ELIMU TZ TV
ELIMU TZ TV
  • 745
  • 252 731

Video

PROF ADOLF AGOSTI 2, 2024 AMEZINDUA KATIBU 'TANGLES WEB'
zhlédnutí 9Před 10 hodinami
PROF ADOLF AGOSTI 2, 2024 AMEZINDUA KATIBU 'TANGLES WEB'
PROF NOMBO AITAKA BODI MPYA ADEM KUSIMAMIA NA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KISHERIA
zhlédnutí 25Před 13 hodinami
PROF NOMBO AITAKA BODI MPYA ADEM KUSIMAMIA NA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KISHERIA
PROF MKENDA AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI YA WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA ELIMU (ADEM)
zhlédnutí 45Před 17 hodinami
PROF MKENDA AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI YA WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA ELIMU (ADEM)
PROF MKENDA ATETA NA WANAFUNZI
zhlédnutí 142Před 2 hodinami
PROF MKENDA ATETA NA WANAFUNZI
58% NGUVU KAZI YA WATANZANIA INAFANYA SHUGHULI VIJIJINI
zhlédnutí 85Před 4 hodinami
58% NGUVU KAZI YA WATANZANIA INAFANYA SHUGHULI VIJIJINI
MKENDA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI KIBOSHO KILICHOJENGWA KWA NGUVU ZA WANANCHI
zhlédnutí 43Před 4 hodinami
MKENDA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI KIBOSHO KILICHOJENGWA KWA NGUVU ZA WANANCHI
WANAKIJIJI NA WANAFUNZI NAO HAWAKUASITA KUSEMA YA MOYONI
zhlédnutí 50Před 4 hodinami
WANAKIJIJI NA WANAFUNZI NAO HAWAKUASITA KUSEMA YA MOYONI
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KAMPASI YA KIKULETWA KITAKUA KITUO CHA UMAHIRI CHA NISHATI JADIDIFU - HAI
zhlédnutí 132Před 7 hodinami
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KAMPASI YA KIKULETWA KITAKUA KITUO CHA UMAHIRI CHA NISHATI JADIDIFU - HAI
PROF. MKENDA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA NISHATI JADIDIFU - KIKULETWA
zhlédnutí 110Před 7 hodinami
PROF. MKENDA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA NISHATI JADIDIFU - KIKULETWA
Mhe. Saashisha ajivunia uwepo wa Chuo cha Ufundi Arusha Kampasi ya Kikuletwa katika Jimbo lake - Hai
zhlédnutí 58Před 9 hodinami
Mhe. Saashisha ajivunia uwepo wa Chuo cha Ufundi Arusha Kampasi ya Kikuletwa katika Jimbo lake - Hai
SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED PROGRAM
zhlédnutí 1,1KPřed 16 hodinami
SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED PROGRAM
SUALA LA KUTOA CHAKULA NA LISHE SHULENI NI JUKUMU LETU SOTE - PROF. NOMBO
zhlédnutí 179Před 16 hodinami
SUALA LA KUTOA CHAKULA NA LISHE SHULENI NI JUKUMU LETU SOTE - PROF. NOMBO
MPANGO WA CHAKULA SHULENI UNA MCHANGO MKUBWA KATIKA UFAULU KWA WANAFUNZI - PROF MKENDA
zhlédnutí 191Před 16 hodinami
MPANGO WA CHAKULA SHULENI UNA MCHANGO MKUBWA KATIKA UFAULU KWA WANAFUNZI - PROF MKENDA
HATUJA SITISHA KIDATO CHA TANO TUMEAHIRISHA - PROF. MKENDA
zhlédnutí 39KPřed 16 hodinami
HATUJA SITISHA KIDATO CHA TANO TUMEAHIRISHA - PROF. MKENDA
LISHE KUPATIKANA SIKU ZOTE TANO ZA WIKI SHULENI- MWL. AMINA
zhlédnutí 30Před 19 hodinami
LISHE KUPATIKANA SIKU ZOTE TANO ZA WIKI SHULENI- MWL. AMINA
WADAU MBALIMBALI KATIKA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTOAJI CHAKULA NA LISHE SHULENI
zhlédnutí 50Před 19 hodinami
WADAU MBALIMBALI KATIKA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTOAJI CHAKULA NA LISHE SHULENI
TULINDE WATOTO WETU MAANA NDIO TAIFA LA KESHO
zhlédnutí 37Před 19 hodinami
TULINDE WATOTO WETU MAANA NDIO TAIFA LA KESHO
TUTUNZE WATOTO WETU KWANI NI RASILIMALI PEKEEE DUNIANI- DKT. MTAHABWA
zhlédnutí 77Před 19 hodinami
TUTUNZE WATOTO WETU KWANI NI RASILIMALI PEKEEE DUNIANI- DKT. MTAHABWA
KITUO CHA UMAHIRI CHA UMEME JADIDIFU CHAJENGWA WILAYANI HAI
zhlédnutí 259Před 19 hodinami
KITUO CHA UMAHIRI CHA UMEME JADIDIFU CHAJENGWA WILAYANI HAI
NONDO ZA PROF. MKENDA KUHUSU MABADILIKO YA MTIHANI DARASA LA SABA
zhlédnutí 1,6KPřed dnem
NONDO ZA PROF. MKENDA KUHUSU MABADILIKO YA MTIHANI DARASA LA SABA
MAAJABU RIZIKI NDUMBA KWENYE USHONAJI
zhlédnutí 19Před dnem
MAAJABU RIZIKI NDUMBA KWENYE USHONAJI
VETA NJOMBE TUMEJIANDAA KUANZA MASOMO HIVI PUNDE
zhlédnutí 22Před dnem
VETA NJOMBE TUMEJIANDAA KUANZA MASOMO HIVI PUNDE
MICHEZO ITASAIDIA VIJANA KUPATA AJIRA
zhlédnutí 66Před dnem
MICHEZO ITASAIDIA VIJANA KUPATA AJIRA
MICHEZO ITASAIDIA VIJANA KUJIEPUSHA NA MATENDO MAOVU
zhlédnutí 67Před dnem
MICHEZO ITASAIDIA VIJANA KUJIEPUSHA NA MATENDO MAOVU
OMBWE NI KARAKANA YA SHETANI
zhlédnutí 124Před dnem
OMBWE NI KARAKANA YA SHETANI
DKT RWEZIMULA AWAITA WANANCHI KUJIUNGA VETA NJOMBE
zhlédnutí 28Před dnem
DKT RWEZIMULA AWAITA WANANCHI KUJIUNGA VETA NJOMBE
NECTA YAFANYA MABORESHO YA FOMATI YAMTIHANI WA DARASA LA SABA
zhlédnutí 203Před 14 dny
NECTA YAFANYA MABORESHO YA FOMATI YAMTIHANI WA DARASA LA SABA
MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU AZUNGUMZIA MIRADI YA ELIMU ALIYOWEKA JIWE LA MSINGI
zhlédnutí 89Před 14 dny
MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU AZUNGUMZIA MIRADI YA ELIMU ALIYOWEKA JIWE LA MSINGI
Mbunge Sumbawanga aelezea namna VETA RUKWA itakavyotoa fursa kwa vijana
zhlédnutí 23Před 14 dny
Mbunge Sumbawanga aelezea namna VETA RUKWA itakavyotoa fursa kwa vijana

