Mea Mswahili
Mea Mswahili
  • 277
  • 858 043

Video

⛔️VIDEO: ALIKAMWE ATEMA CHECHE KUFUNGIWA NA FIFA || "HATUDAIWI TULISHA LIPA DENI."
zhlédnutí 24Před 23 hodinami
⛔️VIDEO: ALIKAMWE ATEMA CHECHE KUFUNGIWA NA FIFA || "HATUDAIWI TULISHA LIPA DENI."
⛔️VIDEO: MAPYA YAIBUKA MSIMBAZI || WACHEZAJI WALIOACHWA HAWAKUSTAHILI || JULIO ALIA NA VIONGOZI.
zhlédnutí 37Před 2 hodinami
⛔️VIDEO: MAPYA YAIBUKA MSIMBAZI || WACHEZAJI WALIOACHWA HAWAKUSTAHILI || JULIO ALIA NA VIONGOZI.
⛔️VIDEO: JULIO ALIA JOHN BOCCO KUAGWA KIHUNI || ANASTAHILI HESHIMA || SIMBA WAJITATHIMINI SANA.
zhlédnutí 37Před 4 hodinami
⛔️VIDEO: JULIO ALIA JOHN BOCCO KUAGWA KIHUNI || ANASTAHILI HESHIMA || SIMBA WAJITATHIMINI SANA.
⛔️VIDEO: SEHEMU YA O1, UKWELI KUHUSU SIMBA SC NA HAMISI KIGWANGALLA || TWITTER (X) SPACE.
zhlédnutí 53Před 16 hodinami
⛔️VIDEO: SEHEMU YA O1, UKWELI KUHUSU SIMBA SC NA HAMISI KIGWANGALLA || TWITTER (X) SPACE.
⛔️VIDEO: HASARA YA BILIONI MOJA YAWAIBUA MASHABIKI WA YANGA || INJINIA HERSI ATIA NENO HASARA IYO.
zhlédnutí 763Před 19 hodinami
⛔️VIDEO: HASARA YA BILIONI MOJA YAWAIBUA MASHABIKI WA YANGA || INJINIA HERSI ATIA NENO HASARA IYO.
⛔️ALIKAMWE: YANGA WAZIDI KUPEPEA KIMATAIFA KILA KUKICHA || SIMBA TUTAMFATA AJE KUJIFUNZA KWA BAKORA.
zhlédnutí 73Před 21 hodinou
⛔️ALIKAMWE: YANGA WAZIDI KUPEPEA KIMATAIFA KILA KUKICHA || SIMBA TUTAMFATA AJE KUJIFUNZA KWA BAKORA.
⛔️VIDEO: VITA YAZIDI KUPAMBA MOTO KATI YA MO NA WAJUMBE WA BODI YA WANACHAMA || UKWELI HUU HAPA.
zhlédnutí 67Před dnem
⛔️VIDEO: VITA YAZIDI KUPAMBA MOTO KATI YA MO NA WAJUMBE WA BODI YA WANACHAMA || UKWELI HUU HAPA.
⛔️VIDEO: UTANI WA SIMBA NA YANGA UMEANZA UPYA || ZILE GOLI SABA HIZI HAPA || ZACHAMBULIWA MKUTANONI.
zhlédnutí 14Před dnem
⛔️VIDEO: UTANI WA SIMBA NA YANGA UMEANZA UPYA || ZILE GOLI SABA HIZI HAPA || ZACHAMBULIWA MKUTANONI.
⛔️VIDEO: MZEE MPILI ATAKA KUPIGANA NA MTANGAZAJI || SITAKI KUULIZWA MASWALI YA UBINGWA.
zhlédnutí 13Před dnem
⛔️VIDEO: MZEE MPILI ATAKA KUPIGANA NA MTANGAZAJI || SITAKI KUULIZWA MASWALI YA UBINGWA.
⛔️VIDEO: TAZAMA GAMOND AKICHEZA HAKUNA MATATA || ASHINDWA KUJIZUIA BAADA YA KUONGEZEWA MKATABA.
