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 Před měsícem

    Tunaomba vijana chasambi na barua waanze kucheza

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w Před měsícem

    Huyo ara bu wa sambusa nae c asepe??

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w Před měsícem

    Sasa muarabu sambusa imekushinda..endelea kulamba mihela na vichapo..

  • @user-zo3tl2ip6l
    @user-zo3tl2ip6l Před měsícem

    Uogozi. Sio. Mbovu. Niwachezaji. Mfano. Ukiwa. Nawachezaji. Kama. Inoga. Unategemea. Nn. Kitafanyika. Wanaolaum. Viogozi. Naowajuwi.tu.wachezaji.wanizam.kama.hao.watupishe

  • @user-zo3tl2ip6l
    @user-zo3tl2ip6l Před měsícem

    Huyo. India. Aede. Hana. Msaada. Wowote. Arichokifanya. Anajuwa. Ye ye. Namgu. Wake. Aodoke. Ariikuta. Simba. Ataiacha. Simba

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Před měsícem

    inonga aondoke asitutishe mshahara anachukua afu afu anafanya vibaya.

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in Před měsícem

    Fukuza woote kocha ,kocha inatakiwa hvyo,,fukuza kabisa

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 Před měsícem

    Anataja kuondoka ndo mana anawahujum

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Před měsícem

    ASANTE Kocha kw kuamuru Mchezaji Enock aondoke Hakika anaonyesha hana mapenzi na timu yetu Pia wako wengine kama yeye hawaonyeshi Juhudi wawapo uwanjani Kuna wachezaji wazawa wanamapenzi sana,wengine wanalia.Tunaomba pia kuwe na Rotation ya Kikosi.Wengine wanachezeshwa sana km Shabala,Kapombe,Chama,Chemalone,Ngoma.nk Miili inachoka kw kutumika mno.Tuige wenzetu Yanga wanafanya Rotation Simba Wachezaji wetu ni wazuri Ni wachache wakupunguzwa Fredy,Jobe wapewe muda ni wazuri sana.Tusifuate mhemko wa Mashabiki Simba Nguvu Moja.

  • @user-yv6hd1dl3k
    @user-yv6hd1dl3k Před měsícem

    Kama amechoka wamuache aende.

  • @leomika8473
    @leomika8473 Před 7 měsíci

    Iyo imekaa vizuri

  • @ChachaMagige-ov3gv
    @ChachaMagige-ov3gv Před 7 měsíci

    Huyu ndio kocha

  • @ChachaMagige-ov3gv
    @ChachaMagige-ov3gv Před 7 měsíci

    Saw kwei mgunda arundi tu ndio anaijua simba mchezaji mojamoja