Komentáře

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l Před 13 hodinami

    Wanafunzi wetu Hawana uwezo wa ku competent na wanafunzi wa nje hta kidogo

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před dnem

    Mie sasa hivi naona form five waende wale genius ambao watakuja kuwa professor, n.k Vyuo viwe vingi vya art. Veta iboreshwe

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před dnem

    Tengenezeni shule za vipaji tangu shule za awali. Tupate wataalamu wakiwa wadogo. China vijana miaka 16 ameshaanza kutafuta hela

  • @Mahangaofficially
    @Mahangaofficially Před 2 dny

    Hongera professor wetu nakuamini

  • @brysonzawad8521
    @brysonzawad8521 Před 2 dny

    Hivi mh kwanini msifanye kitu rahisi cha kufanya vijana wenu kujikwamua na hali ngumu ya maisha kuliko kuiga kila kitu toka huko ulaya ikiwa mnapoteza muda na kutufanya vijana vilema wa kudumu hivi miaka yote hiyo hamjawahi kulifikilia hili ikiwa mnaona maisha ya vijana wengi yanavyokuwa magumu mkitaka ushauri nipo kwaajili ya kiwashauri serikali yangu

  • @ERICKRUGAMBILWA
    @ERICKRUGAMBILWA Před 2 dny

    Hizi comb Mpya zenye Fa na Li tunaomb kupata ufafanuzi

  • @user-wr7wp9sl2p
    @user-wr7wp9sl2p Před 3 dny

    Vipi hostel zipo...?

  • @Alphonso_07
    @Alphonso_07 Před 3 dny

    Kwa maana hiyo hapo kwa form five tunaendelea na mtaala wa zamani as usual?