zhlédnutí 23Před dnem
⛔️VIDEO: TAZAMA GAMOND AKICHEZA HAKUNA MATATA || ASHINDWA KUJIZUIA BAADA YA KUONGEZEWA MKATABA.
⛔️VIDEO: ENG. HERSI SAID AELEZEA TAARIFA YA USAJILI WA YANGA || ACHAMBUA GOLI SABA DHIDI YA SIMBA.
zhlédnutí 32Před dnem
⛔️VIDEO: ENG. HERSI SAID AELEZEA TAARIFA YA USAJILI WA YANGA || ACHAMBUA GOLI SABA DHIDI YA SIMBA.
⛔️VIDEO: KIMEUMANA, WAJUMBE WA SIMBA WACHARUKA || MO HAJAWEKA BILIONI 20 || ANATAKA KUTUHUJUMU.
zhlédnutí 47Před dnem
⛔️VIDEO: KIMEUMANA, WAJUMBE WA SIMBA WACHARUKA || MO HAJAWEKA BILIONI 20 || ANATAKA KUTUHUJUMU.
⛔️ D VOICE: NAPENDA SANA SAUTI YA YAMMY || TUNAVALIANA NGUO NA LULU DIVA.
zhlédnutí 26Před dnem
⛔️ D VOICE: NAPENDA SANA SAUTI YA YAMMY || TUNAVALIANA NGUO NA LULU DIVA.
⛔️VIDEO: HUU UCHAWA UMEZIDI SASA, BABA LEVO ATANGAZA KUFUKUZA MTANGAZAJI ATAKAYE MSEMA DIAMOND.
zhlédnutí 24Před dnem
⛔️VIDEO: HUU UCHAWA UMEZIDI SASA, BABA LEVO ATANGAZA KUFUKUZA MTANGAZAJI ATAKAYE MSEMA DIAMOND.
⛔️VIDEO: VITA IMEKOLEA, LEONARDO AMPA NDARO ZA USO || HANIFIKII KWA CHOCHOTE HADI KUCHEKESHA.
zhlédnutí 15Před dnem
⛔️VIDEO: VITA IMEKOLEA, LEONARDO AMPA NDARO ZA USO || HANIFIKII KWA CHOCHOTE HADI KUCHEKESHA.
⛔️VIDEO: HIMID MAO AWAPA MATUMAINI WATANZANIA || TUNAENDA KUPAMBANA TUPATE USHINDI.
zhlédnutí 24Před dnem
⛔️VIDEO: HIMID MAO AWAPA MATUMAINI WATANZANIA || TUNAENDA KUPAMBANA TUPATE USHINDI.
⛔️VIDEO: KOCHA MOROCCO AFUNGUKA HATMA YA MBWANA SAMATTA NDANI YA TIMU YA TAIFA || TUMEJIPANGA VIZURI
zhlédnutí 9Před dnem
⛔️VIDEO: KOCHA MOROCCO AFUNGUKA HATMA YA MBWANA SAMATTA NDANI YA TIMU YA TAIFA || TUMEJIPANGA VIZURI
⛔️VIDEO: MSUVA NA YANGA MAMBO YAMENOGA || AFUNGUKA HAYA KUHUSU MSIMU UJAO.
zhlédnutí 84Před dnem
⛔️VIDEO: MSUVA NA YANGA MAMBO YAMENOGA || AFUNGUKA HAYA KUHUSU MSIMU UJAO.
⛔️VIDEO: ALI KAMWE NA GEORGE AMBANGILE WAKICHAMBUA KWA KINA WACHEZAJI HATARI/ PACOME NA AZIZ KI WAPO
zhlédnutí 120Před dnem
⛔️VIDEO: ALI KAMWE NA GEORGE AMBANGILE WAKICHAMBUA KWA KINA WACHEZAJI HATARI/ PACOME NA AZIZ KI WAPO
⛔️VIDEO: HUU HAPA UPANDE WA PILI WA JUMA MGUNDA || MAISHA YAKE NJE YA MPIRA || SIJUI KUOGELEA.
zhlédnutí 35Před dnem
⛔️VIDEO: HUU HAPA UPANDE WA PILI WA JUMA MGUNDA || MAISHA YAKE NJE YA MPIRA || SIJUI KUOGELEA.
⛔️VIDEO: MABISHANO MAKALI KATI YA ALI KAMWE NA KIBWANA SHOMARI || WATAKA KUPIGANA LIVE.
zhlédnutí 29Před dnem
⛔️VIDEO: MABISHANO MAKALI KATI YA ALI KAMWE NA KIBWANA SHOMARI || WATAKA KUPIGANA LIVE.
⛔️VIDEO: ENG HERSI ATHIBITISHA CHAMA NA AZIZ KI KUCHEZA MWAKANI YANGA || THAMANI YA MAKOMBE HII HAPA
zhlédnutí 76Před 14 dny
⛔️VIDEO: ENG HERSI ATHIBITISHA CHAMA NA AZIZ KI KUCHEZA MWAKANI YANGA || THAMANI YA MAKOMBE HII HAPA
⛔️VIDEO: HII SASA NI KUFURU, TAZAMA PAREDI LA YANGA BAADA YA KUSHINDA KOMBE LA CRDB FEDERATION CUP.
zhlédnutí 68Před 14 dny
⛔️VIDEO: HII SASA NI KUFURU, TAZAMA PAREDI LA YANGA BAADA YA KUSHINDA KOMBE LA CRDB FEDERATION CUP.
⛔️WOLPER: "MIMI SIWEZI KULEA MWANAUME || MA EX SIZUNGUMZI NAO || NATAFUTA HELA KWA SHIDA SANA.
zhlédnutí 9Před 14 dny
⛔️WOLPER: "MIMI SIWEZI KULEA MWANAUME || MA EX SIZUNGUMZI NAO || NATAFUTA HELA KWA SHIDA SANA.
⛔️VIDEO: GAMOND AELEZEA PENATI ALIYOKOSA STEPHANE AZIZ KI || MWAKANI TUTAKUA BORA ZAIDI.
zhlédnutí 27Před 14 dny
⛔️VIDEO: GAMOND AELEZEA PENATI ALIYOKOSA STEPHANE AZIZ KI || MWAKANI TUTAKUA BORA ZAIDI.
⛔️VIDEO: FUMAO MZEE WA MASHAIRI NA GOD YANGA WAUNGANA KUISEMA SIMBA || MAKOLO HAWATUWEZI.
zhlédnutí 805Před 14 dny
⛔️VIDEO: FUMAO MZEE WA MASHAIRI NA GOD YANGA WAUNGANA KUISEMA SIMBA || MAKOLO HAWATUWEZI.
⛔️VIDEO: MKUDE AFUNGUKA MKATABA WAKE NA YANGA || SINA MUDA WA KUWAZUNGUMZIA WASALITI.
zhlédnutí 18Před 14 dny
⛔️VIDEO: MKUDE AFUNGUKA MKATABA WAKE NA YANGA || SINA MUDA WA KUWAZUNGUMZIA WASALITI.
⛔️VIDEO: HAJI MANARA ALIVYO SHANGILIA UBINGWA WA YANGA || AMDHIHAKI FEISAL LIVE NYUMBANI KWAKE.
zhlédnutí 9KPřed 14 dny
⛔️VIDEO: HAJI MANARA ALIVYO SHANGILIA UBINGWA WA YANGA || AMDHIHAKI FEISAL LIVE NYUMBANI KWAKE.
⛔️ALI KAMWE: "AHMED ALLY HANA HADHI YA KUWA MSAIDIZI WANGU || SHEREHE ZA UBINGWA ZINAANZA TENA."
zhlédnutí 116Před 14 dny
⛔️ALI KAMWE: "AHMED ALLY HANA HADHI YA KUWA MSAIDIZI WANGU || SHEREHE ZA UBINGWA ZINAANZA TENA."