  • @alphabartazary9692
    @alphabartazary9692 Před 3 dny

    Wow

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 Před 3 dny

    Hao wadau ni wapiii? Wakati walimu wenyewe hawajui

  • @jacksonchilongani4478

    Hello habari nashukuru sana professor nimekuelewa me ni moja ya walimu nilikuwa natoa ushauri naomba muangalie somo la history na civics kwa umakini sana huko ndio kuna ugonjwa mkubwa sana wa maadili yetu ya kiafrika ninaomba tuubadilishe maana hizi tamaduni za magharibi zinatuchanganya

  • @sule17942
    @sule17942 Před 4 dny

    Cha msingi tunakosa kusoma kwa vitendo vya kutosha na wataalam katika ujasiriamal na hiz biashara, andaeni curriculum za vitendo mashuleni na waalim wenye utaalam na msimamie. Acheni kuhangaisha watoto kwa masomo meng na mitaala isio make sense wala haiboreshi skill za wanafunzi.

  • @RamadhaniAyubu-t3l
    @RamadhaniAyubu-t3l Před 4 dny

    Sawa nimekuelewa professor

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij Před 4 dny

    Mnaakili sana nimewapata😊

  • @Lifebeaconuplift
    @Lifebeaconuplift Před 4 dny

    Mm cjaelewa

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Před 4 dny

    Sera huwa zintungwa na akina nani? Zenyewe hazinaga kukusanya maoni kwa wenye nchi? Akija waziri mwingine ruksa kuchezea katiba aliyoikuta? Naomba nijibiwe kwa faida ya wengi.

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest Před 5 dny

    Hongereni

  • @akbarkisamo8392
    @akbarkisamo8392 Před 5 dny

    Maelezo mazur sana

  • @meshackjacobmwakalasya543

    Kukurupuka ni jambo baya sana ,,hatuwez kufanya mabadiliko kwa kuingiza jambo jipya kwa nchi nzima ,, tungeanza na makundi machache

  • @ebenezermbena2894
    @ebenezermbena2894 Před 5 dny

    Well

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 Před 5 dny

    Kwenye hiyo mitaala muweke SoMo la katiba na Sheria watanzania hawajui chochote juu ya hivi?

  • @Joakimworkproduction

    Kikubwa dada ni kuongozwa na roho mbona hata sehemu zingine mnaalikwa na wachungaji ambao si wa kiMungu na tuna jua mtu asilokuwa wa Mungu huyo you kinyume nasi. Waimbaji wengi sikuhizi wanahudumu kwenye madhabahu za kishetani bila hata kujua. Sio yote yanayooonekana Ni makanisa Basi Ni makanisa kweli Kwa hiyo narudi pale pale Kikubwa ni kuongozwa na roho mtakatifu basi

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 Před 6 dny

    Bado tutaambiwa mwanadamu wa kwanza alikuwa nyani?

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 Před 6 dny

    Bado tutaambiwa mwanadamu wa kwanza alikuwa nyani?

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n Před 6 dny

    Kila kitu kina historia iwe mbaya iwe nzur mf familia ina hist yake ukoo kabila din ugonjwa bila historia ya kitu nchi kwahiyo tunaenda kwa historia

  • @japhethotieno2285
    @japhethotieno2285 Před 6 dny

    Wekeni na katiba ifundishwe kama somo

    • @abdulmajaliwa6376
      @abdulmajaliwa6376 Před 4 dny

      Wazo zuri sana hili

    • @mirajimsafiri932
      @mirajimsafiri932 Před dnem

      Shida ni kwamba serikali haipendi kila mtanzania aielewe ipasavyo katiba ya nchi yake......italeta vurugu pia

  • @kakuyajumanne7335
    @kakuyajumanne7335 Před 6 dny

    Hamnamo mali humo kaja kuvuruga kila kitu huyu

  • @Economically-Growth-Musicians

    From #EconomicallyGrowthMusicians Bora tu maana tulisomaga mengi sana bado maisha yatusapa Kitaa hivyo kwa Niaba ya Wasaka Tonge Bora hiyo Mtaala ya Biashara, Ujasilimali n.k ila Kwa Wale wa Muziki Mtupeni EGM🎉🎉🎉 Congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 Před 6 dny

    Miundombinu na walimu wa shule ya msingi ndo shida ili mtaala uende vizur

  • @NassorHamad-m5g
    @NassorHamad-m5g Před 6 dny

    Kiongoz ikiwa wanafunz watosoma lugha zaid ya nne jee dhaman ya kiswahil chetu ipo wap c kitaenda kufa kwann tucwek hayo masom kwa lugha yetu hat kma itakua kifaransa bac iwe ni kam som tu na zisipew kipaombel tukasahau kiswahil chet

  • @edithlameck8170
    @edithlameck8170 Před 6 dny

    Kwenye mitaala hiyo mipya kumewekwa somo la mazingira? Mazingira ya usafi, athari za kutupa taka hovyo, litter management n.k.. n.k. na elimu hii ianzie kwenye shule za awali. Kwenye swala zima la usafi ni rahisi kufundisha tangu mtu akiwa mtoto na kumjengea mazingira ya usafi.