Komentáře

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 2 hodinami

    Tunza maneno yako, usijimalize, huwezi kusifia mtoto ikiwa bado mimba.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 22 hodinami

    Wenzetu wapo serious na kazi zao. Afrika bado sana.

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 Před 2 dny

    Kiukweli simba tulikosea kumkabidhi mo timu kabla ya mchakato tulitakiwa timu iwe chini ya wafadhili kwanza ili mchakato ukikamilika bc mo apewe timu lakini amekabidhiwa timu kabla ya mchakato vipi selekali wakisema mchakato uanze upya itakuwaje ? pia mo mwenyewe haeleweki

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 Před 4 dny

    Bakuli linaheshima,

  • @dicksonnyalusi3004
    @dicksonnyalusi3004 Před 5 dny

    Mmeshindwa kuitumikia timu harafu unapiga mkwala tukiamua mtoke mtatoka fanyenikazi tuliyowatuma tunahitaji furaha na siyo maneno

  • @RoderickBwalya
    @RoderickBwalya Před 6 dny

    Uh

  • @RoderickBwalya
    @RoderickBwalya Před 6 dny

    Tatizo hamufany chamaan ni miaka mi tatu wanaenda kulipiza record kama hamuwz wachien wanao weza.

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 Před 6 dny

    💚💛🖤

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Před 7 dny

    Ninyi ndio hamueleweki sio Mo

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor Před 7 dny

    Hajali hasara Mo sbb anaipenda simba na kupiga piga makelele kila siku hatuwezi kujenga timu tatizo ninalo liona hapa ya kila mmoja kusema sema nahisi hawa wote wanaosema muekezaji haeleweki sababu kila mmoja ataka kuvimba tumbo kwa pesa ya Mo mwacheni Mo kaifikisha simba mbali nyingine mnasema mkiambiwa mtoe kila mmoja atia pamba masikioni pesa za usajili zapigwa watu wasajili vijibabu Mo anatoa pesa nyingi tu na Tanzania hatuna timu mbili kisiasa ndio mbili

  • @RamadhaniJawabu
    @RamadhaniJawabu Před 9 dny

    Nyinyi niweziii

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Před 9 dny

    Nyie wezi wakubwa timueni

  • @HusseinSalehe-jf8jf

    Sisi kam mashibiki tunatak chama abaki

  • @user-ky7mz7qh1o
    @user-ky7mz7qh1o Před 9 dny

    Una sh ngap kwenye simba

  • @RamaKinyoya
    @RamaKinyoya Před 10 dny

    Wew umeeka shilingi ngap mmetumwa nyie

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 Před 10 dny

    Serekali iingilie kati ikiwezekana zile asilimia 49 za mo zigawanywe kwa mwekezaji mwingine

  • @alexhaule6420
    @alexhaule6420 Před 10 dny

    Shushushuwewe unahela ya kuiongoza Simba wewe umetumwa mwache mo

  • @AntoniWiliam
    @AntoniWiliam Před 11 dny

    Rwandan

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc Před 12 dny

    Semaaàaa babaaaa tupone

  • @ibrahimulucas8119
    @ibrahimulucas8119 Před 13 dny

    Ppu

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj Před 13 dny

    DOGO awe na heshma Kwa walezi wake, laasivyo angeshuka DARAJA na singida united yake ya enzi hizo!! Mwigulu NCHEMBA ndo alokuja kumstiria pale kwetu YANGA!!.

  • @user-ke8iq9ue1h
    @user-ke8iq9ue1h Před 13 dny

    msemaji usikimbie wageni maji ni uhai,

  • @KharidLilangamuli
    @KharidLilangamuli Před 13 dny

    Huna baya boss

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 Před 13 dny

    Nahisi kila mmoja anaefungua haka ka-clip ka hawa "waswahili" anaona "kweli" jinsi Eng. Hersi "alivyokerwa" na Fei!

  • @BakariHassani-fi1lg
    @BakariHassani-fi1lg Před 13 dny

    Kwanini mpambane nachama kilasiku nawakati wachezaji wazur zaidi yachama wapo? Chama alikua zamani kwasasa siochama tena bali kivuli chachama ndiokinacheza viongozi wasimba hamkeni achenimawazo mgando mking'ang'ana nachama niakili yamgando.

  • @tumaomeraChristopher
    @tumaomeraChristopher Před 13 dny

    Achana fei unamfatilia wa nini

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l Před 14 dny

    HIVI HAYO MAMUZIKI MNAWEKAGA YA NINI?

  • @FaroukBaduwel-jm2dr
    @FaroukBaduwel-jm2dr Před 14 dny

    Fei,kitendo ulichofanya sio Cha kiungwana, omba radhi, Bado sarari unayo,Inshaallah

    • @user-oj5di2df7m
      @user-oj5di2df7m Před 13 dny

      Lakn kumbuka wakati anaenda kupiga penati mashabiki walikuwa wanamzomea

  • @FadhiliMataluma-sr2gj

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Tipaptz
    @Tipaptz Před 14 dny

    😢😢

  • @abdulpavord9931
    @abdulpavord9931 Před 15 dny

    Tutareport hiz account mnapost habar za utofaut na kichwa cha habari mnapotezea watu mda mbwa nyny njaaaa tu ndio iliokuzidini

  • @user-zr8lq9lo8y
    @user-zr8lq9lo8y Před 15 dny

    Mmmmh kweli siamini

  • @fiderisbahebe
    @fiderisbahebe Před 15 dny

    Jipongeze baba unania na timu yk kk

  • @ashikfidahusein8189
    @ashikfidahusein8189 Před 15 dny

    Yanga kiboko

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 Před 15 dny

    Were unamsakama huyo mtoto

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Před 15 dny

    Dogo heading yako mbovu unapata dhambi kudanganya watu kusudi upate views. Hauta fanikiwa ukiendelea kudanganya watu na heading zako za kipuuzi. Mola wako akusameh kwakweli

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Před 15 dny

    Mheshimiwa SANGA ww ni mtu muhimu sana,tusaidieni wana SIMBA pls🙏🙏🙏#SIMBA nguvu moja

  • @AdamNgogo-gg3tt
    @AdamNgogo-gg3tt Před 16 dny

    Na bado atawakera sana hapo ndio picha linaanza,

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 Před 16 dny

    Mumamuhoji mtu ikishaa na mziki kwendeni

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Před 16 dny

    Waandshi wa habar wa bongo ujinga mwingi 😂 Sasa mbn maelekezo yake rais ayaendan na kilicho andikwa hapo juu achen unafiki😂

  • @GwidoNdunguru
    @GwidoNdunguru Před 16 dny

    Ahsante rais

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před 16 dny

    Wapi feisali ametajwa hapo kuma wapokea bahasha nyinyi😮😮

  • @daudifesto5592
    @daudifesto5592 Před 16 dny

    Kichwa hakiendani kabisa na contents... Quma yako ya nyuma wew acha uongo..

  • @daudifesto5592
    @daudifesto5592 Před 16 dny

    Quma yako ya nyuma wew acha uongo

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 Před 16 dny

    ❤❤❤❤

  • @bodyaman
    @bodyaman Před 16 dny

    Cheki ubora wa AZIZI KI MWANZO MWISHO czcams.com/video/wDtTdktVUwE/video.htmlsi=ruov_tT6ZVPK-ENI

  • @bodyaman
    @bodyaman Před 16 dny

    czcams.com/video/wDtTdktVUwE/video.htmlsi=ruov_tT6ZVPK-ENI

  • @geraldmbengwa6381
    @geraldmbengwa6381 Před 16 dny

    Nye wapumbavu mtapata views leo lakini hakuna mwenye akili timamu atakaewafuatilia tena. Wavuta bangi nyie

  • @OmiMajiga
    @OmiMajiga Před 16 dny

    Fei mshamba tu hajielewi

    • @saydkassim5742
      @saydkassim5742 Před 15 dny

      Ila mulipokuwa mnamzomea kabla hajapiga penat mulikuwa waungwana au sw tu mulijua atakosa washamba nyinyi😊