  • @qamdiayboay-gv3by
    @qamdiayboay-gv3by Před 6 dny

    Nchi iprint vitabu humu humu,kuna wataalam wengi sana wakuandaa vitabu,wataalam ni wengi sana jana,anayehitaji ananitafute ni mwelekeze, Vitabu bora sana

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 Před 6 dny

    ❤ kila kitu huendana na wakati tuliopo. Taaluma hubadiki pamoja na masomo yake.

  • @JessieClarency
    @JessieClarency Před 6 dny

    Nivizuri lakini tunaomba government iangalie na arts pia

  • @matalo0551
    @matalo0551 Před 6 dny

    Huyu professor namhusudu, big brain, my roll model

  • @JessieClarency
    @JessieClarency Před 6 dny

    That beautiful but why only science and not arts .......we also what scholarship for art's takers😢

  • @msafwatv432
    @msafwatv432 Před 6 dny

    Yaaani hapo naona ni kero sana. No hatari tunakoenda . Tuombe Mungu tu . Sioni mabadiliko yanayokuja haraka hivyo .

  • @msafwatv432
    @msafwatv432 Před 6 dny

    Professor unaongea vizuri sana ila mabadiliko ktk Elimu hayahitaji haraka ni polepole . Mkikurupuka tutarudi nyuma sana. Hakuna haraka .fanyeni taratibu.

  • @christophermwatendela9500

    Katika kitu kinachonishangaza ni kuingiza SoMo la dini wakati serikali yetu Haina dini !!!

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Před 6 dny

    Rais u.etuletea mtu wa kujaribu sasa...wakishindwa watasema tulikuwa tunajaribu...na wale waliojaribiwa watabaki na ujinga au watarudia vidato?

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Před 6 dny

    Watu wa nchi hii kama hatuna akiri...eti anasema kwa bahati mbaya vitabu vinachapwa nje ya nchi..du...kuna makampuni ya uchapaji pale pugu road yanachapa hadi nakala milioni moja kwa siku inategemea na ukubwa wa kitabu kwa ubora wowote mnaohitaji. Itakuwa mmewapa wachina nyie. Uchapaji wala sio ishu kama kazi iko tayari ktk pdf na vipimo vyake hakuna utaalamu zaidi ni kuweka karatasi zinazoitajika na kuprint tu...machine zinakata na. Kupanga . Ukimuuliza watakwambia wataalamu

  • @user-xb6mb1by5l
    @user-xb6mb1by5l Před 6 dny

    Mkenda unataka kutuharibia mfumo wa elimu, watch out brother, mabadiko ya elimu ni gradual change sio immediately change, Utachemka, pole Sana Kwa kujaribu ila andaa mpango wa miaka 30 ijayo!!!!

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION Před 6 dny

      Mfumo w elimu bongo ni mrefu mno kumbuka zamani waisoma madarasa ma 4 tu... Na walikuwa poa.....

  • @user-cb5zb3fy8y
    @user-cb5zb3fy8y Před 6 dny

    Hapo Sasa elimu yetu saaaafi

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl Před 6 dny

    Vitabu hivi vya awali ni vigumu Kwa wanafunzi mkenda

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 Před 6 dny

    Ana elimu kubwa ila kichwani n ziro brain

  • @claurianngowi7933
    @claurianngowi7933 Před 6 dny

    Mimi nakuelewa vizuri sana professor, natamani wadau wa hii sector wakuelewe kama mm ila baada ya muda wataelewa.

  • @IsayaShauri-kn6ef
    @IsayaShauri-kn6ef Před 6 dny

    Respect prof.

  • @charlesseba2000
    @charlesseba2000 Před 6 dny

    Hii elimu itakuwa ni mbovu kuliko elimu zote duniani, kwa namna hii tutakuwa na wajinga wengi mtaani kuliko siasa mnazoweka kwenye elimu

  • @BuhetySharia
    @BuhetySharia Před 6 dny

    Mbona hapa km siasa inataka kuingia jmn ......hv printing ndo inakwamisha wizara nzima😅

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Před 6 dny

    MASOMO ya uongozi muhimu sana